Licha ya Kumpa Hongera kwa nafasi yake hii ya kisiasa nina haya yafuatayo
Inahitaji Ujasiri sana kujiunga na siasa kwa nchi hii hivyo naamini SALIM ameguswa sana na yuko tayari kwa lolote...
Msanii wa bongo flevaSaidi Mustafa maarufu kama Side Boy "Mnyamwezi" amefarik mchana wa leo akiwa hospital ya St Walburg "Nyangao-Lindi"
msanii huyo ameimba nyimbo kama Hujafa Hujaumbika...
Sisi tunawaza kuwashirikisha wao kwenye nyimbo zetu, ila wao hawafikirii hlo kabsa.. Wao wanafanya album na zinauzika kwa bei nzuri za kuwanufaisha sana kulingana na misingi ya hakimiliki nchini...
Hivi haka kajamaa ni ka mbilikimo au...?
Manake naona kama lower body yake imekaa kidizaini flani hivi....au ni macho yangu tu?
Halafu nimeona kamevaa Jordans ambao hata sijazitambua. Huenda...
Ama kweli duniani kuna watu wazuri wa kubisha au kusemea jambo wasilokuwa na uhakika nalo sijui wamezoea sijui kutaka sifa sijui waonekane nao wajuzi wa mambo ya mujini wanajua wao.
WARUMI kama...
1. Lady Jaydee
Uyu dada ndio msanii mwenye washabiki kuliko wasanii wote Bongo, ni mwanamuziki anayeheshimika na wasanii wenzake karibu wote na wadau mbalimbali wa muziki na sekta zingine...
Madai mazito ya kushtua mtaani yanasema kwamba staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ' Lulu' , mambo yake kwa sasa yapo juu ya mstari baada ya bilionea kutoka jijini Arusha ( jina...
Kwa mujibu wa utafiti wetu wa miezi miwili tumegundua awa ndio vijana wenye nguvu na wanaokubalika zaidi hapa Tanzania kwa sasa. Utafiti huu umeshirikisha members wenzetu mbalimbali.
Tulizingatia...
Leo Namzungumzia sio mwingine bali Ni Super producer Adam Juma.
Jamani tuwe- na desturi- ya kusifia- vizuri tena vya Nyumbani- na sio umbea- tu na mabaya ndo myashadadie, haya- leo ni siku ya...
By Stephen Senkaaba
The two accepted Jesus on Thursday evening after Kenyan evangelist Annabelle Renno preached and prayed for them at Kololo Hospital, where Chameleone was admitted on Wednesday...
Pamoja na kutumia nguvu nyingi kukanusha kwenye mitandao kwamba ndoa yao haijavunjika, mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Habash ' G . Habash ' na ' mtalaka' wake, Judith Wambura...
Wasalaam wana jamvi!
Bila shaka hakuna ubushi kuwa Diamond ni msanii ambaye ameendelea kufanya vizuri Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla na hata Ulaya ana kubalika na hadi kufanikiwa kuingia...
wasanii wa bongo movie ku act kuwa wamependa real love wakati hawawezi na hawajui kupenda ni upuuzi wa hali ya juu,unakuta movie inamuonyesha monalisa au flora mvungi anauza karanga mitaani,wakati...
Muigizaji wa filamu za Kibongo,
Salim Omary Slim amejikuta akiwekwa
nguvuni katika Kituo cha Polisi cha
Makangarawe , Yombo -Buza , jijini Dar
akidaiwa kugoma kurejesha gari aina ya
Land Lover...
Diamond ndie star wa kweli sio wengine kukesha na sisi club mpaka tunawachoka na wanakuwa si mastar tena juu yetu Fiesta lazima niudhurie kumuona mkubwa Chibu akifanya yake na T.I
Umaarufu wa insta, watu wanapenda umaarufu kupitia kwa kutoa matusi kushadadia ugomvi kuwasimanga wenzao kujiona wao n wasafi kuliko wenzao. Huyu dada ganya1984 ameolewa na mume wa mtu ambae ana...