Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

  • Closed
Nawaletea exclusive kubwa ya karne kwenye nji hiiii huyu mtoto jamani watu wamuache, kimyakimya kawekeza kwenye biashara ya vodka na jinsi kwa sasa alivyo musician mkubwa duniani( yuko top 50 ya...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mchekeshaji aliyejipatia umaarufu kanda ya hii ya Afrika Mashariki na Umu Jamiiforums,baada ya kushinda best african comedian award at the Afro Australian Music and Movie Award ( AAMMA). Ameamua...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Kuna mada humu iliwahi kuletwa kuhusu mbwiga wa Clouds FM kushindwa kusoma, jana imethibitika kashindwa kusoma magazeti kwenye kipindi cha Power Breakfast akasingizia macho hayaoni. Mimi naweka...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
huyu jamaa ni very charming, kwa tuliosoma nae tuna uhakika asilimia mia kuwa atashinda
0 Reactions
61 Replies
15K Views
Bwana mdogo nadhani una maskauti wanaopeperusha newz zako humu, hao wakufkshie taarifa.. Kuna Mkongomani anamburuza nyapu Wema Sepetu. Amka bro mali yako inaliwa. Mkongo huyo ana pesa ndefu, ndiye...
3 Reactions
81 Replies
19K Views
Wasalaam wana jamvi. Ni wazi kila mtu anajua Diamond ni msanii mkubwa na anaye Fanya vizuri na ana tengeneza pesa nzuri kupitia muziki wake. Bila shaka kila mmoja wetu anajua Kuwa Diamond ana...
0 Reactions
55 Replies
9K Views
Tuzo kubwa za MTV EUROPE zimewadia na Mtanzania Diamond platnumz ameteuliwa, kuwania kipengele cha mwanmziki bora wa Afrika/,kama utakumbuka za mwanzo zilikuwa ni tuzo za Mtv kwa aAfrika pekee...
3 Reactions
50 Replies
8K Views
Diamond tena aharibu UK show imebuma watu wamelipa ma euro wamekaa mpaka saa kumi alfajiri no show. Huyu dogo tukimsema kuna watu mnatuona tuna beef na mafanikio yake, ila nitaendelea kusema dogo...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Umofia Kwenu wana JF, Mwanamuziki wa Cocacola Pop Stars,Sarah Kaisi Alias Shaa amelamba shavu la kutangaza katika luninga ya Citizen katika kipindi kinachoenda kwa "Sakata Mashariki"...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
MAKUBWA , madogo yana nafuu ! Mwigizaji wa kitambo na mwimbaji wa muziki wa Kizazi Kipya , Ummy Wenslaus ' Dokii ' anadaiwa kutoa kali ya karne baada ya kumpa askari wa jiji rushwa ya busu, Ijumaa...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Victor hafai- kabisa,Kwa wasiomjua- huyu jamaa ameanza- hizi vurugu- kitambo. Ameshawatapeli kina Ay birmigham Ay alienda clouds akachafua ila nadhani watu wakawa hawajajua kiundani ni nani...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Dansa wa Nasibu Abdul ' Diamond ' , Moses Iyobo amefunguka kuwa hajawahi kuoa wala kuchumbia bali amezaa na mwanadada anayeitwa Mwengi . Dansa huyo ambaye hivi sasa anadaiwa kukolea kwa...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Kwanza wanajitahidi na kujituma katika kazi zao za muziki, lakini wana mapungufu ambayo ni vema wayarekebishe. Katika nyimbo zao wanakera kwa kuweka maneno ambayo yanachukua sehemu kubwa na pia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Udaku Specially Imefanikiwa Kupata Picha za Waanzilishi wawili wa Mtandao Mkubwa East Africa wa Jamii Forums ambao ni Maxence Melo na Mike , Najua ni Wengi Mlikuwa mnapenda Kuwajua kama mimi...
4 Reactions
35 Replies
7K Views
Inafundisha nini jamii huu u supaster wa wapi huu
0 Reactions
111 Replies
11K Views
Kupitia Instagram ya Ray C ameandika: Taasisi ya Ray C Foundation iliyo chini ya muimbaji mkongwe, Ray C imefanikiwa kuongeza mradi mpya wa mgahawa ambao utatoa fursa ya ajira kwa vijana...
0 Reactions
255 Replies
29K Views
Umofia Kwenu wadau wa JF, Kweli wahenga waliona mbali na kauli zao na nimeamini hakuna marefu yeyote yasiyokuwa na mwisho,usemi wao umethibitishwa na ma- beautiful oninyes wa donta,miaka kadhaa...
5 Reactions
22 Replies
8K Views
"Nawashangaa sana watu wengine mnajifanya mnajua sana kuongea kuhusu mambo yasiyo wahusu kuna mzazi yoyote anataka mwanae apotee aache mambo ya kishamba unataka mtoto avae dira kwani yeye mtu...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Taarifa ikufikie kwamba sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ' Lulu' amemnasa aliyekuwa meneja wa Wema Isaac Sepetu , Martin Kadinda ambaye ndiye atakuwa meneja wake kwa sasa...
0 Reactions
65 Replies
11K Views
  • Closed
SIKU chache baada ya kufunga ndoa , mwigizaji Lucy Komba amempa sharti mumewe ambaye ni raia wa Dernmark , Janus Stanley Landrock kwamba hatozaa naye hadi atakapokamilisha suala la uraia wake...
0 Reactions
211 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…