Wema Sepetu amwaga mijihela usiku maalum wa birthday ya Mr. Jacks a.k.a Jack Daniels uliopambwa na Skylight Band
Hapo Kwenye Picha Wema Alikuwa anaimbiwa Wimbo Maalumu kwa Ajili yake na Kuamua...
Mahaba niue! Baada ya penzi la staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz', Moses Iyobo ‘Moze' kushamiri kwa kasi ya umeme, wawili hao...
Kutokana na fitna nyingi zinazoendelezwa na aliyekuwa kiongozi wa Bongo Movie William Mtitu, pamoja na mjomba Mrisho Mpoto raisi was bongo movie ameamua kuachia madaraka, wasanii mtakula wapi...
Kati ya vitu ambavyo kwa msanii wa hapa bongo anavyojali most,miongoni mwao ni ku-maintain status yao ya u-superstar,na moja kati ya vitu anavyotakiwa kufanya mtu kama star ni kufanya vitu tofauti...
Baada ya kupitia kipindi kigumu cha kutumia madawa ya kulevya ' unga ' kisha kunusuriwa, super lady kwenye Bongo Fleva , Rehema Chalamila ' Ray C ' , hatimaye mambo yameanza kumnyookea...
Nimeona story nyingi ni za udaku/ukuda na chache sana ni uhalisia! Je hili jukwaa ni lazima kuweka kipaumbele story feki au udaku/ukuda? Magazeti ya udaku yamechukua nafasi kubwa hapa ambapo mara...
1. Steve Jobs
Inawezekana komputa za Mac na bidhaa nyinginezo kama iPhone zisingekuwepo kama Steve Jobs angebakia chuo.
2. Bill Gates
Moja wa watu walioacha chuo Harvard na wamefanikiwa na ni...
Msanii wa bongo flava Ney wa Mitego ametoa video mpya ya wimbo wake MR NEY, katika wimbo huo kuna taswira mbalimbali ambazo zimeonekana kwa wale wenye kuingalia Music industry kwa jicho la tatu...
Aliruhusu vipi Davido kumfanya poyoyo tena kwenye nyimbo yake mwenyewe. Inaonyesha pia wanao mzunguka Diamond ni hawajielewi.
Tanzania To Lagos,
I go make you famous.
Aibu sana kwa taifa. Au...
Mambo hadharani
Baada ya kimya kirefu, staa wa Hip hop Bongo, Emmanuel Elibariki ' Nay wa Mitego ' kwa mara ya kwanza amemwanika mtoto aliyezaa na msanii wa sinema za Kibongo, Skyner Ally...
wengi wanasema hajui kupiga instruments na ni msanii wa kutegemea CD lakini hapa majuzi mdaku mmoja wa karibu naye alichezesha taya na mwandishi maaraufu anayekuletea habari hii iliyokamilisha...
Wakati akiongea katika mahojiano maalum kuhusu kutimiza miaka miwili ya kipindi chake cha Maskani kinachorushwa na 100.5 Times. Leo asubuhi akijibu maswali ya Mc Pililpili aliyekuwa mmoja wa...
Lady Jay Dee, jana (August 30) kupitia Instagram alijibu kwa ufupi habari iliyoandikwa na gazeti la Risasi yenye kichwa cha habari ‘Jide, dogo dogo gumzo mjini', Jana kupitia ukurasa wake wa...
Ile nyimbo ya shilole na jlo au kama mwenyewe anavyomuita jeniffer ropez, ni nooma
mr maatope nakuletea exlusive nyuzi maana nimebahatika kuisikiliza, nyoka wote watakaa ni soooooo
stay tuned...
Msanii AY anatarajia kuachia nyimbo mbili za kimataifa mwezi November mwaka huu. Miongoni mwa nyimbo hizo ni pamoja na ule aliomshirikisha Sean Kingston.
Akiongea na kituo cha...
KWA YEYOTE ATAKAE TAKA KUENDELEA NA STORY HII TAFADHALI NI TEXT HAPA 0656660223 INAITWA FINAL.DECISION NAMI NITAKUTUMIA LINK YA STORY YOTE
FILAMU YAKE ITATOKA HIVI KARIBUNI NA HII NI SEHEMU YA...