Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

habari nilizozipata ivi punde zinasema babu seya kaachiliwa huru naomba usibitisho jamani ========== TAHADHARI: UVUMI SI WA KWELI Picha inayosambazwa kwenye mitandao ni ya Oktoba 2013 wakati...
0 Reactions
102 Replies
24K Views
Ningependa kufahamishwa jina la binti aliyeimba kwenye tangazo la Switch On la Eya Tell
0 Reactions
32 Replies
7K Views
lawmaina78,waltham,Bantugbro, Ab-Titchaz, Dhuks, mwitaz, livefire, Nairoberry, Koborer, Askari Kanzu,lawmaina78,mwathai,Ngongo, kadoda11,nomasana, NairobiWalker, Wacha1,Kiranga, Koba, Ndahani...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Former WWE wrestling superstar Sean O'Haire was found hanged after taking his own life, according to US reports. American gossip site TMZ claims local police discovered the 43-year-old's body in...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Unaweza kuwa mfupi kiasi cha kukufanya utamani kuongezeka, lakini ukiwaona wenzako wanavyopeta nalo basi utagundua unapaswa kumshukuru Mungu kwa umbo lolote ulilopewa. Jyoti Amge, mwenye umri...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Singer and fashion icon switches up her look and transforms into some kind of goddess in new dramatic photos for German fashion magazine, Tush. The Bajan beauty rocks a long gray wig, frosted...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Millard katubagua wale wote wapenzi wa Kilimanjaro Music Tour kwa kutoleta news zake on air tofauti na Serengeti Fiesta ambapo hupamba kwa habari kibao hata kabla ya tukio lakini hii ya kili music...
1 Reactions
46 Replies
8K Views
Ghanaian movie star Majid Michel must be gearing to stir up the movie scenes in Nigeria and Ghana soon with his recent comment on popular Nollywood actress Genevieve Nnaji. Although he is...
0 Reactions
61 Replies
9K Views
Mahakama:Pistorius hakukusudia kuua Jaji anayetoa uamuzi katika kesi ya mauaji inayomkabili Oscar Pistorius, amesema upande wa mashitaka umekosa kuthibitishia kikamilifu shitaka kuu la kwanza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za CHOAMVA mwaka huu. Diamond ametajwa kuwania vipengele vinne ambavyo ni pamoja na MOST GIFTEDVIDEO OF THE YEAR, MOST GIFTEDNEWCOMER...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Wadau mbalimbali wa muziki hapa nchini, wote kwa pamoja wamesema kuwa Prof Jay ndie msanii aliyeweza kukaa kwenye gemu muda mrefu hapa nchini kwasababu ya VVU. kirefu cha neno VVU- Vina Vya Ukweli
1 Reactions
35 Replies
10K Views
Hawa ni waimbaji maarufu duniani walioana hivi karibuni (Beyonce born 1980, Jay Z born 1969). Age is nothing but a number kama wanavyodai wao. Inadaiwa kuwa Beyonce alikuwa na ujauzito wa bandia...
0 Reactions
89 Replies
14K Views
KW/RB /8441 /2014 imemshikilia Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania , Hashimu Lundenga kwa madai ya kuzichapa na Miss Tanga 1997 , Mona Faraja ambaye pia ni mke wake na kumsababishia majeraha...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
Hii imetokea kwa mwanasiasa machachari na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mh. Zitto Kabwe baada ya kutokea sintofahamu kati yake na mpenzi wake Diva. Zitto alitoa kauli ya kukana kuwa na mahusiano ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Siku ya leo mwanamuziki nguli wa Bongo fleva , Diamond Platnumz yupo nchini Africa Kusini akishoot kipindi na Televisheni ya MTVBase ya nchini humo. Bado haikuweza kujulikana kipindi hicho...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Jipya! Baada ya kimya cha muda mrefu, imefichuka kwamba kesi ya kuuawa kwa aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba ' The Great' imechukua sura mpya baada...
0 Reactions
71 Replies
11K Views
Inside Late Comedian Joan Rivers Luxury New York Apartment Camera's have been allowed to capture the extremely luxurious home of late comedian Joan Rivers. The limestone mansion which was...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Sherehe ya kicheni pati ya staa wa filamu Bongo, Lucy Komba imewashangaza waalikwa wengi baada ya kutawaliwa na vitu vingi vya kiasili tofauti na matarajio ya wengi. Sherehe hiyo ilifanyika...
2 Reactions
63 Replies
30K Views
Nimeshangaa sana leo kwenye friday night live kumuona baghdad kuwa mwembamba sana kubadilika toka unene wa Sean Kingston.
0 Reactions
44 Replies
15K Views
Back
Top Bottom