JAMBO limezua jambo
Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amemvaa prizenta wa Kipindi cha Ala za Roho cha Redio Clouds FM, Lovennes Malinzi ' Diva ' kwa madai kwamba amemtangaza...
PROMOTER BRITTS EVENTS WAFUNGUKA JUU YA KASHAFA NZITO YA KUHARIBU SHOO YA DIAMOND NCHINI UJERUMANI
Posted by william Malecela on Tuesday, September 02, 2014
Awin Williams...
MAHABATi! Beautiful Onyinye wa Bongo,
Wema Sepetu Madam amedhihirisha kuwa
yeye ni mwanamke tayari wa kuwekwa ndani
baada ya kusema anajitahidi kila siku katika
suala la mapishi ili asimlishe...
Wakuu,hamuwezi kuamini,nitakavyoanza kuwapa kisa cha kweli kuanzia kesho,kinachomhusu mcheza basketball wa zamani wa USA,najua wengi mtavutiwa na kisa hiki ambacho ni cha kweli na cha...
Habari zenu wana JF, naomba kuuliza hivii.. mtangazaji wa Clouds FM Dr. Issack Maro anayeendesha kipindi cha njia panda, ametozwa faini kiasi gani na hivi analipa yeye mwenyewe au inalipwa na...
Batuli
Kwa mara nyingine , staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf Batuli amemwaga data za kimapenzi akidai hajawahi kumpendamwanaume kama alivyompenda NiceMohammed Mtunis .Staa wa...
Manager wako juzi juzi tuu hapa katangaza kuwa mna pata zaidi ya $15,000/= kila show.
Iweje leo ushindwe kuingia ukumbini kwa muda muafaka kisa hujamaliziwa €250?
Haya sasa wamekupa ban...
Mwanamziki wa kitanzania aitwaye Juma Mpolopoto maarufu kwa jina la Jux amesema kuwa baadhi ya mashabiki wamekuwa wakimdhania tofauti na alivyo huku wakidhani kuwa anaimba mziki kwa ajili ya...
STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa hana rafiki yeyote maarufu ndani ya Bongo Movies.
Akizungumza na paparazi wetu, Shamsa alisema kuwa tangu huko nyuma alishawafuta marafiki...
AMA kweli fedha mwanaharamu ! Kama bado ulikuwa ukiamini kwamba Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu anayependelea kuitwa Madam ana mtonyo ( fedha) kumzidi aliyekuwa shosti wake, mwigizaji Kajala...
Mtunisi
YOBNESH Yusuph ' Batuli' anayekimbiza kunako soko la Bongo Movies , amefunguka kuwa hataki kusikia habari za aliyekuwa mpenzi wake aliye pia msanii mwenzake, Mtunisi kwani mapenzi...
Mwigizaji na Mwanamuziki Maarufu Bongo Shilole Amesema Kwake Matumizi ya Condom huwa yanamyima raha ya Mapenzi Hivyo alilazimika kwenda kupima ngoma na mpenzi wake ili wasitumie mipira.
Shilole...
Mtalaka wa msanii mkongwe wa filamu Nuru Nassoro ' Nora', Luqman Nassoro amesema anasaka wasichana warembo na muonekano mzuri kuanzia sura hadi shepu kwa ajili ya kufanya nao kazi.
Msanii...
WanaJF nimemsikia aliyekuwa Mtangazaji wa TBC Joseph Msami kwenye kipindi cha Mkasi EATV akidai kuwa ndiye aliyempokea Millard na kumfundisha kazi enzi hizo wapo Radio ila kilio chake kwake kila...
It's with great amazement that many bongo super stars prefer being hallowed in vain,though they pretend hating udaku papers but they cannot obtain any sleep if it happens that within the entire...
Mcheza shoo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond,' Moses Iyobo (katikati).
Mcheza shoo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul "Diamond" Moses Iyobo amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuenea uvumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.