Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

CHEREKO! Ikiwa umepita mwaka mmoja tangu mumewe Juma Kilowoko ' Sajuki ' afariki dunia , msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma ameongeza ndinga mpya na kuiacha ile ya zamani kwa muda...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Milio ya risasi ilisikika usiku wa kuamkia jumapili 24/08 saa 1:30 kwenye klabu ya usiku ya 10AK, West Hollywood kwenye pre-VMA party. Baadae ilifahamika kuwa co-founder na former CEO wa Death Row...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Kimenuka! Mama mmoja mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam , aliyejitambulisha kwa jina la Mama Zahara , ameibuka na madai mazito akimtuhumu msanii wa filamu ambaye pia ni mjasiriamali , Lulu...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindalo la Big Brother Africa The Chase, Ammy Nando anatarajia kutoa kitabu chenye kiitwacho ‘Mhuni Mwenye Akili. Mhuni huyo Mwenye Akili' alitolewa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Angelina Jolie wa Bongo' Irene Paul amekiri kuwa kwa sasa hajaolewa ila anaishi na mwanaume kwa kumpikia na kumpakulia. Akiongea hivi karibuni, Irene ambaye mara nyingi ni mchoyo wa...
0 Reactions
31 Replies
10K Views
Linah ni Msanii mkubwa tu wa Tanzania..Ila hii Description aliyoweka Youtube sio Nzuri! Hapo kwenye RED english mbovu ,na sikudhani kama kulikUwa na maana wa kuiweka South Africa . nadhani...
0 Reactions
96 Replies
51K Views
HABARI kubwa ya mjini hivi sasa , hasa kwenye mitandao ya kijamii ni juu ya madai mazito ya kuvunjika kwa ndoa ya selebriti wawili Bongo, staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura ‘ Lady...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
WASANII waliokuwa wakipigania cheo cha urais wa Manzese, Hamad Ally ' Madee', na Emmanuel Elibariki ' Nay wa Mitego ', hatimaye wamemaliza tofauti zao baada ya kudumu kwenye bifu kwa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
straight to the point above: 1. Ali Kiba wewe jamaa unamavocal,masauti,na pengine unapendwa sana kazi zako..ila umeshindwa kabisa kukaa kwenye game na kujitangaza ipasavyo. 2.Lulu MIchael...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wema Sepetu a.k.a Beautiful Onyinye amekula kiapo cha kumchukia dada wa hiyari wa mwandani wake, Nasibu Abdul ' Diamond Platnum ' , Halima Kimwana ambaye wamekuwa na bifu kwa kipindi kirefu...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wasalaam wana jamvi. Kwa mara nyingine wasanii Diamond na Davido wameonekana kuwa vinara wa muziki Africa baada ya kukutanishwa tena kuwania tunzo nyingine huko Marekani wakiwa sambamba na Awilo...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
MWANADADA anayefanya vizuri katika muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ' Baby Madaha' kwa sasa amejiweka kimapenzi na msanii anayetamba Kenya, Kevin Wyre baada ya kuwepo kwa tetesi za kutemana...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
MAKUBWA! Mambo yamekuwa mambo, kadi ya gari jipya la staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ' Lulu' imeibua mazito kufuatia Jeshi la Polisi Dar es Salaam kubaini kuwa namba ya...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Jamani nampenda kimapenzi huyu dada wa bongo movie Mwenye mawasiliano naye, historia yake pia kwakua naamini atakua mama wa watoto wangu. Nisaidieni Jamani
0 Reactions
41 Replies
10K Views
Umofia Kwemu, ZZK anahojiwa na salama jabir ndani ya mkasi.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nilikuwa mwana JF wa kwanza kutoa uzi wa tuhuma nzito kwa Flora Mbasha kwa jinsi alivyokuwa amejipanga kumfunga mumewe,ili awe free kuendelea na mambo yake, uzi ule ulivutia wengi,na wengi wao...
7 Reactions
144 Replies
35K Views
If this is true! Huyu jamaa hakufai. Kwanza hajui kama umaarufu alionao kila unapotajwa wewe na jina lake ndio unaongezeka. Tafuta Mwengine! You can stand alone without him. This is too much...
0 Reactions
96 Replies
12K Views
Ule msemo wa ukisema cha nini wenzako wakiona cha maana na mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi umedhihirika pale ambapo kijana mzoea ma sugar mammy amejikuta akiangukia kwenye suga mammiest...
6 Reactions
77 Replies
13K Views
  • Closed
Mwimbaji wa ‘Ayee' Davido wa Nigeria amethibitisha kuwa mbali na kuwa mtoto wa bilionea lakini muziki unamlipa kwa kiasi cha kumuwezesha kumiliki private Jet yake. Kama wewe unamfollow...
0 Reactions
41 Replies
13K Views
Miaka miwili baada ya kufunga pingu za maisha ( ndoa ) na mwanaume aitwaye Kauli Juma , imefichuka kwamba ndoa ya prizenta wa Star TV, Sauda Mwilima ina shida kwani haishi na mumewe, ikidaiwa...
0 Reactions
46 Replies
13K Views
Back
Top Bottom