Modo maarufu Bongo, Hamisa Mabeto amekanusha vikali taarifa za kuwa ana msururu wa mabwana kama inavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Hamisa...
MWANADADA anayefanya poa kwenye anga la filamu Bongo, Lucy Komba amejikuta akibaki na viulizo vingi kutokana na kitendo cha msanii mwenzake, Aunt Ezekiel kuishi mbali na mumewe anayefahamika kwa...
Manager wa wema sepetu, martin kadinda ameibuka na kusema " Wema hana pesa ya kunilipa mimi. Ninachokifanya ni kuhangaika kutafuta dili mimi na yeye tusilale njaa, maisha ni kutegemeana."
Kadinda...
She's unbelievably stunning and engaged to be wed to Liverpool new-boy Super Mario, but there's so much more to learn about the Belgian model
They've been together for almost two years
You...
Umofia kwenu,
Super model wa tangazo la Darling Hair afariki dunia kwa ajali ya gari,ilikuwa zimebaki siku chache afunge ndoa alimuaga mchumba wake kwamba anasafiri kutembelea ndugu kumbe alikuwa...
Kabang!
Memba wa Kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese jijini Dar, Khalid Ramadhan ' Tunda Man ' na mwanamuziki wa nchini Kenya, Mwanaisha Abdallah ' Nyota Ndogo '...
Hivi kama unajua unatoka na umevaa kinguo cha ajabu kwanini usibebe hata khanga ili ikusitiri ?
Ina maana kuwa celebrity ndio kila baya la kuushangaza umma ndio ulifanye wewee ?
Ukitembelea www.roc-nation.com/artisttour na www.jay-z.com utaona jinsi ratiba ya music tours za wasanii hao zinaonyesha kuwa watakuwa nchini Tanzania mwezi oktober mwaka huu. Ujio huo japo...
RAPA mwenye jina kubwa katika Bongo Fleva , Rashid Makwiro maarufu kama Chid Benz, amekiri kutoa machozi wakati wa mahojiano redioni baada ya kupatwa na hisia kali , akikumbuka mambo mbalimbali ya...
Siku moja MUNGU akipenda nitakuwa na ndege yangu labda, na hapo kwenye ki kadi kama hiki patakuwa pameandikwa MACHOZI AIR na sio Barrick Tanzania.
Jamani hii ndege ni ya Barrick ilitumwa...
Kama kweli Flora Mbasha anamwita Gwajima mjomba kwa maana ya kuwa ni kaka wa mama yake, kwa nini mumewe alikuwa na wasiwasi naye kuwa ndo chanzo cha mgogoro wa mahusiano ya ndoa yake kwa kuishi...
Super lady kunako tasnia ya sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ( 26), anadaiwa kuangua kilio kisa kutopata mtoto, Risasi Jumamosi limeinyaka.
Super lady kunako tasnia ya sinema za...
MAPENZI bwana ! Baada ya kuogelea kwa muda mrefu katika penzi la muigizaji Kajala Masanja, hatimaye shemeji wa aliyekuwa rafiki wa mwigizaji huyo, Wema Sepetu, Ahmed Hashimu Petit Man ...
AY ameungana wasanii wengine wakubwa barani Afrika jijini Washington DC, kwa mwaliko kutoka ikulu ya Marekani kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Marekani na Afrika utakaofanyika wiki hii.
AY akiwa...
''Kuwa uyaone mengi sio maghorofa bali ni vituko vya binaadam katika hii dunia just imagine Zitto anavyoabika sasa hivi daaah, hivi kweli kuna mwanaume aliekuwa mahabani na Diva naye akasema...
Wakuu, I'm already on bed, and I have just slept few minutes ago, but some nonecense has not swept me away.
I'm having a tabloid that mainly deals with sundry stars across the UK, my question...
Kwa kweli Bongo tuna wasanii wa kike wa kujivunia. Hasa Recho na Jide. Nyimbo zote za Recho zinanibamba kinoma. Ukianza na Mwali Kigego, Umependeza na huu wa Sasa Nikumbate. Kiufupi Recho ni...