Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Katika siku yako hii ya kuzaliwa, watanzania wote tunakutakia maisha marefu na mema katika harakati za kuikomboa nchi hii, umezaliwa siku moja na Mama Therresa (Founder of Missionaries Charity)...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Naombeni mnisaidie jina la huyu jamaa wa katikati kwa yeyote anaemjua hii picha ilipigwa choice fm
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mchekeshaji maarufu nchini mzee majuto akila ujana taratibuuu.....
1 Reactions
17 Replies
6K Views
NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ' Jide ' ambaye hivi karibuni ndoa yake iliripotiwa kuwa katika sintofahamu na kuvunjika , anadaiwa kuhamia katika hoteli moja yenye...
0 Reactions
67 Replies
10K Views
Leo katika kipindi cha njia panda dr. Issack ameelezea fine waliyotozwa na TCRA kwamba kipindi kilitozwa fine kutokana na kwamba kilipotosha wasikilizaji kuhusu nguvu za kishirikina wakati...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Staa wa kike wa filamu bongo, Aunt Ezekiel, ambaye ni shoga mkubwa wa miss tanzania 2006 Wema sepetu ameibuka na kutamka bayana yeye si mpambe wa mrembo huyo, wala sio mbeba mikoba wake na wala...
3 Reactions
44 Replies
9K Views
Kama hakuwahi kutoa sadaka, huu ndiyo muda wake! Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson anadaiwa kukinukisha nyumbani kwa Wema Isaac Sepetu baada ya kunusurika kufumaniwa na mume wa mtu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
She is such a doll! Penny in the trending Gele head-wrap, yellow see-through lacey top and a blue velvet skirt that has a side slit long enough to slit your jaw open! Amazing color combo...
4 Reactions
55 Replies
11K Views
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, staa wa Bongo Fleva anayetamba na wimbo wake wa Nitasubiri, Juma Khalid ' Jux' , kwa mara ya kwanza amevunja ukimya na kufungukia penzi lake na modo...
0 Reactions
27 Replies
11K Views
Mbongo movie Lulu yasemekana amepigwa kibuti na mapedeshee wake waliokuwa wanamuweka mjini, Yule wa Mererani na yule wa tmt. Yote ni baada ya kuweka picha instagram akiwa na kiserengeti boy chake...
1 Reactions
104 Replies
18K Views
Mbasha ametoa album yake mwenyewe ya kwanza bila Flora Mbasha.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Msanii huyo ghali zaidi nchini kwa sasa, ametamka hayo alipozungumza na Mwanaspoti nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam juzi Jumatano. Alisema kuna mambo mengi yaliyomchelewesha kufikia hatua...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Guys nilikua sijui kama Petit man kambwaga mdogo wake Vanessa mdee baada ya kuachana na kajala na kwa sasa anatoka na Dada wa chibu ESMA platnam.
0 Reactions
36 Replies
13K Views
Katika kuonyesha amechoshwa na upweke, mwanamitindo Jokate Mwegelo ' Kidoti' aka BADGIRL JOJO ameibuka na kusema kuwa sasa anasaka mwanaume wa kumuoa huku akitaja vigezo vya anayestahili...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
MISS Universe Tanzania 2007, Flaviana Matata amezua utata wa aina yake baada ya picha zinazomuonesha katika tukio la kuchumbiwa kunaswa na mwenyewe kudai si yeye aliyechumbiwa. Miss Universe...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Diamond is one kid who come from very far...his struggle is an inspiration to many. All that can also be seen by the changes in his fashion and style. As his group is called "Wasafi" ..he...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Jamaa amepania kurudi, and I believe he can do wonders. kaongea kwa uchungu pia..!! Atleast he has confessed that Ruge ndo tatizo sugu against maendeleo yao.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mastaa wa filamu bongo, jackline wolper (pichani) na elizabeth michael (lulu) kwa wakati tofauti wamejikuta wakionyesha kadi za magari wanazomiliki baada ya uvumi kuenezwa na wabaya wao kuwa...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Mzee huyu alionewa sana, ila iko siku Mungu atamlipia, huwezi kubaka wewe na wanao watatu mkiwa na akili timamu, asiwepo hata mmoja wa kusema hapana, huu ni uonevu wa hali ya juu, kafungwa na...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Kunako miaka ya 80 na mwanzoni mwa miaka ya 90, majina ya Ma-DJ yalikuwa makubwa kama ilivyo kwa wanamuziki wa kizazi kipya na cha zamani hivi sasa. Mojawapo ya majina hayo ni DJ Seydou(pichani)...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…