Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Anadaiwa kufuatiliwa kwa ukaribu na polisi akihofiwa kusafirisha 'unga' kutokana na shoo za nje ya nchi, kumiliki fedha nyingi katika akaunti. ========== NIkweli kimenuka! Mbongo Fleva Nasibu...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
HAPPY BIRTHDAY MONALISA Leo ni siku ya kuzaliwa ya Monalisa Mwigizaji na Mtangazaji wa kipindi cha Filamonata cha 100.5 Times Fm. JF tunamtakia maisha mema yenye baraka na fanaka.
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Hong Kong (CNN) The 32-year-old son of actor and kung fu star Jackie Chan has been arrested in Beijing on drugs charges, as authorities clamp down on celebrity offenders. Police say they detained...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kwa wale ambao huwa wanafuatilia conspiracy theories za illuminati najua mtakubaliana na mimi kwamba huyu jamaa either ni member au yupo obsessed na illuminati, katika video take aliyopost(Diamond...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Habari zenu Tukiwa hapa kijiweni Bamaga, tukipiga story mbili tatu anakuja jamaa Mshikaji wetu anayefanyia TBC ambapo Ni mmoja kati ya waendesha kipindi fulani...Baada ya kupiga story mbili...
0 Reactions
84 Replies
22K Views
Msanii aliyepata kuvuma sana kabla ya mwaka 2010 alimaarufu kwa jina la Marlaw, amejutia uamuzi wake wa kukipigia kampeni chama cha ccm kwani kimemporomosha kimuziki. "Unajua mimi mwaka 2010...
0 Reactions
123 Replies
23K Views
Ameandika hivi kwenye facebook. page yake "Tahadhari /Ombi: Kuhusu wimbo "Mdogo Mdogo" wa Msanii Diamond uliofanyiwa remix na kuingizwa maneno ya kampeni yenye mvuto na ladha ya kipekee na...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
kama tittle inavyojieleza hapo,huyu jamaa(Spack) alikuwa mkali sana kwenye bongo fleva,naona amepotea ghafula sana.. anayejua yuko wapi,anafanya nin na kwanin aliamua kuacha mziki atujuze.,
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Mdogo wangu Diamond, umesahau ulikotoka, mafanikio yamekufanya hadi unamdharau baba yako mzazi, hata kama alikukosea vp, huna baba mwingine zaidi yake. Mama yangu aliwahi kuniambia kuwa, baba ni...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba nifunguke kidogo nielezee kile ninachokifahamu kuhusu ili sakata!! Mgogoro katika ndoa ya Mbasha na Florah ulianza kushika kasi mwaka jana mara baada ya Florah na Mumewe kuhamia kuanza...
2 Reactions
84 Replies
17K Views
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Baby Joseph Madaha amenusurika kubakwa nchini Kenya baada ya kupanda jukwaani akiwa ametinga kivazi cha nusu utupu. Tukio hilo lilitokea Jumamosi...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Picha ya mwanamuziki wa nyimbo za mduara nchini, Shilole Mohamed aka SHISHI BABY iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii kama Insta. Na kuwaacha mashabiki midomo wazi wakijiuliza kama huyu ni...
5 Reactions
100 Replies
30K Views
AliKiba amewataka watu kuachana na tabia ya kuwagombanisha Diamond ili wafanye muziki mzuri. "Kila mtu anaandika anachotaka juu ya mimi na Diamond, mpaka wengine wanatumia akaunti fake za...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Niliwahi kuambiwa zamani kuwa,wasanii huwa hawana tofauti na mabaamed kitabia nikawa siamini,sasa nimepata taarifa nzito za siri kuhusu Odama kuwa,pamoja na kutokuwa na skendo kwenye vyombo vya...
0 Reactions
57 Replies
12K Views
Baada ya timu Wema kumzodoa Diamond kwa kumkatisha miuno kwenye tamasha la fiesta,Diamond kawajibu punde na kutoa msimamo wake!!! Picha soon inakuja!!! *****************************************
0 Reactions
179 Replies
30K Views
Mzazi mwenza wa Afande Sele afariki dunia..source Afande Sele fb
0 Reactions
105 Replies
24K Views
NYOTA wa Bongo Fleva, Herry Samir maarufu kama Mr. Blue amesema wasichana warembo, Wema Sepetu na Najma ambao aliwahi kutoka nao kimapenzi kwa nyakati tofauti miaka ya nyuma, walimfilisi...
0 Reactions
46 Replies
25K Views
  • Closed
Akihojiwa na watoto wa Five connetc EATV, kuhusu issue yake na Chameleon wa Uganda, amesema comment za JF hazimnyimi usingizi coz ni Mtandao wa kijingkijinga... Nimemsikiliza Eric Shigongo kupitia...
0 Reactions
153 Replies
29K Views
Back
Top Bottom