Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mabinti hawa wameshindikana kabisa,uhuni wanaofanya wao wanaona sifa, Ndikumana alileta ushamba wa Kinyarwanda hapa bongo akaparamia dege lisiloliwa,mwisho wa siku anajuta hana hata pa kushika...
2 Reactions
10 Replies
8K Views
Pastor Myamba na Mkewe Praxceda wakionyesha pete zao za ndoa Sio muvi wala maigizo bali ukweli ni kwamba Mwigizaji machachari wa Bongo Movie anayezitendea haki scene za uchungaji, Pastor Myamba...
0 Reactions
60 Replies
27K Views
Baada ya kuwa kimya muda mrefuu bila kusikika kwenye vyombo vya habari, hakika kimya kingi kina mshindo mkubwa, Hussein machozi Akiwa mombasa kwa ajili ya kushoot video yake msanii hussein...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Comedian Robin Williams dead, sheriff says By Alan Duke, CNN updated 7:47 PM EDT, Mon August 11, 2014 (CNN) -- Comedic actor Robin Williams died at his Northern California home Monday, law...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Mtangazaji maarufu nchini wa vipindi vya Radio na Television Dennis Busulwa a.k.a Ssebo amejiunga na Radio ya E FM ambayo imekwishajizolea umaarufu mkubwa jijini Dsm kwa kipindi kifupi tu kutokana...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
kutoka kushoto,Linex,Zitto Kabwe Msanii Linex : Katika hali ya kushangaza na ya kustua wengi,msanii maarufu wa muziki wa bongoflava kutokea mkoani Kigoma Linex, Ametangaza nia ya kuwania...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Ni hatua nzuri waliyofikia na hii inatuonyesha ni jinsi gani tunapaswa kuweka vinyongo pembeni na kusameheana.Hii wameonesha warembo wawili machachari wema a.k.a beautiful onyinye na jokate a.k.a...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
MKALI wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego, amesema kuwa aliwahi kushuhudia staa mmoja wa filamu Bongo (jina tunalo) akijiuza kwa mgeni mmoja kutoka nje ya nchi na kwamba...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Stori: Erick Evarist na Sifael Paul HII ni exclusive! Kwa mara ya kwanza, staa anayeitikisa nchi kwa sasa na wimbo wake wa Mwana, Ali Kiba amefunguka kuwa mwigizaji kiwango Bongo, Elizabeth...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Nisaidieni wadau ninashida sana na Maco Challi!
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Katika kuonesha ukaribu na vijana na utayari wa kutoa msaada wa hali na mali, Mbunge wa Kigoma Kasikazini Mh Zitto Zuber Kabwe amemtungia mashairi msanii wa muziki wa Bongo fleva hapa Tzee Linex...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Umofia Kwenu JF, Kuna habari nyingi kuhusu huyu pedejhee kusaidia sana wasanii wa bongo flavor na mambo mengi yanayofanana na hayo,leo kupitia mkasi amekiri kwamba amekaa sana MOMBASA na huku...
0 Reactions
32 Replies
11K Views
Wastara anahojiwa na FNL right now
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Prizenta wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Radio Times FM , Hadija Shaibu ' Dida' ameonesha jeuri nyingine ya fedha baada ya kununua magari mengine mawili kwa mpigo . Dida...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Kumekuwa Na Mijadala Mingi Sana Inayojaribu Kuzungumzia Maisha Binafsi Ya Freeman A. Mbowe, Kubwa Ni Kuwa Amekuwa Akidaiwa Kumsaliti Mke Wake Aliyezaa Naye{lilian} Na Ikajengwa Hoja Kuwa Kama...
7 Reactions
96 Replies
25K Views
napenda kufahamu historia japo kwa ufupi tu ya huyu mtangazaji wa tbc taifa anaendesha kipindi cha ujumbe na mziki. Ni moja kati watangazaji ninaowakubali sana kwa uwezo wa kuwasilisha na...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wenye maduka ya nguo na saluni za kike wamewalalamikia Wolper na Lulu kwamba ni wakopaji maarufu na wasiopenda kulipa madeni yao. Nasikia hata matengenezo ya kucha wanakopa. Hizi habari zimenza...
3 Reactions
124 Replies
15K Views
TASNIA ya filamu Bongo imepata pigo tena baada ya msanii aliyekuwa akichipukia kwa kasi, Patrick August ‘Bryton' kufariki dunia kwa ajali mbaya ya pikipiki.Akizungumza na paparazi wetu...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
TAARIFA KATIKA PICHA : AFYA YA BAHATI BUKUKU YAZIDI KUIMARIKA NA WALA HAJAVUNJIKA MGONGO Hali ya mwimbaji wa nyimbo za injili Bahati Bukuku inazidi kuimarika na kuendelea vizuri kama GK...
0 Reactions
25 Replies
20K Views
Huyu ni msanii wa kike maarufu tu, na jina lake lilianza kukua zamani kidogo na alishaandikwa sana kwenye magazeti kwa scandal za kutoka na wanaume tofauti, ni mfupi mwenye rangi ya kunga'aa na ni...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Back
Top Bottom