GARI la muigizaji maarufu wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude' limekamatwa na Polisi jijini Dar es Salaam likihusishwa na tukio la ujambazi linalodaiwa kutokea Kijitonyama Mpakani usiku wa...
Kansiime Anne ni mchekeshaji kutoka Uganda ambae amesomea Sayansi ya saikolojia kwenye chuo kikuu cha Makerere Kampala Uganda ambako alianzia kuchekesha kama utani kusambaza video zake mitandaoni...
HEAVEN ON DESERT naomba tupe ukweli wa tuzo za diamond we ulisema kachukua mbili et website walikosea kuhusu tuzo kwenda kwa mafikizolo so watalekebisha mbona diamond kaonekana na moja jana...
Namzungumzia mtangazaji wa kipindi cha supermix kinachorushwa hewani na EARadio.Nimekuwa msikilizaji wa kipindi hiki kwa muda mrefu toka kilipokuwa kinaendeshwa na Musa.Ninachokiona kwenye...
Mabachela sugu; Slaa, Zitto, Mnyika,
Machela sugu; Mdee, Vicky Kamata
Ambao ndoa zao hazieleweki na sijawahi kuwaona wakitambulisha wake zao sehemu ambazo wamepewa heshima; Mbowe, Lema, Sugu...
Msanii wa kizazi kipya, Diamond platnums, amewaomba mashabiki wake kumpokea Airport usiku wa saa nne kesho jumatano kwenye viwanja vya Julius K Nyerere, akitokea nchini Marekani alipoenda kwenye...
Waswahili wanasema ngoma ikilia sana haikawii kupasuka. Ni hivi karibuni mwanamziki wa Kitanzania wa muziki wa kizazi kipya Hussein Rashid kwa jina maarufu Hussein Machozi ametokea kuvuma sana...
The End of Beyonce and Jay Z? The Craziest Claims From the New York Post's Hit Piece
The New York Post claims (again) that music's First Couple, Beyoncé and Jay Z, are no longer crazy in love...
Kumbe hizo tuzo anakusanya Diamond ni kwa mgongo wa Davido. Ina maana hakuna hata wimbo alioimba peke yake ambao umekuwa nominated.
Ngoja niachie hapa wazee wa data waanze kuzishusha kuona kama...
Habari vp wana bongo!
JAMANI!! kuna hiki kipaji kingine ADIMU
NI DOGO ASLEY!!
NI bado kijana mdogo lakini anavyocheza na sauti na mbwembwe ni kama mutu ya BAKONGO!
...ebu sikia KIPATE HIKI cha...
Muimbaji maarufu nchini wa nyimbo za injili
nchini,Bahati Bukuku (40) amepata ajali akiwa
katika gari alilokuwa akisafiria kuacha njia na
kugonga gema, baada ya kugongwa na gari
lingine...
Ni kitu cha kujivunia kama both best female and best male artist east africa wametoka nchi mmoja(Tanzania). Hii ina maana we run EA kwenye sector ya music.This is what should be discussed, as...
Model Andreja Pejic Comes Out as Transgender
"As a transgender woman I hope to show that after transition (a life-saving process) one can be happy and successful in their new chapter without...
Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo,
Tangu mbunge wa mbeya mjini muheshimiwa sugu alipoonyesha nia ya dhati ya kugombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA na kufanikiwa kupata kiti hicho mwaka...
Best DJ Africa 2014- Dj Black (Ghana)
Best African DJ USA 2014 Dj Josh (Kenya)
Best Video of the Year 2014- Flavour (Nigeria)
Best Male East Africa 2014- Diamond (Tanzania)
Best Male West Africa...
Ukweli unauma...nasema hivi Talent pekeee haitoshi bila kujipanga...nikiwa kama shabiki wa Ali kiba,huu wimbo wa mwana kachemka..watanzania tuwe wakweli na sio watu wakurupuka tu..Kiba ana vocal...
Ni dhahiri kuwa sasa , staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka na Rais wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ' Chaz Baba ' wapo kwenye bifu zito.
Habari kutoka kwa chanzo chetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.