Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Pole Flora!Inauma kusikiliza mdogo wako akikuelezea mumeo alivyo mbaka,si kumbaka tu hata kusikia ametembea na mdogo wako tu kwa kukubaliana naye.Binafsi nakupongeza kwa kututhibitishia wenye...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Mwanafilamu maarufu ktk bongo movie miss wema amewaasa vijana kuacha michepuko na kuwa na mpenzi 1, haya amezungumza kutoka ktk tamasha la kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa vijana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
While Kanye West is singing praises of his new wife, saying no woman on earth turns him on like she does, In Touch Weekly is reporting that he's left her after only 58 days of marriage..lol. Were...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
sasa natafsiri feux de l'amour. samahani kuna baadhi ya maneno ya kifaransa nitaandika kama yanavyotamkwa bt sio kama yanavyoandikwa Feux de l'amour Feux de l'amour…. De l'amour est-ce...
6 Reactions
44 Replies
16K Views
Huwa nawasikia. Kwa kiswahili kizuri (si fasaha) hawajambo. Tatizo huja pale wanapotamka maneno ya kingereza, ni aibu. Nashauri waajiri wawe wanatilia maanani hii lugha pia maana hao watangazaji...
1 Reactions
68 Replies
8K Views
Steve Mangere, maarufu kama Steve Nyerere katika kipindi cha wasanii na siasa cha StarTv jioni hii amesema wasanii na wanasiasa ni walewale maana wote wanaongea uongo 80% na ukweli 20%. Pia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimekutana na Msanii huyu mkongwe Tanga Stendi ya Basi jana tarehe 20/07/2014. Hali nilio muona nayo sikuamini macho yangu kwamba ni yeye!. Nililazimika kumfuata na kumsalimia. Nikamuuliza Tofee...
0 Reactions
27 Replies
10K Views
MTIFUANO mzito umeibuka kati ya mastaa wa Bongo, Zuwena Mohamed ' Shilole ' na Baby Madaha baada ya kurushiana vijembe. Awali katika gazeti la Amani toleo la wiki iliyopita, Baby Madaha...
1 Reactions
61 Replies
7K Views
MWIGIZAJI nguli katika tasnia ya filamu Bongo , Aunt Ezekiel aka cheusi dawa anadaiwa kuanza kusaka mtoto ikiwa ni miaka miwili tangu afunge ndoa na Sunday Dimonte . Kwa mujibu wa rafiki wa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa wale wapenzi wa muvi za kinaijeria za zamani bila shaka mtakua mnamkumbuka huyu muigizaji. Nilipenda sana filamu aliyocheza inaitwa IZAGA. Sijui yuko wapi mwenye taarifa zaidi anijuze kwa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
wadau wa mziki wa hiphop ya kiTZ (siku hizi bongo fleva kwa ujumla wake)mtakuwa mnamkumbuka huyu brother.he was an illest mc ever btwn 1995-2002.kipindi hicho nakumbuka nilikuwa O-LEVEL na...
0 Reactions
48 Replies
17K Views
Habari toka chanzo cha kuaminika kilichopo ndani ya kanisa la mchungaji huyo ni kuwa Gwajima hivi sasa ameshauza karibia robo tatu ya mali zake na kwamba moja kati...
2 Reactions
57 Replies
7K Views
haya jamani tuisomeni vyema hii habari na tuangalie jinsi gani mzee misifa anavyotaka kukwepa lawama na kutaka kujisafisha kwa madudu alioyafanya. Zitto aandika kitabu kuhusu Amina...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
NYOTA wa Bongo Fleva , Rehema Chalamila ‘ Ray C ’ ambaye hivi karibuni aliripotiwa kupokea kipigo cha maana kutoka kwa msanii mwenzake , Rashid Makwilo almaarufu Chid Benz , ameibuka na kudai kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
On her show's 'Hot Topics' yesterday, Wendy Williams dissed "Real Housewives of Atlanta" star NeNe Leakes for decorating her $10k Hermes Birkin bag with handwritten sayings she coined on the hit...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ILIBAKI kidogo mastaa wa sinema za Kibongo , Vincent Kigosi ' Ray ' , na Salum Mchoma ' Chiki ' , wazichape baada ya kutokea mzozo kati yao uliodumu kwa dakika tatu wakirushiana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
- Tarehe 2/8/2014 ninatayarisha bonge la bash LE Mutuz Instagram Party at Escape 1 Beach Club, wote mnakaribishwa isipokuwa wale tu walio followers wangu wa Instagram ndio wataingia bure baada ya...
1 Reactions
148 Replies
17K Views
BAADA ya kuachana na mkewe ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Redio Times, Hadija Shaibu ' Dida, ' mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha TV1, Ezden...
0 Reactions
37 Replies
12K Views
BEAUTIFUL Onyinye, Wema Isaac Sepetu ( 25) aka mama ubaya, amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ' K' ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki. Habari hiyo ya kuitwa mnafiki...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Back
Top Bottom