Mamake mwigizaji wa Hollywood Sylvester Stallone anayejulikana kwa jina Jackie Stallone ni mama mzee mwenye umri wa miaka 92 lakini bado ni mtu mwenye nguvu na anaijulia sana mitindo ya kuvalia...
Wakati akimpa mama yake, Sanura Kassim ' Sandra ' gari la Sh . milioni 38 huku akitawanya mamilioni ya fedha kwenye matukio mbalimbali , staa wa Bongo Fleva , Nasibu Abdul ' Diamond...
Mfahamu mwanamitindo maarafu wa kiwango cha kimataifa Herieth Paul, ambaye ni raia wa Tanzania aneyeishi nchini Canada. Mwanamitindo huyu mwenye umri wa miaka 18 anafanya shughuli zake jijini New...
Msanii mkongwe wa filamu nchini, nice mohamed aka mtunisi amewapa makavu live mastaa wenzie ,diamond pamoja na hawara yake wema sepetu aka mama ubaya ,kwa kitendo alichokifanya staa huyo wa...
Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva , Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ' Shilole ' hawamtaki kwa madai kuwa ana...
Mheshimiwa Mbunge wa viti maalumu Vicky Kamata amefaulu kuweka stress zote pembeni baada ya mipango yake ya kufunga ndoa kutibuka.
Ametunga wimbo wa kumkejeli aliyemtapeli kimapenzi na...
Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadindaamesema kuwa amekuwa akikutana na changamoto kutoka kwa wanaume wengi wanaodhani kuwa yeye ni shoga na kufikia hatua ya kumtumia ujumbe wa kumtaka...
Mkuu kamayangu
Nasoma mpekuzi blog siamini
Nijuavyo uko na familia na ndoa Yako
Hawa mabinti wawili wanaokugombania nini jipya umekikosa kwa huyu dada shemeji. Jamani aanze kuzalilishwa...
Mwanamuziki ambaye ni zao la Jumba la Vipaji Tanzania ' THT' Estalina Sanga ' Linah ' ameaga rasmi jumba hilo ambapo inadaiwa kwa sasa atakuwa chini ya Kampuni ya No Fake Zone ‘...
Leo nimekuja na ujumbe vijana wenzangu nia yangu ni kuwapa uwelewa na kuwatoa ktk usingizi.
Natambua wengi wenu hamjui na hamtambui dunia hii inaongozwa kisiri., yaani ni siri ambayo iko wazi na...
JINA lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001. Happiness Magese (35), alikuwa akifanya kazi zake za uanamitindo nchini Afrika Kusini...
Yule dada wa UK kwa jina florah lymo au mbutananga yuko hospitalini kwa matibabu baada ya kuhisi kizunguzungu na kuanguka ghafla. Taarifa zilizohakikiwa ni kwamba alifanyiwa kipimo cha Kansa ya...
MBUTA Nanga ni a.k.a ya mwanadada FROLA LYIMO aishie UINGEREZA akiwa MTANZANIA.
Nimeshawishika kuandika mada hii kwa kujua fika nae ni mmoja wa member hapa pengineanaweza akasoma au kama kuna...
Bi dada huyu amekuwa akiposti bidhaa zake anazodai anaziproduce yeye na kuziwekea price tag za madolare ya maana. Kumbe bwana sio bidhaa zake, bidhaa hizo ni za trebellawigs.
Amekamatwa live na...
Mchizi amesema ooohhh,hii nyimbo bongo haitufai inatakiwa West huko,bumbum beat yake imeongezewa vionjo kidogo tu, Tuddy amecopy kutoka Nigeria.
Sikiliza ''you garrit'' ya orezi na bumbum ya...
NEWS DAILY
Tanzania imepata ugeni toka Nchini Marekani naye si mwingine ni Terrence J ambaye pia ni mtangazaji wa E! Entetainment Tv ya Nchini Marekani,akiwa na wenzake amefanikiwa kuikanyaga...
STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amesema baada ya kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu na mtangazaji maarufu Bongo, Peniel Mungilwa ' Penny' , sasa ameamua kumsamehe rasmi kwa heshima...
Msanii wa kizazi kipya maarufu kwa jina la Profesa Jay ameachia picha kibao siku ya leo huku zikimuonyesha akiwa katika hali tata akiwa na watu waliovalia jezi kama za jeshi la polisi, katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.