Vijana wakitanzania watatu wajulikanao kama 3G, wakombioni kuachia singo yao ya kwanza,
Mrembo wa Kiafrika. Vijana hawa, ambao wali rekodi singo hiyo mwaka jana ni G Fullah,
Frankie G na Oz...
Mtangazaji maarufu nchini VJ Penny ambaye alikuwa mpenzi wa Diamond Platnumz amechumbiwa !...well kupitia Instagram Penny ameweka picha akiwa amevaa pete ya uchumba.
Pia juzi paparazi ilisikika...
1. Ana utajiri unaozidi shilingi bilioni 1.
2. Yupo kwenye mazungumzo na promoter wa Rwanda kufanya show moja ya uwanjani ambayo anaweza kulipwa dola 120,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni...
Jana nikiwa katika pitapita zangu mitaa ya uswazi kule tandale anapotokea msanii bora kabisa kuwahi kutokea Africa na mwenye uwezo mkubwa wa kuimba na kupiga vyombo mr dangote nilkutana na story...
BABA wa aliyekuwa msanii maarufu wafilamu Bongo, marehemu Steven Kanumba ,Charles Kanumba ameibuka na kumtakamama Kanumba , Flora Mtegoa kuacha tabia ya kuombaomba michango mbalimbali .
Baba wa...
Hii clip ni ya mwanadada Vera Sidika. Yule Mkenya socialite au mhalaiki mwenye makalio makubwa na nyonga yenye ushepu.
Kwenye hii video anakiri wazi kuwa kweli katumia mkorogo profesheno na kweli...
1.JITIHADA BINAFSI - ili huyu jamaa afanikiwe kuzidi wengine wote basi kitu cha kwanza kabisa itabidi awe na juhudi binafsi na sio hadi aambiwe na mangement yake afanye hiki na kile, itabidi ajue...
Wadau huwa kuna kitu kinanichanganya kidogo kuna hawa watu wawili huwa sielewi hasa yupi ni manager wa TipTop Connection (Bonge na Babu Tale) naomba ufafanuzi kidogo kati ya hawa nani ni manager...
Tumeshuhudia mastaa kadhaa waliotutoka na kuacha simanzi kubwa kwa watanzania kutokana na umahiri wa kazi zao eg. Kanumba aliliza wengi kutokana na ukali wake kwenye filamu,Ngwea aliliza wengi...
Akiwa anahojiwa na jarida moja la huko nchini Kenya Vanessa Mdee, afunguka mengi ambayo hajawahi kuyasema sehemu nyingine yeyote ile, na kwa wengi wanaomfahamu mkali huyu wa anayezidi ku make...
Akiendeleza vita vya maneno kimashairi pamoja na ucheshi katika misemo yake, Bepari la kihaya ama waweza muita Mpoki kutoka kundi la Orijino Komedi awamu hii akiwa amemshirikisha Ben Pol ameachia...
MGAHAWA wa wasanii wa vichekesho wa Kundi la Orijino Komedi (OK), umejipatia umaarufu mkubwa na kujizolea idadi kubwa ya watu, wanaohudhuria Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam...
Wakuu,
Watu wa karibu wa huyu ndugu yetu Millard Ayo wanadai ndio anamiliki mtoto Vanesa Mdee.
Wameonekana sehemu nyingi pamoja, hata interview anazofanyiwa Vanesa na Millard zinaashiria kitu...
Jumapili moja moja nimekuwa nikifuatilia hii show ya TMT. Watangazaji wake (Joti na Lulu) kwa kweli nawakubali, wamejipanga vizuri.
Majaji mmh, namkubali mmoja tu, Monalisa. Richie na yule sijui...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark Productions inayoendesha shindano la kusaka vipaji vya muziki, Bongo Star Search (BSS), Rita Paulsen ‘Madam' amesimulia mateso aliyopitia takriban mwaka...
kesho diamond anaachia video zake mbili,mdogomdogo na bambam aliyoimba na iyanya wa Nigeria.ambayo imelenga soko la nje ..chini ni video link ya teaser ya mdogomdogo aliyoifanyia South Afrika...
Mafanikio! Taarifa ikufikie kuwa staa wa Bongo Fleva, Estalina Sanga ‘Linah' amekanusha stori za madai ya kuhongwa gari jipya analosukuma mjini kwa sasa aina ya Toyota Mark X.
Linah...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.