Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mkaree wa kompyuta Malecela Peter Lusinde kijana msomi mtanashati ambae angelisaidia taifa kwenye nyanja ya tehama yuko wapi aisee??
2 Reactions
35 Replies
9K Views
Baada ya BET sasa tunarudi hapa #Afrimma awards(AFRICAN MAGAZINE MUSIC AWARDS)zitakazofanyika jijin TEXAS mwez july 26th. Diamond yupo nominated category 5. Best male east afrika Song of the...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Kiukweli hawa wapo juu zaidi ya diamond ila hawapewi promo kama anavyopewa diamond wanajua kuimba vizuri sana hawa hapa wafuatao Ben Paul Bell 9 Ally Nipishe Barnaba Ditto Amini Kama...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kitendo cha Adam Mchomvu, Dj Fetty na B12 kupigana studio leo mchana. Boss wao Ruge Mutahaba ameahidi kutoa tamko kesho. Source: Millard Ayo
0 Reactions
66 Replies
11K Views
Angalau hawa ndio watangazaji mahiri na wenye uelewa tulionao sasa. Agness Mbapu.Florence Dyauli.Shaban Kisu.Paul James.Kibonde.Isaac Gamba.Scolastika Mazula.Molesi.Ana Peter.Omunene Ssebo.Sued...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Wadau, Katika hali ya kawaida,tumezoea kusikia na hata kuona mtu fulani akitajwa kuwa bora zaidi ktk jambo fulani.Ni kawaida kusikia fulani ni bora zaidi,mfano ktk...
0 Reactions
17 Replies
17K Views
Mwanamitindo maarufu na mbunifu wa mavazi nchini, Jokate mwegelo (pichani) akiwa kwenye pozi lenye utata
0 Reactions
69 Replies
11K Views
Ridhiwani ambaye ni mtoto wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete, kupitia ukurasa wetu wa Facebook ameweza kuelezea mambo mbalimbali yanayomhusu wakati akijibu maswali ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu! Naomba kujua huyu jamaa mahali alipo. Halafu alikua na studio yake inaitwz 'Tetemesha Records' kazi zake hata sizisikii. Pia niliwahi kusikia alivamiwa na majambazi sijui...
0 Reactions
21 Replies
13K Views
TABIA ya staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper kubadilibadili dini mara kwa mara imeonekana kuwakera watu mbalimbali akiwemo Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum ambaye...
1 Reactions
76 Replies
15K Views
Ikiwa tumebakiza miezi mitano tu tumalize mwaka huu 2014, scandals na matukio makubwa mbali mbali ya kufuraisha na kuhuzinisha yametokea kwa baadhi ya mastaa wa fani tofauti tofauti apa nchini...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Pole kwa yaliyokukuta but cha kujiuliza pamoja na kuwa kwenye game zaid ya miaka 10 (kwa ufadhili wa Flora) iweje leo unalia lia tu kwenye media kuwa Flora kakuacha? Kwani huna kisomo, nguvu na...
8 Reactions
42 Replies
7K Views
  • Closed
Staa wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anafanya kweli kimataifa, Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz ' ameandika historia kwenye Tuzo za Black Entertainment Television ( BET) 2014 huku akiwatia...
0 Reactions
74 Replies
11K Views
Forbes mtandao unaoaminika kwa kutoa list mbalimbali za uhakika hivi sasa wametoa list ya most powerful celebrities pamoja na pesa walizoingiza tangu June 2013 hadi June 2014. Beyonce...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
JF,.. Yule msanii na bingwa wa miondoko ya Afro pop music barani Afrika, Diamond yupo mbioni kuachia video zake 2 kwa mkupuo za nyimbo zake mpya, na inasemekana video hizo zimegharimu zaidi ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, huwezi ukasoma magazeti ya udaku ukakosa ugomvi wa wasanii na mambo yasiyofaa kwa jamii. Jana kwenye vichwa vya habari vimejaza mwendelezo wa ugomvi kati ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MBALI na Askofu wa Kanisa la Full Gosple Bible Fellowship, Zacharia Kakobe kuteswa na misukule inayodaiwa kufufuliwa na baadhi ya makanisa ya kiroho nchini, Mchungaji wa Kanisa la Maombezi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kijana katisha,anabadilishana jasho na wakina Nelly.Hard work pays,hata kama kakosa tuzo zote potelea mbali ila he made it,mnaoponda mjifanyie tathimini
7 Reactions
80 Replies
7K Views
Diamond yupo jijini Los Angeles Kuhudhuria utoaji wa tuzo za BET jpil trh 29..na moja ya kitu ambacho itakua ni arama na kumbukumbu kubwa kwake,ni jinalake kuandikwa kwenye sakafu ya HOLLYWOOD...
9 Reactions
170 Replies
20K Views
Hivi karibuni kuna baadhi ya picha zimekua zikisambaa kwa kasi zikimuonyesha staa ambaye ni mdogo kiumri lakini anafanya makubwa katika tasnia ya filamu, picha hizo zinamwonyesha staa huyo akiwa...
0 Reactions
51 Replies
50K Views
Back
Top Bottom