Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Best Female R&B/Pop Artist: Beyonce Best Male R&B/Pop Artist: Pharrell Williams Best New Artist: August Alsina Best Group: Young Money Best Collaboration: Beyonce F/Jay Z Best Gospel Artist...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Hongera sana presenter wangu Millard Ayo kwa kushinda tuzo 2 ya mtangazi bora wa redio anayependwa na kipindi bora cha redio kinachopendwa ambacho ni amplifaya hongera saana!! Mungu akupe maisha...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Hatimaye ! Manguli wawili wa Bongo Movies waliokuwa mahasimu wakubwa na kusababisha tafrani kubwa , Wema Isaac Sepetu ‘ Beautful Onyinye’ na Kajala Masanja ‘ K ’ hatimaye wamekutana uso kwa uso (...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Nadhani sasa yale matusi yatapungua kule instagram
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimesikiliza njia panda ya huyu jamaa ambae anaitwa Musa toka mwanzo had sasa imeniogopesha sana kama haya mambo yapo duniani. Nimeleta hapa jamvin niweze kushare na ninyi wenzangu kama mnaijua...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Mwanamuziki nguli wa bongo fleva na mmliki wa machozi band, Judith wambura aka lady jaydee ameonekana kusalimu amri kwa utawala wa radio clouds FM kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni kuyumba...
2 Reactions
116 Replies
18K Views
Kama sikosei usiku huu ndio tuzo zinatolewa.. Tupeane updates wadau..
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Anautajiri wa dola milioni $250 ,jinsi gani alipata hu utajiri,?? Nikutokana na uigizaji wake, Mfanyabiashara na kazi yake ya uimbaji. J-lo ni mwanada maaraufu mwenye maumbile makubwa ya makalio...
4 Reactions
94 Replies
439K Views
WanaJF ninakerwa sana na Propaganda zinazoendelea zikihusisha baadhi ya watu,mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kuwa Gwajima anataka kumfunga Mbasha kwa ajili ya Flora,Haiingii akilini kwa...
1 Reactions
78 Replies
26K Views
Kama kuna mtu anaujua mziki na kausikia huu wimbo atakubali jamaa ni noka,kwanzia idea,vina na mpangilio wa mashairi.. Sio audio tu,pia kama kuna mtu kaiona video ya huu wimbo atakubali kuwa...
1 Reactions
3 Replies
22K Views
UNAWEZA kusema ni majanga juu ya majanga yanazidi kumkumba modo wa Bongo, Jacqueline Patrick ‘Jack' baada ya wiki iliyopita kushindwa kupanda kortini kufuatia kutetereka kwa afya yake bila...
0 Reactions
54 Replies
8K Views
Umofia kwenu JF, Yule Mkongwe wa ma DJ John Dilinga al maarufu kama DJ JD kesho atakinukisha ndani ya power jams Ea radio katika bongo oldiez kuanzia saa saba mchana mpaka saa kumi jioni,si...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ALICHOKISEMA EMMANUEL MBASHA KUHUSU MKE WAKE FLORA MBASHA. Baada ya maneno mengi kuzaga kila kona ya Tanzania kwa wanandoa hawa wa wili.....Emmanuel Mbasha amefunguka na kuweka wazi anampenda...
1 Reactions
217 Replies
17K Views
Mtangazaji maarufu Salim Kikeke wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC ametwaa taji la Mtangazaji wa Runinga Anayependwa katika toleo la kwanza la Tuzo za Watu za Tanzania au Tanzania People’s Choice Awards...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Bi lucy ndo katangazwa ka mshindi wa bibi bomba, lakini watu aliowataja kwamba walimpeleka kwenye mashindano na wasifu wake wa kuwa kiongozi wa UWT naona kama ni FRAUD vileeeeee
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimesikiliza huu wimbo mpya wa ney wa mitego unaitwa mr nay.Anasema bongo nzima hip pop anafanya yeye wengine cjuwi wanaRap nini zaidi ya ubabaishaji?.Tena huyu jamaa kazidi kukufuru anasema...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
MAJINA YA KUWANIA TUZO ZA WATU TANZANIA 2014 YALIYOPATIKANA KUTOKANA NA MAPENDEKEZO YA WANANCHI YA AWAMU YA KWANZA 1. MTANGAZAJI WA REDIO ANAYEPENDWA 1. Vanessa Mdee – Choice...
0 Reactions
110 Replies
13K Views
Chunguza kwa makini celebrities wengi huwaoni humu! Najua id zetu ni feki na si rahisi kumtambua mtu lakini kwa jinsi walivyo na mashauzi tungewajua tuu, manake wako hivi; wazuri wao, mahandsome...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Wasalaam. Wanajamvi bila shaka bado wengi wetu tuna likumbuka jarida pendwa la Sani: Sani ni mmoja ya majarida yaliyo jizolea umaarufu hapo nyuma na bila shaka kila mtu hakupenda kukosa kila...
3 Reactions
40 Replies
7K Views
Back
Top Bottom