Anadaiwa kufuatiliwa kwa ukaribu na polisi akihofiwa kusafirisha 'unga' kutokana na shoo za nje ya nchi, kumiliki fedha nyingi katika akaunti.
==========
NIkweli kimenuka! Mbongo Fleva Nasibu...
HAPPY BIRTHDAY MONALISA
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Monalisa Mwigizaji na Mtangazaji wa kipindi cha Filamonata cha 100.5 Times Fm.
JF tunamtakia maisha mema yenye baraka na fanaka.
Hong Kong (CNN)
The 32-year-old son of actor and kung fu star Jackie Chan has been arrested in Beijing on drugs charges, as authorities clamp down on celebrity offenders.
Police say they detained...
Kwa wale ambao huwa wanafuatilia conspiracy theories za illuminati najua mtakubaliana na mimi kwamba huyu jamaa either ni member au yupo obsessed na illuminati, katika video take aliyopost(Diamond...
Habari zenu
Tukiwa hapa kijiweni Bamaga, tukipiga story mbili tatu anakuja jamaa Mshikaji wetu anayefanyia TBC ambapo Ni mmoja kati ya waendesha kipindi fulani...Baada ya kupiga story mbili...
Msanii aliyepata kuvuma sana kabla ya mwaka 2010 alimaarufu kwa jina la Marlaw, amejutia uamuzi wake wa kukipigia kampeni chama cha ccm kwani kimemporomosha kimuziki.
"Unajua mimi mwaka 2010...
Ameandika hivi kwenye facebook. page yake
"Tahadhari /Ombi:
Kuhusu wimbo "Mdogo Mdogo" wa Msanii Diamond uliofanyiwa remix na kuingizwa maneno ya kampeni yenye mvuto na ladha ya kipekee na...
kama tittle inavyojieleza hapo,huyu jamaa(Spack) alikuwa mkali sana kwenye bongo fleva,naona amepotea ghafula sana.. anayejua yuko wapi,anafanya nin na kwanin aliamua kuacha mziki atujuze.,
Mdogo wangu Diamond, umesahau ulikotoka, mafanikio yamekufanya hadi unamdharau baba yako mzazi, hata kama alikukosea vp, huna baba mwingine zaidi yake.
Mama yangu aliwahi kuniambia kuwa, baba ni...
Naomba nifunguke kidogo nielezee kile ninachokifahamu kuhusu ili sakata!!
Mgogoro katika ndoa ya Mbasha na Florah ulianza kushika kasi mwaka jana mara baada ya Florah na Mumewe kuhamia kuanza...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Baby Joseph Madaha amenusurika kubakwa nchini Kenya baada ya kupanda jukwaani akiwa ametinga kivazi cha nusu utupu.
Tukio hilo lilitokea Jumamosi...
Picha ya mwanamuziki wa nyimbo za mduara nchini, Shilole Mohamed aka SHISHI BABY iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii kama Insta.
Na kuwaacha mashabiki midomo wazi wakijiuliza kama huyu ni...
AliKiba amewataka watu kuachana na tabia ya kuwagombanisha Diamond ili wafanye muziki mzuri.
"Kila mtu anaandika anachotaka juu ya mimi na Diamond, mpaka wengine wanatumia akaunti fake za...
Niliwahi kuambiwa zamani kuwa,wasanii huwa hawana tofauti na mabaamed kitabia nikawa siamini,sasa nimepata taarifa nzito za siri kuhusu Odama kuwa,pamoja na kutokuwa na skendo kwenye vyombo vya...
Baada ya timu Wema kumzodoa Diamond kwa kumkatisha miuno kwenye tamasha la fiesta,Diamond kawajibu punde na kutoa msimamo wake!!!
Picha soon inakuja!!!
*****************************************
NYOTA wa Bongo Fleva, Herry Samir maarufu kama Mr. Blue amesema wasichana warembo, Wema Sepetu na Najma ambao aliwahi kutoka nao kimapenzi kwa nyakati tofauti miaka ya nyuma, walimfilisi...
Akihojiwa na watoto wa Five connetc EATV, kuhusu issue yake na Chameleon wa Uganda, amesema comment za JF hazimnyimi usingizi coz ni Mtandao wa kijingkijinga...
Nimemsikiliza Eric Shigongo kupitia...