Best Female R&B/Pop Artist: Beyonce
Best Male R&B/Pop Artist: Pharrell Williams
Best New Artist: August Alsina
Best Group: Young Money
Best Collaboration: Beyonce F/Jay Z
Best Gospel Artist...
Hongera sana presenter wangu Millard Ayo kwa kushinda tuzo 2 ya mtangazi bora wa redio anayependwa na kipindi bora cha redio kinachopendwa ambacho ni amplifaya hongera saana!! Mungu akupe maisha...
Hatimaye ! Manguli wawili wa Bongo Movies
waliokuwa mahasimu wakubwa na
kusababisha tafrani kubwa , Wema Isaac
Sepetu Beautful Onyinye na Kajala Masanja
K hatimaye wamekutana uso kwa uso (...
Nimesikiliza njia panda ya huyu jamaa ambae anaitwa Musa toka mwanzo had sasa imeniogopesha sana kama haya mambo yapo duniani. Nimeleta hapa jamvin niweze kushare na ninyi wenzangu kama mnaijua...
Mwanamuziki nguli wa bongo fleva na mmliki wa machozi band, Judith wambura aka lady jaydee ameonekana kusalimu amri kwa utawala wa radio clouds FM kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni kuyumba...
Anautajiri wa dola milioni $250 ,jinsi gani alipata hu utajiri,?? Nikutokana na uigizaji wake, Mfanyabiashara na kazi yake ya uimbaji. J-lo ni mwanada maaraufu mwenye maumbile makubwa ya makalio...
WanaJF ninakerwa sana na Propaganda zinazoendelea zikihusisha baadhi ya watu,mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kuwa Gwajima anataka kumfunga Mbasha kwa ajili ya Flora,Haiingii akilini kwa...
Kama kuna mtu anaujua mziki na kausikia huu wimbo atakubali jamaa ni noka,kwanzia idea,vina na mpangilio wa mashairi..
Sio audio tu,pia kama kuna mtu kaiona video ya huu wimbo atakubali kuwa...
UNAWEZA kusema ni majanga juu ya majanga yanazidi kumkumba modo wa Bongo, Jacqueline Patrick ‘Jack' baada ya wiki iliyopita kushindwa kupanda kortini kufuatia kutetereka kwa afya yake bila...
Umofia kwenu JF,
Yule Mkongwe wa ma DJ John Dilinga al maarufu kama DJ JD kesho atakinukisha ndani ya power jams Ea radio katika bongo oldiez kuanzia saa saba mchana mpaka saa kumi jioni,si...
ALICHOKISEMA EMMANUEL MBASHA KUHUSU MKE WAKE FLORA MBASHA.
Baada ya maneno mengi kuzaga kila kona ya Tanzania kwa wanandoa hawa wa wili.....Emmanuel Mbasha amefunguka na kuweka wazi anampenda...
Mtangazaji maarufu Salim Kikeke wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC ametwaa taji la Mtangazaji wa Runinga Anayependwa katika toleo la kwanza la Tuzo za Watu za Tanzania au Tanzania Peoples Choice Awards...
Bi lucy ndo katangazwa ka mshindi wa bibi bomba, lakini watu aliowataja kwamba walimpeleka kwenye mashindano na wasifu wake wa kuwa kiongozi wa UWT naona kama ni FRAUD vileeeeee
Nimesikiliza huu wimbo mpya wa ney wa mitego unaitwa mr nay.Anasema bongo nzima hip pop anafanya yeye wengine cjuwi wanaRap nini zaidi ya ubabaishaji?.Tena huyu jamaa kazidi kukufuru anasema...
MAJINA YA KUWANIA TUZO ZA WATU TANZANIA 2014 YALIYOPATIKANA KUTOKANA NA MAPENDEKEZO YA WANANCHI YA AWAMU YA KWANZA
1. MTANGAZAJI WA REDIO ANAYEPENDWA
1. Vanessa Mdee – Choice...
Chunguza kwa makini celebrities wengi huwaoni humu! Najua id zetu ni feki na si rahisi kumtambua mtu lakini kwa jinsi walivyo na mashauzi tungewajua tuu, manake wako hivi; wazuri wao, mahandsome...
Wasalaam.
Wanajamvi bila shaka bado wengi wetu tuna likumbuka jarida pendwa la Sani:
Sani ni mmoja ya majarida yaliyo jizolea umaarufu hapo nyuma na bila shaka kila mtu hakupenda kukosa kila...