Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mama wema ndo habari ya mujini....
2 Reactions
232 Replies
62K Views
Ili kuonyesha maumivu kwenye mausiano kwa mara ya kwanza ray C amefunguka live kwenye mitandao ya kijamii kuwa hataki tena mausiano ya kimapenzi na vijana wadogo a.k.a serengeti boyz Nadhani ni...
0 Reactions
53 Replies
9K Views
It's hard to find a genuine friend in Hollywood. But there was no doubting the close relationship between Samuel L Jackson and Magic Johnson as they enjoyed a well earned vacation in Italy on...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa ‘The Chase', Ammy Nando ameweka wazi kuwa alikuwa mmoja kati ya waathirika wa dawa za kulevya. Akiongea katika kipindi cha Hatua Tatu ha 100.5...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka shemeji yake mdogo (17). Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa juzi saa 12 jioni...
2 Reactions
1K Replies
230K Views
Imebainika kuwa waliompiga mr nice na kumuharibu sura lengo lao kubwa lilikuwa kumfanya kitu kibaya (kumla kiboga) kisa kikiwa ni mke wa mtu,lengo lao kubwa kuna watu wamesema lilikuwa kumfanyia...
0 Reactions
25 Replies
10K Views
Posted by Super Malecela WJ Blog on Thursday, June 19, 2014 Muigizaji wa filamu Irene Uwoya jana alikuwa kwenye Kikaango cha EATV/EA Radio ambapo mashabiki huwauliza mastaa...
1 Reactions
14 Replies
11K Views
Huu ndo mjengo wa kisasa ,unaodaiwa kumilikiwa na mheshimiwa mbunge, Vicky kamata.
3 Reactions
186 Replies
32K Views
WanaJF wenzangu mimi binafsi kwa kipindi kirefu huwa nakerwa sana na hawa waimbaji wa nyimbo za injili,hadi najiuliza hivi hakuna chombo kinachoratibu maadili na mienendo ya hawa waimbaji wa...
0 Reactions
101 Replies
21K Views
Hivi ni Kwanini mzee small kazikwa bila kuagwa viwanja vya leaders kama wanavyofanyiwa wasanii wengine?
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Hapo akiwa anavuta Bangi bila ya uwoga... Pembeni ni Baunsa akimwomba akiustaarabu asivute bangi hiyo lakini chid akawa hajili na kuendelea kufanya yake Chini benz Juzi Jumapili wakati...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Mambo hadharani ! Uhusiano wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ' Lulu ' na mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa 2013, Amir Nando umewekwa kweupe. Muigizaji katika tasnia ya...
0 Reactions
34 Replies
11K Views
WanaJF Leo naomba tuzungumzie kidogo kundi la choka mbaya kwa walionza kusikiliza muziki wa bongo fleva miaka ya nyuma kidogo nazani watakuwa wanakumbuka kundi la choka Mbaya kwa haraka haraka...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe Shyrose Bhanji akiwahi uwanja wa ndege kwa Bodaboda baada ya kukwama masaa kadhaa barabarani kutokana na foleni kubwa aliyokutana nayo akiwa mitaa ya...
1 Reactions
83 Replies
17K Views
Wanamuziki Nguza Viking na Papii Kocha wanaotumikia kifungo cha maisha jela, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete awasamehe kwa makosa waliyofanya. Nguza na mwanaye Papii walitoa ombi hilo kupitia...
1 Reactions
32 Replies
8K Views
Kuna viumbe Mungu kavibariki kama si kuvipendelea kabisa....ebu ona huyu mama mzao wa 14 Augost1966 Takribani 46yrs anawaka km kigori cha miaka 26....wakati kuna "mangulu bange" kitaa hata miaka...
4 Reactions
55 Replies
9K Views
KATIKA kujiongezea vyanzo vya mapato, staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ameamua kujizatiti zaidi kwenye biashara ambapo sasa amefungua sehemu ya kuoshea magari maarufu kama Car Wash iliyopo...
4 Reactions
20 Replies
5K Views
Wasalaam! Wana jamvi leo Msanii Alikiba ameamua kufungaka na kuweka waZi kili kinacho hitwa tofauti au bifu kati yake na Msanii Diamond!Kwanza lazima tukubaliane kuwa ALikiba ni mmoja wa Wasanii...
4 Reactions
36 Replies
13K Views
  • Closed
Mavazi aliyovaa Salma Msangi jana akiwa anatangaza kipindi cha TV kwenye Chanel Ten yanapotosha jamii kabisa, hasa mabinti wadogo wanaokua. Mtangazaji wa vipindi vya TV anapaswa kujiheshimu...
5 Reactions
117 Replies
29K Views
Mwimbaji nyota wa Marekani Chris Brown ameachiliwa kutoka gereza moja la Los Angeles. Naibu Liwali wa LA, Tony Moore amesema mwimbaji huyo wa miondoko ya R&B ameachiliwa siku ya Jumatatu asubuhi...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…