Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Malalamiko ya wasanii kuibiana au kupigana kanzu kwenye kazi zao yaliripotiwa sana mwaka jana na mwaka huu mambo yalikuwa shwari, lakini baada ya kuvuka nusu ya mwaka yameibuka tena. Mshiriki wa...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Sitaki kuisifia sana wala sitaipondea ila huu hapa ni wimbo wake mpya kijana anayejitambulisha kama mwanzilishi wa Swag flow Tanzania NOLNIZ: Download | Mr Blue - Mapenzi [Audio] Sent from my...
0 Reactions
15 Replies
10K Views
Mwana Bongo Movies amejitokeza na kufunguka kuhusu yeye kushika mimba na kuzaa Jisomee hapa chini alichosema: "Najua ni Wajibu Wetu kuzaa ila nimekuwa muoga sana wa kushika mimba kwa sababu...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Wanaojiita team Anaconda,nipeni sababu za msingi kwamba huyu Jide kamfunika Mwana FA kwa mziki? ukisikiliza nyimbo zao utaona Jide hafikii hata robo ya FA. hivi mnajua kwamba wimbo mzima wa Jide...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Bondia mkongwe Iraq Hudu hatunaye! Mungu amlaze pema peponi amin.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Blandina Chagula 'Johari' ambaye ni mmoja wa washiriki wa filamu mpya ya Wrong Hope, amewaponda wasanii wa filamu wanaokubali kukatishwa viuno mbele ya hadhara na kueleza kwamba kamwe kwa upande...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nimekutana na hizi picha za Hemedy akimbusu msanii wa muziki na filamu Najma na maneno yalioambatana na picha hizo yakizungumzia ndoa na harusi....Huenda sasa hawa ni mambo safi ...Najma alikuwa...
0 Reactions
20 Replies
13K Views
The Hot 97 Summer Jam yesterday is probably the most awkward one ever. 50 Cent took the stage for the first time since his ban 10 years ago and then at a popint, his mic was cut off and then the...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwasababu nampenda mpenzi wangu Shilole, nimeamua kujichora tattoo ya jina lake 'Shishibaby' kwenye mkono wangu, wakati nachorwa iliuma sana kuliko tattoo yangu ya kwanza na hii tatoo haita...
1 Reactions
73 Replies
25K Views
Kuna watu wanashangaza kidogo, siyo kwamba tunawafuata majumbani mwao na kugundua tabia zao,kwamba wanakula sana, wachoyo, wachafu au hawapatani na majirani zao, hapana, wanayoyafanya ama...
0 Reactions
31 Replies
13K Views
Nikiwa kitandani usiku huu huku nikisikiliza radio times fm wakijadili zilizo make headline katika burudani nimemsikia mtangazaji akisema nyimbo mpya ya Linex wa 'wema kwa ubaya' umegharamiwa na...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Said Ngamba "Mzee Small" Taarifa tulzozipata hivi punde kuwa muigizaji Said Ngamba au Mzee Small Amefariki dunia baada ya kuugua muda mrefu. Mzee Small alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa...
1 Reactions
212 Replies
44K Views
Dear Diamond Najua uko busy sana ma chanell za pesa rejea ujumbehapo juu huyo ni mtoto wa watu Ana wazazi kama wewee Sidhani wazazi wanafurahia kukuona nae kilamara nabkulalla nae kosa...
1 Reactions
38 Replies
12K Views
Hatua nyingine ya mziki wa TZ inaenda kupigwa..diamond na hata sisi hatukufahmu kumbe diamond anachukuliwa hadi na wasanii wakubwa kama msanii mzuri kabisa ambae wakifanyz nae collabo,mziki wao...
1 Reactions
47 Replies
7K Views
kwanza nianze kwa kutoa pole kwa tasnia ya sanaa hasa za maigizo ambao wamekuwa na mfululizo wa misiba ya wasanii nguli na chipukizi Hebu wakuu tujadili kidogo, itifaki inayotumika katika kuzika...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Jana ilikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Mwanamuziki Ney wa Mitego na aliamua kufanya sherehe kwa mara ya kwanza kusherehekea siku hiyo kwa vile huu ndio mwaka wake wa kwanza kuwa na mafanikio...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Ndugu jana kuanzia saa moja na nusu jioni Star tv alioneshwa msanii mmoja akihojiwa ambaye mpaka waandishi wa habari alimwambia "yawezekana wewe siyo kanumba ila umefanana naye kila kitu" Huyu...
0 Reactions
35 Replies
13K Views
Wadau tafadhali wanaojua jina la profile za instagram za celebrities wakibongo ingependeza mzichangie hapa mana mda mwengine majina yao ya instagram ni kazi kuyapata
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nawapongeza sana Husna Abdul na Gea Habib kwa kunogesha kipindi cha Leo Tena. Kipindi kimechangamka sana. Husna amefit vizuri sana na hamna mapungufu. Kuna baadhi ya watu walidhani kuondoka kwa...
1 Reactions
30 Replies
12K Views
Nilikuwa sijawahi kuuzingatia huu wimbo. Now nauangalia nimegundua Rose Muhando ana kiuno bila mfupa, mauno ya hatari kabisa yaani akiamua kujiachia kama wanaoimba nyimbo za 'kidunia' wakina Snura...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…