Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Baadhi ya picha za maharusi watarajiwa Mr. & Mrs. Joshua Nasari
1 Reactions
85 Replies
13K Views
Funny as it may sound halle berry has been ordered to pay her ex $16,000 in child support partially because she earns $4.5 million more than him. Court documents filed May 30 state that Berry's...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Mume wako amekumbwa na kashfa ya kubaka,tukio hilo limetokea wakati wewe ikisemekana umemkimbia mumeo na kwenda kupanga hotelini,unakumbuka kiapo chako kanisani? Uliapa mbele za MUNGU hutomuacha...
1 Reactions
68 Replies
12K Views
Mke halali wa Rais wa bendi ya mashujaa musica Charles Gabriel Cyprian ‘Chaz Baba', Rehema Sospeter Marwa mwishoni mwa wiki jana alizua timbwili la mwaka baada ya...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Huu wimbo ni mahususi hasa kwa vijana, sio tunaendekeza starehe kwa muda mfupi halafu tunapoteana. Tujitaidi kutunza vipato vyetu, tule starehe kwa stepu historia iwe baada ya kifo sio kabla ya...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Kiukweli kama kupendeza diamondplatnumz na wema sepetu Jana walitisha couple nzuri sanaa
7 Reactions
63 Replies
18K Views
Hongera sana Mr and Mrs Nassari
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Nimetoka kumsikia anasema mtoto wake mmoja ametoka kuchukua cpa juzi, sijaelewa kama alikuwa anamaanisha kwamba ametoka kufanya mitihani ya nbaa may hii, au amegraduate mwaka jana. huyu muhasibu...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Nimeanza kumsikia jenifa mgendi (mwimbaji wa nyimbo za injili) tokea niko mdogo sana hata shule sijaanza. Cha kusikitisha had sasa naona kama wanamuonea. Sijamsikia kwenye matamasha wakimjumuisha...
0 Reactions
32 Replies
10K Views
Alexander Imich, born February 4, 1903 is a 111-year-old Polish psychic researcher, he died Sunday morning at a senior residence in New York City. He received the title after the previous...
1 Reactions
1 Replies
920 Views
  • Closed
Ndugu zangu wana JF,jana nilimwandikia waraka maalumu Flora mbasha na nikamuuliza maswali kadhaa ambayo hadi sasa hajajibu japokuwa naye huingia humu,wengi wetu tumegawanyika kuhusu mgogoro...
1 Reactions
48 Replies
12K Views
27-year-old Eudoxie Fabiola Agnan the wonderful daughter of Jermaine Agnan is originally from Gabon, Africa. she goes by “Fab” because her middle name is Fabiola.Fab’s real Facebook page is in...
0 Reactions
14 Replies
54K Views
Hivi tatizo la huyu jamaa ni nini kwenye mziki?huwezi ukasema kuna wimbo wake hata moja ume-hit,aisee mshikaji mi naona kama hana nyota kabisa. Wa siku nyingi sana ila sijui kama anakubalika...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Mwanamuziki wa zamani na mbunge Vicky Kamata baada ya ndoa yake kudaiwa kuzuiliwa kufungwa kutokana na kudaiwa kubainika kuwa mwanaume aliyetaka kufunga naye ndoa ana ndoa nyingine, amefunguka kwa...
0 Reactions
55 Replies
12K Views
Tumpigie kura kwa wingi Diamond ili aibuke na ushindi katika MTV Music Awards itakatofanyika Kwazulu-NATAL Bofya hapa chini: 2014 MTV Africa Music Awards Kwazulu-Natal | Vote
3 Reactions
413 Replies
45K Views
Ni muda sasa huyo jamaa sijamsikia akitangaza. Bado yupo kweli!? Mwenye taarifa tafadhali.
1 Reactions
60 Replies
11K Views
Wana bodi, siku za hivi karibuni nimeshuhudia wasanii wengi wakiondoka majumbani kwao na kuanza kujitegemea. Ni jambo zuri ila cha ajabu sio wa kike au wakiume wamekuwa ombaomba wa kodi za nyumba...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Picha hizi zimezua story kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii, baada ya Demu wa Rapper anaechipukia kutoka Tz kuonekana akiwa amejimwagia pesa juu ya kifua chake huku sehemu ya chuchu upande...
1 Reactions
81 Replies
24K Views
Shilole ni msanii wa kike ambaye kwa hakika muziki wake unahit sana popote. Ukipigwa club, bar, promo nk lazima watu wainuke. Big up Shilole
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Yes! Kanye has started his "husband duties" just a week after their much publicized wedding. There are reports that Kanye is banning Kim from appearing on a new Keeping Up The Kardashians...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom