Hivi najiuliza sana ile ofisi ya Kanumba mdogo wake Seth alidai anaiendeleza na wakaja watoto wengine wa yule baba yao wakajidai wamejipanga kuendeleza mtanange,
HIvi imeishia wapi mana hata muvi...
Wakuu sio vibaya tukatumia frusa hii kujuzana na kupeana uzoefu wa mawili matatu juu ya tunzo za mtv leo kule south africa
Najuwa diamond ni mmoja wa wasanii pekee kutoka tanzania atakayeshiriki...
Diamond bado yupo nchini MarekaNI ,Alikoenda kwa ajili ya maonyesho ya Mziki, na kesho anatarajia kurudi nyumbani, tayari kwa safari ya SA kwenye tuzo za MTV. Mojawapo ya mambo mema yaliyotokea ni...
44 year old J.LO and 27 year old boyfriend have been together for about 2 years but they are reportedly on the brink of breakup after he has been linked to two different transsexuals.
A week...
Nimeanza chini kwenda juu
11. paschal
10. John Grisham $200 Million
John Grisham is an American politician, lawyer and author known for his thrillers. He graduated from Mississippi State...
Baada ya ishu ya ubakaji kumkalia vibaya Mbasha kaamua kuomba msamaha. Sikiliza attachment hapo chini.
-----------------------------------------
By The bold
Naomba nifunguke kidogo nielezee...
Mtawa anyakua ushindi wa uimbaji -Italia
Mtawa wa Italia anyakua ushindi
Mtawa mmoja kutoka Italia ambaye alipata umaarufu katika mtandao wa kijamii...
Bondia Floyd Mayweather ameripotiwa kuzipiga na msanii wa miondoko ya rap T.I katika mgahawa mmoja mjini Las Vegas, Marekani. Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ, T.I aliamua'kulianzisha' na Floyd...
BONDIA Floyd Mayweather ameonesha jeuri ya pesa ndefu baada ya kuchukua warembo wawili na kuwashindanisha kuhesabu pesa zinazofikia dola laki moja akiwa kitandani kwake, huku akitumia saa yake...
Jamani Mimi ninahasira sana na wadada wamjini wamekopa vitu hawarudushi pesa .Nitawaanika majina yenu gazetini.rudisheni pesa banaa,nimechoka kuwatafuta
baadhi ya mastaa wa movie za kibongo wamemsusia super star wema sepetu msiba wa mdingi wake kwa madai kuwa mnyange huyo hana historia ya kuudhuria kwenye misiba ya wasanii wenzie ambao...
Thursday, June 5, 2014
kutoka kshoto ni Promoter DMK,Diamond Platnumz,Kevin Liles,Rais Dkt Jakaya Kikwete.
Hivi Majuzi wakati Tour ya Diamond ilipokuwa New York,Ma Promoter wake pamoja na...
Katy Perry had a serious wardrobe malfunction while she was at Raging Waters Park in San Dimas, CA.
The pop diva was going down the rapids when she lost her bikini bottoms and almost her top...
Now they are behaving like newly weds. Kim and Kanye were photographed putting up a rare public of affection as they attended Kanye's stylist wedding today at Ploskovice Castle in Czech Republic...
Blogger Sintah Amemchana Irene Uwoya baada ya Picha zake za Mahaba kusambaa Akiwa na Kiserengeti Boy cha THT.
Jisomee Alichosema Sintah,
Katika dawati letu hatusemi mengi zaidi ya kusema...
Huyu jamaa alikua bonge la mtangazaji wa kipindi cha mahojiano ya wasanii wa bongo fleva enzi hizo chanel 5 inaanza kurusha matangazo yake baada ya kubadili jina toka ITV 2.
Kwa anaejua jamaa...
Lupita Nyong'o kung'aa zaidi
Msanii muigizaji kutoka Kenya Lupita Nyong'o ameteuliwa kuijiunga na mabingwa wengine wa kimataifa katika filamu maarufu zaidi duniani STAR WARS.
Lupita anatarajiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.