Wakati waigizaji waigizaji wa nchi jirani ya Kenya na nchi nyingine za Afrika mashariki wakiota na kutamani kujulikana kimataifa waigizaji wa Tanzania wao akili yao ni kujulikana na kutajwa kwenye...
BONGO MUVI KWAWAKA MOTO
PENYE wengi pana mengi! Lile kundi la mastaa waigizaji wa Kibongo, Bongo Movie Unity, linadaiwa kuparanganyika baada ya kuwaka moto kufuatia mwenyekiti wao...
Biashara ya muziki Tanzania imeendelea kupanuka kwa kiasi kikubwa, na wasanii wenye hits, majina, connection, bahati na sababu zingine wameendelea kuingiza fedha nyingi kutokana na muziki wao...
Pamoja na kuenea kwa picha zenye utata, rapper wa Kenya, Nazizi aliwahi kukanusha taarifa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na producer kutoka Mwanza, Tanzania, Sappy ambaye kwa sasa ni...
The movie awards was concluded yesterday night and it's golden pop corn was given to only a selected few. it featured artists like ,Rihanna, Eminem, Ellie Goulding, Conan O'Brien, twenty one...
Peter posted today and wrote "MAI BIG BOY". The boy has really grown, I can feel his swagzz....Some JamiiForums chicks could be tripping for him. lol
People said he looks like his mom (Lola...
Kuna vitu vingi vilimpeleka msanii Jux nchini China ila moja ya kitu kimojawapo ambacho anakifanya nchini humo ni pamoja na ku shoot video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la...
Chelewa chelewa, utakuta mwana sio wako!! Ndicho kilichotokea kwa Juma Nature ambaye wazo lake la kuanzisha ndala liliendelea kuwa la mdomoni na kutalk the talk ilhali Jokate Mwegelo akileta...
Huyu dada alishawahi kuwa mtangazaji wa TBC hapa Tanzania miaka ya nyuma kidogo. Alijulikana kwa jina la Lisa kwenye tasnia hiyo ya habari. Nje ya tasnia ya habari alijulikana kama Pendo...
Ilimkuta wakati mgumu pale,alipoishia ndani ya mikono ya polisi wa nchini humo kwa kosa la kuzidisha muda wa kukaa nchini humo,wazungu wanaita ku-overstay,na ili kuchomoka katika msala huo...
Namshukuru Mungu kwa kipaji NA huu binafsi,ujuzi unaonipa fursa ya kufanya kaz na watu/celebs wakubwa wanaoamini uwezo wangu
Umependa kaz zangu??niguse 0762052850.
NB;Mnaouliza post nilizozoea...
Inasemekana kitendo cha Diamond kurudiana na Wema Sepetu, kimechangia kwa kiasi kikubwa urafiki wa wema na ex best friend wake Kajala kuota mbawa, inasemekana toka madame arudiane na Chibu...
Mkali wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel pichani.
Akifafanua kauli yake mbele ya kinasa sauti chetu, Aunt alisema watu wengi wamekuwa wakimtaka avae kistaarabu kwa kuwa ni mke wa...
Nick Cannon lists famous women he's slept with, mentions Christina Milian, Nicole Scherzinger, Kim K
How tacky! Who goes on a radio show to mention names of famous women he has slept with? Nick...
ELIZABETH Michael Lulu amewaasa wasichana wenzake kujitahidi kujishugulisha na kazi mbalimbali kuingiza chapaa na wasiendekeze kuhongwa fedha na mapedeshee kwani ni aibu.
Akistorisha na...
Rapper Shetta alipata ajali mbaya ya gari wakati akielekea Babati, mkoani Manyara kufanya show, lakini Mungu alimnusuru yeye na watu wengine wawili aliokuwa nao katika gari hilo.
Akiongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.