Two things are becoming well-known facts about Miley Cyrus: that she hates clothes,
and she loves making out with inanimate
objects.
And Raunchy Miley manages to do both in
her latest photoshoot...
Huyu demu alikuwaga mweusi mwasiti na mpoki wamesingiziwa, from no where kaibuka white , hii mikorogo ya 360 kiboko, halafu kila siku anakana hajikoboi
Kundi la muziki la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini ambalo lipo nchini kwajili ya show moja itakayofanyika leo Mlimani City, lina mpango wa kufanya video ya wimbo wao mpya Nakupenda hapa...
Sio siri huyu jamaa wakati anaanza nilikua namdoubt kidogo nikijaribu kulinganisha na watu ambao tayari walikua wameshajiestablish kwenye tasnia ya kutengeneza videos za wasanii kama vile kina AJ...
SOS says happy wedding anniversary to the hottest couple in entertainment;
Beyonce and Jayz
OMG it's been six years since their wedding day and it just feels like yesterday LOL!
To celebrate...
Nyota wa filamu ya 12 Years A Slave, Chiewetel Ejiofor huenda akapata mchongo mkubwa zaidi kwa kushiriki katika filamu maarufu duniani ya James Bond.
Watu wa karibu na watayarishaji wa filamu...
American rapper Nicki Minaj and her boyfriend Sfree Samuels have been in a relationship for the past 10 years. The boyfriend actually has two tattoos of her face across his chest.
These love...
hawa jamaa ni balaa sana. Wakati nakua nilikuwa napenda sana hadithi za shigongo.
Badae nikaja kuwajua waandishi wengi sana. Ila walionivutia zaidi ni hawa watatu,..tuwa,shigongo na mzee beka...
wakuu, nimekuja na neno hili baada ya kushuhudia wema Sepetu alivyofanya fujo na kujidhalilisha ndani ya Ofisi za GPL..
kwa kweli kwa jambo kama lile, sidhani kama wema sepetu alistahili kwenda...
Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda katika pozi tata.
PICHA inayomuonesha mwigizaji Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda imezua utata kuwa huenda wawili hao wana zaidi ya...
Mwenyewe amekiri Mara kwa Mara kumzimikia mwana muziki wa kizazi kipya, Diamond platnums na kusema ndiye mwanaume anayemzimikia kuliko mwanaume yeyote, na ndiye mwanaume anaye wish kuwa husband...
Baada ya kutolewa video yake ya Nimevurugwa kwenye tuzo za Ktma 2013/2014 Snura ame-amplify taarifa mpya hizi zinahusu kile ambacho kilionekana kusababisha video yake kufungiwa na kutolewa...
Baada ya wiki chache kupita toka msanii classic bongo,wema isaac sepetu kuingiza mnyama mpya aina ya lexus,uwoya naye kajibu mapigo kwa kununua(sina uhakika) benzi matata sana inayoendana na hadhi...
Jokate Mwegelo yupo single and ready to mingle.. atleast for now. Staa huyo mwenye vipaji lukuki alisema hayo Jumatatu hii kwenye kipindi kipya cha TV1, ‘The One Show' anachokiendesha kwa...
HOVYOOO! Wema Isaac Sepetu aliye pia Miss Tanzania 2006, amejitoa fahamu kwa kupandisha mzuka na kutinga makao makuu ya Kampuni ya Global Publishers, Bamaga-Mwenge, Dar na kuzua timbwili la aina...
Ile ya Mara ya kwanza nimenyamaza kimya sasa ivi tena mkaamua kubeba habari nzima, yaani Mme copy na Ku paste kwenye Gazeti lenu, wakati mnajua habari mmechukua kwangu, mbaya zaidi hata taarifa...
Miezi ikapita, mawiki yakasonga hatimae siku, masaa na dakika zake zikapotea na sasa EFM inayopatikana katika masafa ya 93.7 imesikika hewani kwa majaribio kwa mara ya kwanza.
Redio hii iliobeba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.