Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Two things are becoming well-known facts about Miley Cyrus: that she hates clothes, and she loves making out with inanimate objects. And Raunchy Miley manages to do both in her latest photoshoot...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Huyu demu alikuwaga mweusi mwasiti na mpoki wamesingiziwa, from no where kaibuka white , hii mikorogo ya 360 kiboko, halafu kila siku anakana hajikoboi
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Kundi la muziki la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini ambalo lipo nchini kwajili ya show moja itakayofanyika leo Mlimani City, lina mpango wa kufanya video ya wimbo wao mpya ‘Nakupenda’ hapa...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Sio siri huyu jamaa wakati anaanza nilikua namdoubt kidogo nikijaribu kulinganisha na watu ambao tayari walikua wameshajiestablish kwenye tasnia ya kutengeneza videos za wasanii kama vile kina AJ...
0 Reactions
47 Replies
10K Views
SOS says happy wedding anniversary to the hottest couple in entertainment; Beyonce and Jayz OMG it's been six years since their wedding day and it just feels like yesterday LOL! To celebrate...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
KWA MARA YA KWANZA KABISA SHOW HII ITAFANYIKA KATIKA UKUMBI AMBAO JAY Z,P DIDDY,RICK ROSS,TI,YOUNG JEEZY,P SQUARE NA WENGINE WENGI WALISHA UTUMIA
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nyota wa filamu ya 12 Years A Slave, Chiewetel Ejiofor huenda akapata mchongo mkubwa zaidi kwa kushiriki katika filamu maarufu duniani ya James Bond. Watu wa karibu na watayarishaji wa filamu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
American rapper Nicki Minaj and her boyfriend Sfree Samuels have been in a relationship for the past 10 years. The boyfriend actually has two tattoos of her face across his chest. These love...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
hawa jamaa ni balaa sana. Wakati nakua nilikuwa napenda sana hadithi za shigongo. Badae nikaja kuwajua waandishi wengi sana. Ila walionivutia zaidi ni hawa watatu,..tuwa,shigongo na mzee beka...
0 Reactions
47 Replies
9K Views
wakuu, nimekuja na neno hili baada ya kushuhudia wema Sepetu alivyofanya fujo na kujidhalilisha ndani ya Ofisi za GPL.. kwa kweli kwa jambo kama lile, sidhani kama wema sepetu alistahili kwenda...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda katika pozi tata. PICHA inayomuonesha mwigizaji Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda imezua utata kuwa huenda wawili hao wana zaidi ya...
0 Reactions
20 Replies
14K Views
Mwenyewe amekiri Mara kwa Mara kumzimikia mwana muziki wa kizazi kipya, Diamond platnums na kusema ndiye mwanaume anayemzimikia kuliko mwanaume yeyote, na ndiye mwanaume anaye wish kuwa husband...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Hii imetokea wiki iliyopita ambapo Maujanja Saplayaz a.k.a Mapacha walienda kumuangukia Ruge na wasanii wake ikiwemo F.A ...na wamesamehewa
0 Reactions
95 Replies
11K Views
Baada ya kutolewa video yake ya Nimevurugwa kwenye tuzo za Ktma 2013/2014 Snura ame-amplify taarifa mpya hizi zinahusu kile ambacho kilionekana kusababisha video yake kufungiwa na kutolewa...
0 Reactions
28 Replies
13K Views
Baada ya wiki chache kupita toka msanii classic bongo,wema isaac sepetu kuingiza mnyama mpya aina ya lexus,uwoya naye kajibu mapigo kwa kununua(sina uhakika) benzi matata sana inayoendana na hadhi...
0 Reactions
56 Replies
18K Views
Jokate Mwegelo yupo single and ready to mingle.. atleast for now. Staa huyo mwenye vipaji lukuki alisema hayo Jumatatu hii kwenye kipindi kipya cha TV1, ‘The One Show' anachokiendesha kwa...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
HOVYOOO! Wema Isaac Sepetu aliye pia Miss Tanzania 2006, amejitoa fahamu kwa kupandisha mzuka na kutinga makao makuu ya Kampuni ya Global Publishers, Bamaga-Mwenge, Dar na kuzua timbwili la aina...
0 Reactions
49 Replies
14K Views
Ile ya Mara ya kwanza nimenyamaza kimya sasa ivi tena mkaamua kubeba habari nzima, yaani Mme copy na Ku paste kwenye Gazeti lenu, wakati mnajua habari mmechukua kwangu, mbaya zaidi hata taarifa...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Money is really good as the kardiashians are having a good time in Thailand...see photos of luxurious apartment costing $150,000 ,pesa tamuuuu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Miezi ikapita, mawiki yakasonga hatimae siku, masaa na dakika zake zikapotea na sasa EFM inayopatikana katika masafa ya 93.7 imesikika hewani kwa majaribio kwa mara ya kwanza. Redio hii iliobeba...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…