Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Naomba ni mshauri Tunda Aongeze bidii kwenye utunzi wa nyimbo za kuhuzunisha sana aachane kabisa na nyimbo za mapenzi kama ilivyokawaida ya bongo fleva,sauti yake inafaa sana akaimba nyimbo hizi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanadada aliyejichubua ngozi kutoka nchi Camoroon aliingia kwa mtandao wake na kumpa makavu live mwanadada Lupita Nyong'o. Lupita Nyong'o ameweza kumulikwa na vyombo vya habari na amependeza...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Ni fasheni mpya na inayokuja kwa kasi Tanzania japo ulaya na kwingineko ishakuwa zilipendwa Ziangalie kwa makini zinafanana na zote zina mapungufu yanayofanana Lakini kubwa zaidi wamiliki wake...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mkasa wa Ostaz Juma na PNC linaweza kutajwa kuwa moja kati ya matukio yaliyozungumzwa zaidi kwa wiki iliyopitwa kupitia mitandao ya kijamii na baadae kuwa topic kwenye radio na television wiki...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
MAKUBWA! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ameshtushwa na habari zilizoshika kasi mithili ya moto wa kifuu kuwa eti shosti wake, Kajala Masanja anatembea na Clement aliyemwagwa na...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Jessica Simpson Is Happier Than Ever Jessica Simpson Jessica Simpson is happier than ever before after losing 50lbs with Weight Watchers following the birth of her first child. Simpson...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Alikuwa akiwa jukwaani mwenyewe utampenda. Kawaida yake alikuwa akivaa nguo za staha hata akiwa jukwaani. Sauti yake ukiisikia jogoo linaweza kuanza kuwika. Wanaume walikuwa wakijiuma tu na...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Haijapita wiki vizuri kabla rais Museveni wa Uganda kupitisha mswada wa kuwafunga mashoga wote wataopatikana, mtoto wake Diana Kamuntu amejitokeza hadharani na kudai kuwa yeye ni mtu mwenye...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa muda tumekuwa tukingojea kufahamu siku ya wawili hao wataweza kuoana lini. Na kama tulivyotarajia, wawili hawa hawakuiweka mbaliiii... Wawili hawa watafishana pete jijini Paris kama vile...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Stori: SHAKOOR JONGO Exclusive Interview! Staa anayeuza zaidi kwa sasa kwenye muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ amefungukia skendo ambazo zimekuwa zikimtafuna kila...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Bosi wa mtanashati Entertainment yuko ndani ya FNL Anasema kosa la PNC lilikuwa ni kuondoka kwenye record label bila ruhusa na kwenda kutangaza kwenye vyombo vya habari *Anasema yeye hajampiga...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Dah kuna mtu anailewa maisha plus ya mwaka huu..??
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau sijamsikia huyu mshikaji kitambo sana na zembwela jana aliulizwa na msikilizaji m1 hv akatoa jibu tata kwamba kabla ya wao kuja kwenye kipindi hicho kulikua na watu wakaondoka na pia ile...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Justin Bieber tangu mwaka jana amekuwa akifuatwa na visanga na kuingizwa korokoroni mara kwa mara. Staa huyu mwenye albamu ya Journal ameweza kupigwa picha na polisi kutoka Miami Police...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
+10 Back in the club: Beyonce and Jay Z went to The Arts Club in London for the second night in a row on Thursday +10 Not stopping her: Beyonce not only managed to drag herself out after her...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni miongoni mwa mamilioni ya watanzania ambao wana ji identify themselves kama mashabiki wako wakubwa. But kina kitu kimoja ambacho kwa maoni yangu ninaona hakipo...
1 Reactions
277 Replies
34K Views
Imekuwa picha ya kwanza kuvunja rekodi ya kusambazwa zaidi ulimwenguni mzima. Na sahizi kumewekwa picha nyingine mfanano lakini yenye ucheshi ndani yake. Siku kadhaa baada ya Ellen Degenes...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katy Perry ameamua kuwa atamchapa makalio Miley Cyrus. Haya ni maneno yaliyotoka kwa Katy Perry na wala sijayatunga mimi. Staa huyu wa nyimbo E.T. ameamua kumjibu Miley Cyrus baada ya mvutano wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
More Photos: Ilham Anas, a photographer from Java, travels the world cashing in on his uncanny resemblance to the US president What's it like to be the spitting image of the most...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Stori: Shakoor Jongo KhAA! Mshiriki wa Shindano la Miss Kiswahili mwaka 2009 ambaye kwa sasa yuko nchini China akijitafutia maisha, Rehema Fabian amenaswa laivu akiwa kimahaba na kibabu cha...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Back
Top Bottom