Ilikuwa ni leo Jijini Mwanza kwenye Show iliyoandaliwa na cocacola.
Namba yangu ipo wazi kwa anaehitaji info za kuzipata hizi tshirt na kofia zake
0762052850
Huwa nikisikia ripoti za huyu mwandishi kucheka nashindwa na hata ule umakini wa kusikiliza kwa taarifa unakuwa kama haupo kwani anaongeeeeeeeea mpaka ladha ya kusikiliza inapotea..
Hii ni...
Toka mwaka 2014 uanze watangazaji wa Star Tv wamebadilika sana kwa upande wa mavazi, hakika wanapendeza, tofauti na kipindi cha nyuma walikua wanavaa suti ovasaizi.
Bigup kwenu.
Huu ndo mchuma mpya anaoendesha mwanamuziki Bob junior kwa sasa. Binafsi limenikuna, soo classic , salute sana bro
Bei na aliponunua haijajulikana bado.
Whitney Houston's daughter Bobbi Kristina Brown has tied the knot with Nick Gordon, it has been claimed.
The daughter of the late singer posted a picture of the pair holding hands, showing off...
Wote tumemsikia jana Prince Dully Sykes akiongelea kufungiwa kwa video yake ya kabinti special na Baraza la Sanaa Tanzania(BASATA) . Kuna sababu kuu mbili zilizosababisha video hii kufungiwa na...
Tumechoka kuangalia picha za Miley Cyrus akiwa uchi kila wakati!!!
Mwanadada huyu nadhani aliskia kilio cha wengi kuwa watu wamechoshwa kumuona yeye akiwa uchi kila wakati na jambo hilo...
MAKUBWA! staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amejianika akifanyiwa masaji laivu. Wolper a.k.a Gambe ‘alifanya yake' ndani ya saluni (massage parlor) moja iliyopo maeneo ya...
CEO wa Maybach Music Group na rapper ambaye yupo kwenye peak sasa,namzungumzia Rick Rozay amenunua nyumba iliyokuwa inamilikiwa na bondia wa miaka mingi Evander Holyfield.
Nyumba hiyo ambayo ipo...
July 26 mwaka huu, wasanii wengi wakubwa Afrika kutoka katika mataifa ya 17 watakutana Dallas, Texas, Marekani kuhudhuria utoaji wa tuzo za kiafrika zinazojulikana kama ‘AFRIMMA Awards'...
Watu wengi wenye mafanikio duniani, hutumia mda mchache sana kulala, na kutumia mda mwingi zaidi kwenye mambo ya maendeleo. Wakati wengine wakitamani kuwa kama Lady Jaydee na kufikiri kuwa anakula...
Ndugu wadau, hivi huyu mtangazaji wa kitambo flani anaitwa Seven Mosha au Moshi (sina uhakika sana) yupo wapi sku hizi na anafanya nini?
Naomba Kuwasilisha
Ok wakumbuka ile siku iliyomuonyesha Kim Kardashian akiwa amevalia suruali iliyombana makalio na kuyaonyesha yote?
Sasa gazeti flani Marekani la In Touch Weekly limedai kuwa Kim Kardashian...
STAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuanguka ghafla kwa presha akiwa ‘location' jijini Tanga, Risasi Jumamosi lina habari hii.
Kwa mujibu wa...
Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
Ni pigo kubwa! Ile ndoa inayodaiwa kukaribia kufungwa kati ya nyota wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray' na Miss Tanga 2006 aliye pia msanii wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.