Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Ameenda leo alfajiri tegemea mambo mazuri zaidi toka kwa Bongo fleva prince anaewakilisha vyema nchi yetu. Nikukumbushe tu kuna project na Iyannya itakayotoka mapema march kaa karibu na mm kwa...
2 Reactions
34 Replies
7K Views
Vijana ni nguvu kazi ya taifa, lakini vijana hao hao wanaweza kuwa chanzo cha taifa kutoendelea na kubomoka. Ubomoaji wa taifa huwa kwa namna nyingi ikiwemo uvivu,ufisadi, na kadha wa kadha.Lakini...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Unamkubali Agnes Masogange, Basi hizi ndizo picha alizo share na fan wake wa Instagram akiwa ufukweni weekend iliyoisha. Picha hii ameandika "With my frnd mjeda nishida tupu Leo na Cheus...
0 Reactions
47 Replies
29K Views
MISS Tanzania 2011, Salha Israel ameweka bayana bila ya woga wowote kuwa, kwenye pochi yake hakaukiwi na mipira ya kiume ‘kondom', Amani linakupa kila kitu kinagaubaga. Salha alisema...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kundi hili lilianza kwa kasi na likawa na umaarifu mkubwa sana wakati ule likiwa ITV. Lakini baadae wakahamia TBC ambako ndiko walikojichimbia kaburi. Mambo mengi yamechangia anguko la kundi...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Producer wa wimbo mpya wa Ben Pol, ‘Unanichora’, Fundi Samwel ambaye ni raia wa Sweden, amethibitisha kuachana na mke wake, Saraha. Mtayarishaji huyo amesema sababu kubwa ya kuachana ni ubusy...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Hii wiki ya Valentine naona itakuwa wiki ya kuwanasua mastaa. Juzi tu Aunty Lulu alinaswa katika tendo la kimadavidavi na jamaa fulani na sasa Ney Wa Mitego ameingia katika list hio. Hivi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Jamani wapendwa poleni na majukumu ya hapa na pale. Naomba mawasiliano ya huyu dada kwa yeyote aliyenayo.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ama kweli life is how u make it! Kuna mtoto wa Mbagala anajiita Diamond Platnumz, hana hata cheti cha ufundi mwashi cha VETA lakini mkwanja anaopiga hata Professor anasubiri! Najaribu kumuwazia...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Wengi wa wamiliki wa simu zenye uwezo wa kutunza nyimbo, lazima ukute ana wimbo fulani ama wowote ule wa msanii wa kizazi kipya, diamond platinumz. mimi mwenyewe nikiwemo wa kwanza. Sasa nimekuwa...
0 Reactions
87 Replies
9K Views
[emoji29]
0 Reactions
54 Replies
9K Views
BAADA ya hivi karibuni kufungiwa video ya wimbo wake, staa wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi amesema ameendelea kuandamwa na majanga ambapo hivi karibuni alipata msiba wa babu yake huku...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Masanja Mkandamizaji si jina geni masikioni mwa watu wengi kutokana na uwezo wake wa kuwavunja mbavu watazamaji pale anapoonekana katika runinga na Kundi la Original Comedy. Licha ya kufika...
2 Reactions
55 Replies
6K Views
hiyo ni zawadi kwenu wana JF
0 Reactions
24 Replies
10K Views
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Iwe ni washkaji wa kitaa, wanafunzi wa sekondari na vyuoni, wasanii, wanamichezo, waheshimiwa ,n.k ni wazi ya kwamba bangi inatumiwa na watu wengi sana sikuhizi Tanzania ikiwa ni sehem nyingi sana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
STAA wa Filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu' amesema hivi sasa anakesha akiomba ili mambo yaende vizuri katika kesi inayomkabili ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
MISS Tanzania 2011, Salha Israel ametoboa siri kuhusiana na mapedeshee ambao wamekuwa wakiwapa usumbufu mkubwa kiasi cha kuonekana ni janga la kitaifa kwa warembo Akizungumza na Ijumaa kwenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Umekuwa mrefu tangu mwanadada Aunty Lulu kumulikwa na makazeti ya udaku. Tukio la mwisho ni lile la kuwa Aunty Lulu amepachikwa mimba na ya miezi kadhaa. Sasa ameingia tena katika mwangaza wa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom