Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

She has admitted to having a five-year lesbian relationship with a woman. And it seems Mel B may still have a penchant for the fairer se'x. The 38-year-old was seen kissing and hugging a...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Need to explain here?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wow! Just look at her … amazing a 55-year-old woman.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wiki iliyopita muigizaji wa filamu nchini Kajala Masanja alikiri kuwekewa sumu wakati alipokuwa kwenye show ya mwanamuziki Izzo Buzness. Star huyo aliwahi hospitalini na hali yake kuwa nzuri...
0 Reactions
51 Replies
13K Views
Happy birthday..
0 Reactions
54 Replies
8K Views
Sijui niite ushauri au nini,mtanisaidia wenyewe...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
50 Cent amechukizwa na mahasimu wake wa ngoma za rap na kuamua kufichua mambo yanayoendelea kwa baadhi ya mastaa watajika. Kwa kupitia mtandao wake wa Instagram, staa huyu aliweka picha...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Saa kadhaa baada ya stori kutoka kwamba Msanii wa hiphop Lord Eyez anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika na wizi baada ya kuvunja gari la mtu huko Arusha. Kampuni ya Weusi imetoa tamko...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Ana elimu ya darasa la saba tu, na huu ndo mjengo anaomiliki wenye thamani ya mamilion kadhaa, muite ostadh juma na musoma aka big boss wa mtanashati entertainment..
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Huyu demu ni moto wa kuotea mbali aiseeh, ni comedian wa Uganda nadhan, ana kipindi chake maarufu kinaitwa DONT MESS WITH KANSIIMA dah bidada anakamua hatariii, yaani navunjikaga mbavu sana...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Have you ever thought who is the intelligent human to exist? Raymond Keene and Tony Buzan decided to figure it out. They’ve been questioning people for more than two decades in order to rule...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Lupita Nyong'o Makes history By Becoming The First African To Win An Oscar! Lupita Amondi Nyong'o made history by becoming the first African woman to win an Academy Award. The rising starlet who...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Nauliza tu. Joseph Msami, yupo wapi huyu mtangazaji siku hizi.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Rihanna ameamua kuvalia nguo ambayo ni ya aibu inayoonyesha kweupe sehemu zake za ndani. Nguo hii iliyotengenezwa na aina ya neti inaonyesha kila kitu cha ndani ikiwemo matiti. Cheki picha...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
Juma nature katika song lake jipya aliomshirikisha Lady Jaydee amemdiss Diamond kwa kumuita dada mond. Juma Nature amesema hayo katika wimbo mpya aliouachia unaitwa kama jana.
0 Reactions
70 Replies
13K Views
Yes! Nice to see you here strong,helthier and confident, keep it going up. Maisha lazima yaendelee. Hii sio movie its ur really life. I am happy for you.
0 Reactions
50 Replies
10K Views
Kila siku nasema bora marafiki zangu wawe mapaka na mambwa, sasa so called kigogo wa madam amekaa hapo juu sasa, sasa huyu dada jamani daah yaani mtu umemjua hata miezi miwili bado...
1 Reactions
25 Replies
9K Views
ALICHO POST DIAMOND KATIKA UKURASA WAKE WA TWITTER: Nanukuu: "Duh...! Nimesikia jamaa eti amejenga nyumba kafikia kwenye RINTA kashindwa kuimalizia kuficha aibu yake ameamua kujiunga na ile...
1 Reactions
77 Replies
13K Views
hawa jamaa kwa nini huwa hawaleti hii mijadla yao huku JF au kuna kitu mnawaogopesha? Kwa nini wako comfortable sana kule kwa Michuzi? nawasilisha
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Katika Misemo ya kale upo msemo usemao aisifuye mvua,imemnyea. Usemi huu unaweza kufananishwa na kauli ya Msanii maarufu wa Muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Rehema Chalamila almaaruf Ray C...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…