Habari za uhakika kabisa zinasema gwiji la kusoma magazeti nchini aka zee la viearphones halina furaha Wasafi redio.
Kitenge yuko kwenye mazungumzo ya awali akijiandaa kuhamia EFM huku ongezeko...
Zifuatazo ni bifu zilizowahi kutokea hapa nchini ,baadhi yao ziliwahi kutokea na wahusika kumaliza tofauti zao na nyingine bado zinaendelea mpaka sasa.
Clouds media vs Kalapina
Clouds media vs...
ICE SPICE
Name- Isis Naija Gaston
Born - January 1, 2000/Bronx New York city.
Genres - Hiphop. Drill
Awards and Nominations.
BET HIPHOP AWARD - Best breakthrough Hiphop artist...
Ninachompendea Muna ana Tabia ya kujipendekeza kwa watu waliofanikiwa. Muna Siku hizi ka upgrade uchawa, kutoka kuwa mbeba mapochi wa wema, lulu hadi kuwa Karibu na bosslady Zari , kweli muna...
Sina wivu na mafanikio ya mtu yeyote. Jana Mwijaku kazindua nyumba anayodai imegharimu Tsh 1.3 Bilioni. Mwijaku ni msanii wa bongo movie ambaye hivi karibuni amegeuka kuwa "CHAWA".
Sheria ya...
Tangu mapinduzi ya muziki wa Tanzania yatokee kwenye miaka ya 1990 na kuzaliwa muziki wa kizazi kipya yani bongofleva kumetokea wasanii wengi hodari.
Ila hajawai kutokea mpaka sasa msanii...
A judge set bail at $750,000 for the one-time gang member charged in connection with the murder of Tupac Shakur.
Judge Carli Kierny also ruled that the suspect -- Duane "Keffe D" Davis -- can...
Habari zenu wakuu,
Huyu mwanadada Jackie Marie alivuma Sana na nyimbo yake Tulia mpenzi lakini tangu hapo hajawahi kutoa nyimbo nyingine Tena. Ni miaka mingi imepita, nadhani hata kizazi Cha Sasa...
Bruce Lee aliweka rekodi ya dunia baada ya kupiga 'push up' 200 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja na kurusha punje ya mchele hewani na kuidaka kwa kutumia kijiti chembamba cha kulia chakula...
1. Ommy dimpoz
Jamaa amefanikiwa sana baada ya kumterekeza baba yake akiwa anatanua DSM na fedha za kuhongwa na GSM baba yake anaendesha bajaj huko sumbawanga
2.Diamond platnumz
Huyu amefanikiwa...
Nguli wa utangazaji kutoka kituo cha Radio Free Africa (RFA) Wambura Mtani ameondoka katika kituo hicho alicho hudumu kwa miaka 22.
Mtani ni mkongwe aliyekuwa amebaki kwenye Radio hiyo baada ya...
Vijana wengi wadogo wakiwaona celebrities kina Diamond, Mario, Mbwana Samata, Masoud Kipanya, Joti. n.k. wanashawishika kutaka kuanza maisha ua sanaa ama michezo bila kujua kundi hilo halizid watu...
Hivi kuna wanaume wwngine wapoje? Yaani unamuomba msamaha mwanamke mrudiane hivi unajua akili za mwanamke akijua kwamba weww mwanaume ni bwege?mjinga au mpumbavu?
Ok ila nisiseme sana maana kuna...
Mzuka mwanajamvi.
Influencer na muuza magari maarufu nchini Dotto Magari ambaye ni watani na wanamashindano ya kimaisha na Mwijaku na baba level ameiponda nyumba mpya ya mwijaku iliyoleta gumzo...
Kila mtu ana ndoto zake na malengo yake.
Anjela msanii aliyekuwa konde gang wakashindwa kumpa huduma muhimu akasepa, ndoto yake kubwa ni kufanya kolabo na msanii wa kike namba moja east africa...
Habari nikuwa muda wowote kuanzia sasa tujiandandae kusikia msanii fulani wa label Moja kubwa hapa bongo kuachana na label yake na kwenda kujitegemea. Chanzo inasemekana ni ugomvi wa kimaslahi...
God bless.
Mashabiki wa Ninja tumefurahi sana kwa alicho kifanya mwamba kwenye mkwaju Nasikia harufu.
Huyu ndio Chidy tulie mjua.
Chidy umefunika sana kwenye hilo goma. Kwa ulicho kifanya...
Jamani kwema?
Hivi unajua kuhama Tanzania ni kujitakia pressure? Hivi stress bongo hii unazipatia wapi Kuna kila aina ya vibweka?
Yaani huyu Zai ukisikiliza huu uongo wake tu unatosha...
Irene Uwoya baada ya kupost kumbukizi ya kifo cha aliyewahi kuwa mume wake, marehemu Hamadi Ndikumana (Katauti) mashabiki wamemjia juu na kumwambia aache unafiki maana yeye ndiye sababu ya...