Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Diamond na Wimbo wake aliyo mshirikisha Davido Number 1 Remix ni SHIDA huko Nigeria..Washika Number moja kwenye chat za Muziki leo siku ya Valentines Day kwenye Radio inayoitwa BEAT FM 99.9
3 Reactions
49 Replies
7K Views
Kijana ametimiza miaka 34 toka azaliwe. Happy birthday to you. Kijana huyu OSITA IHEMA ambae huwa anaigiza mara nyingi na patina wake Ihinedu Ikedieze (AKI), leo ijumaa anatimiza umri wa miaka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hallo Wana JF. Napenda kutoa RAI ya tahadhari kwa wale wanaomiliki vilongalonga aina ya Smartphones kwa kile wanachohifadhi katika simu zao. Umezuka mtindo hivi sasa,naweza kusema kwa baadhi...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Dumelaa mboma! You all know actor Chinedu Ikedieze's wife is a designer, right? Nneoma Ikedieze is the CEO of Nikiz Collection and unveiled her 2014 collection at Oriental Hall, Lagos on Sunday...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Yes, Ncha Kali na Dina Wamempokea A Baby Boy. Ncha Kali Amethibitisha Hayo Kwenye Account Yake Ya Twitter, Huku Akikiri Yote Aliyoyapenda Yamepoteza Maana Baada Ya Kumuona Kiumbe Chake Hicho. MAY...
0 Reactions
51 Replies
29K Views
Mwanadada huyu wa nyimbo ya 'Man Down' aliweza kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake jana na aliweza kurusha picha kwa mtandao zilimuonyesha msanii huyu akiwa na tabasamu kuu. Hakuna mtu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii wiki Kim Kardashian aliweka picha mpya za mtoto wake Nori West kwa mtandao wake wa Instagram. Picha hio ilikuwa tofauti na zile nyingine huku ikikisiwa kuwa Kim Kardashian amemfanya waxing...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
MAMA wa Miss Tanzania 2006 aliye pia staa wa muvi za Bongo, Wema Sepetu, Mariam Sepetu amesema anamwomba Mungu bintiye huyo amfumanie mpenzi wake asiyemkubali, Mbongo Fleva, Nasibu Abdul...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Hatimaye Agness Gerald au Agness Masogange ameamua kuachia picha za waubani wake ila mumfam na muache kumsumbua. tazama picha hizo hap chini
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Nimefungulia tv Chanel ya East Africa Tv (EATV) nimekutana na Show ya mwanadada Wema Sepetu ila cha kuskitisha kuna nguo flani kavaa yaani inaacha wazi kabisa Chakula cha Watoto (M.a.t.i.t.i) hadi...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Msanii kutoka Kigoma na memba wa kampuni ya Leka Dutigite Linex Sunday Mjeda ameendelea kutoa kilio chake juu ya uzushi ulioenezwa siku kadhaa zilizopita baada ya kupost picha mbalimbali akiwa...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Kwa watu wengi, Huddah Monroe anaonekana kama msichana anayefikiria kula bata tu huku masuala ya msingi katika maisha akiyaweka pembeni. Mwakilishi huyo wa Kenya kwenye Big Brother Afrika...
0 Reactions
39 Replies
17K Views
Salaam. Huyu jamaa ni among ma rappers niliokua nawakubali sana back in days hasa ile ngoma yake ya Wengi Walikuepo. Jamaa alipotea kabisa kwenye tasnia ya mziki and last time iChecked walisema...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
American songstress Nelly Furtado once sang: "Flames to dust, lovers to friends, why do all good things come to an end?" This, according to reliable sources, now rings true for Namibia's...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
On the eve of Valentine’s Day, Stephen Gaeseb opened up about his break-up with Big Brother Africa: The Chase winner Dillish Mathews - and revealed that the couple had already split in December...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Muimbaji wa Lofa, Top C amesema tangu atangaze kutaka kujiondoa kwenye label ya Candy n Candy ya Kenya, ameanza kupokea vitisho kutoka kwa wasanii waliosalia wanaomchimba mkwara asikanyage tena...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Nimepokea maombi mengi niwawakilishe big brother mwaka huu kutoka kwa wadau muhimu,wanaona na vigezo vyote Mimi uwa ni muongeaji sana na mcheshi pia niko cool. Sijui mnasemaje wadau, niko...
2 Reactions
179 Replies
16K Views
Kweli tunatoka mbali! Credit; XDEEJAYZ
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jennifer Hanifa Daud(Jennifer) ambaye ni mtoto alityetamba katika filamu za Uncle JJ na This Is It akiwa na marehemu Steven Kanumba anadaiwa kulipwa si chini ya sh.million 2 za kitanzania...
0 Reactions
19 Replies
34K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…