Katika pozi, baada ya kuaga rasmi ukapela na kuingia ktk majukumu.
Hongera sana na karibu katika chama chetu cha wenye ndoa. Waswahili wanasema "ndoa ndoano".
Baada ya lavalava kuachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha billnas, #beernyama#, dotto magari amakuja juu baada ya msemo wake mpya wa #hapa ipo# kutumika kwenye ngoma hiyo.
Kwenye interview...
Kusema ukweli Pasha alikuwa ni msanii mwenye kipaji cha Hali ya juu mno labda Kama hasingekosa manajiment inayojitambua na kufahamu vyema kazi na umuhimu wake kwa msanii PASHA huenda Leo tungekuwa...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Hivi huwa mko Serious au huwa mnatania?,yaani Mwanamuziki Fally Ipupa mnamfananisha na Fere Golla?
Sijajua aliyeanzisha huu mpambano kama yuko timamu...
Kama heading inavojieleza
Ndio zaire (DRC ya leo) aliwahi kuwepo Sadam Hussein
Kwa wale wasikilizaji wa nyimbo za zaire hasa mwishoni mwa miaka ya 90 mtakua mumewahi kusikia hili jina likitajwa...
Maarufu kwa jina la Mr bean lakini jina lake halisi ni Rowan Atkinson. Aliyezaliwa siku ya tarehe 6 Jan 1955 huko nchini uingereza..
Je, unafahamu kwamba Mr Bean alisoma shule moja na aliyekuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Taifa leo ametimiza ahadi yake ya kumpatia prof Jay million 20 kwa ajili ya Taasisi yake ya prof Jay...
Kiukweli miongoni mwa mambo ambayo anashauku nayo Wema Sepetu basi ni kupata mtoto.
Wema ameshajaribu kila namna kupata mtoto lakini anaambulia patupu zaidi na zaidi alichobakisha sasa hivi ni...
Maisha yanaenda kasi sana eti shishi baby naye ana msanii π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Msanii wake mwenyewe ni mpishi wake wa shishi food πππππ
Sasa cha kuchekechesha ni kwamba eti msanii ataendelea kupika na...
Maneno mengi uwezo mchache,Wote wamechezea kichapo cha nguvu,ngumi haziitaji mbwembwe watakuja kufia ulingoni hawa watu.
BTW. Hongera sana Tyson Furry kwa kunikalishia hii mutu kwa mara nyingine...
Mwamba alifanya soo kitaa akapelekwa jela KISONGO wakampiga para. Hana hamu na jela Tena.
NB: jela haina mbabe kama wahuni wametambaa na mwamba Sura ya kazi sembuse vijana wanaoshinda kwenye AC...
Baada ya kulilia penzi la Harmonize kwa muda mrefu bila mafanikio. Mwanadada Jacqueline Wolper hatimaye aamua kumsambazia utamu huyu kijana ambapo bila hiyana wolper alimsifia kijana huyu kwamba...
Katika vitu ninavyoviona vya ajabu basi ni tuhuma zinazomkabili Keshas.
Keshas huduma zake kwa ujumla ni gharama sana, kupunguza tu tumbo tu peke yake ni laki 9 lakini cha ajabu kila kukicha...
Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Nchi mbalimbali (kimataifa) , Bilionea Joseph Mbilinyi, leo ameshiriki ibada Maalum ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa katika Parokia ya...
According to TMZ, Vin Diesel is facing a lawsuit for allegedly forcing himself on an assistant working with him during production on "FAST AND FURIOUS".
Asta jonasson says she was hired by one...
Lazima wote tukubali moja ya products kubwa amewai zitengeneza Diamond Platnumz ni huyu dogo wa kuitwa Harmonize.
Harmonize alipokuwa wasafi alikuwa anafanya vizuri sana na hata baada ya kutoka...
Huyu jamaa kapotelea wapi, alilisimamisha sana kundi la Vatoloco soldiers kule Arusha, kwa sasa yuko kimya sana, nakubali sana harakati zake ni mjamaa asiekwepesha ukizingua kama Maalim Nash tu...