Wakuu
Kwa watu wa mataifa mbalimbali wana sifa zao kila taifa..
Mathalani ukienda India aslimia kubwa ni uchafu,
Ukienda China wao wanakula kila kitu kinachotembea ardhini na kupaa.
Ukienda...
Aisee hii Tanzania ni kubwa sana, niko Mtwara linapokuja suala la burudani kwa mikoa ya Lindi na Mtwara hamna mtu aneyemfikia Dj Missondo kwa kusepa na kijiji.
Huyu jamaa akiwa sehemu anafanya...
Leo kwenye ibada ya Kawe kanisani kwa Mwamposa jamaa kaonekana kwenye TV akitubishwa.
Ni hatua njema kwa Godfrey Tumaini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond kila anapomsaini msanii kwenye lebo yake halafu akaona mwanamziki ana nyimbo nzuri lazima atataka yeye ndie awe muhusika wa juu/ main character kuliko hata mwenye nyimbo.
Kafanya hivyo...
Wasalaam.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema nimeona interview ya mama yake Chid Benz na Clouds tv kwenye kipindi cha Shajara.
Huyu mama kwakweli yeye mwenyewe hajakubali kama mwanaye...
D Voice jini ametoa album yake ambayo inafanya vizuri sana sokoni mpaka sasa YouTube ndio ipo juu kwa kusikilizwa.
Harmonize naye kaachia album yake lakini pamoja na kiki zake za kupigana...
Wakuu tuwe makini sana ikibidi tuwe wajajusi hasa kwa Hawa wenzetu maarufu na hata ambao si maarufu kina sisi
...ukiwa faragha na mademu zetu kuwa jasusi sm zote off ukakuguzi wachumba na mwenza...
Katrina Kaif ni mwigizaji na mwanamitindo wa Uingereza na India. Alizaliwa mnamo 16 Julai 1983 (Ana miaka 40 sasa) huko Hong Kong na kukulia Uingereza. Wazazi wake ni mfanyabiashara wa Uingereza...
Hii nchi ina vijana mazezeta sana. Huyu mwanamuziki aliyetwaa tuzo huko Marekani alifika jana alfajiri saa 11 na ndege ya shirika la Uturuki, akabaki ndani ya uwanja huku akiendelea kuratibu...
Kwa vita anayopigwa mchizi, toka ameanza muziki mpaka leo hii basi ingekuwa msanii mwingine muda sana angeshapotea.
Nikikumbuka kipindi anaanza kulikuwa na Tanzanite alidai kaibiwa nyimbo ya...
Wakuu,
Labda kama nimepitwa kidogo.
Moja ya wasanii ambao hawasemwi sana lakini personally naamini walikua gifted ni Godzilla. Najua kifo kipo kinatusubiria wote lakini huyu mwamba siku zake za...
MC na mtangazaji Nguli anafaa kupewa tuzo maalum kwa kuwezesha vijana kufikia ndoto zao katika Sanaa. Hivi karibuni alifankiwa kuwezesha vijana yapata 20 kucheza filamu yao ya PESA MAKARATASI...
Wasanii wengi wanaofanya kazi zao mikoani huwa wanaishia kutamba hukohuko mikoani lakini wapo wachache ambao walivuka boda na kupata umaarufu nchi nzima.
Uzi huu tuwataje wasanii waliofanya kazi...
Leo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya...
Legal documents detail an agreement that has the 83-year-old Scarface actor paying over $30,000 monthly to support his youngest son.
The court's mandate includes an initial sum of $110,000 to be...
Ndugu zangu. Narudia tena kwa mara nyingine. Usicheze kabisa na mtu aliebarikiwa na Mungu.
Kind David, the King of the United Kingdom of Israel and Judah alikuwa muuaji lakini alikuwa chaguo la...
Kashfa za Unyanyasaji Kingono dhidi ya Wanawake zinazomkabili 'Rapa' Mkongwe Sean 'Diddy' Combs zimeanza kuathiri biashara zake hadi kumlazimu 'Puff' kuachia Uenyekiti wa Kituo cha Runinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.