Mcheza filamu wa Marekani Lena THE PLUG (miaka 32) ambae ameolewa na mcheza filamu mwenzie ADAMS(miaka 39) amefunguka kua kuhusu suala la sex kwa Sasa haenjoy sana na mumewe Kama zamani maana...
Wakuu pamoja na kupenda siasa za CCM ila pia mimi ni mnazi mkubwa wa muziki wa Hiphop. Tangu utotoni nimekua nikipenda Hiphop. Nimekuwa nikisikiliza nyimbo za GWM, Mr II, Dollar Soul, JCB &...
Young killer msodoki mwana hip hop asiye na swaga kabisa. Siku ya tarehe 2/12/2023 Ali achia album yake inayo kwenda kwa jina la too much amazing, yenye mikwaju 14.
Nikaamua kujipa muda ili ni...
Lavelle Crawford ni stand up comedian and actor kutoka nchini Marekani.
One thing I like about this guy is that tangu aanze kufanya stand up comedian kwa zaidi ya miaka 20 sasa kila akipanda...
"Single Again" by Harmonize is a popular Afro-pop song that has taken the music world by storm. The song, which is produced by Dj Tarico and released under DK Company Ltd, is accompanied by an...
Msanii wa muziki Barakah Da Prince aliyewahi kutamba na nyimbo kama Siachani nawe, Siwezi na Sometimes, jana ameondoka kwa gadhabu kwenye interview ambayo aliifanya na MJINI TV.
Interview hiyo ni...
Aliyekuwa Katibu wa Uenezi CCM jijini DSM Komredi Haji Manara amesema yeye ni mtu makini, anayeheshimika na jamii na mwenye utu
Manara amesema " Haji wa Social media na Haji Real ni Watu Wawili...
Nadhani Mwaka 2023 ndio tumeshuhudia vifo vya watu wengi mashuhuri.
Iwe kwenye michezo, siasa na Sasa kwenye anga ya biashara.
Ambapo siku ya Jana kulitokea kifo Cha mfanyabiashara mashuhuri...
Kwa wale wafuatiliaji wa Series maarufu ya THE 100 mtakuwa mnamfahamu yule muigizaji aliyejizolea umaarufu na kujulikana kwenye series hiyo kama the red queen akiigiza kwa jina la Octavia Blake...
Diamond amenza kufulia kimuziki.
Anatengeneza kiki za kijinga.
Jana ameibiwa Kofia Lengo ili atrend mtandaoni.
Bado anachakujifunza kutoka kwa wakina Davido ,Rema
Wakuu natumaini mko poa. Nawasalimu katika jina la CCM.
Mimi nikiwa kama mdau wa elimu nimefurahishwa sana na nilichokiona leo mtandaoni. Nimeona matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ya...
Kaahh..hata kama ni talaka ruhusa kidini ila Haji ni too much ...mweeee...
Story za mitandaoni Haji na kashampiga talaka Tatu bi Ruby aka mama Ghalib talaka taaatu shwaaa....bila marudio ka eda...
P. Diddy amekumbwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kingono. Nguli huyo ameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Manhattan akidaiwa kumnyanyasa kingono mwanamke ambaye alimnywesha dawa za kulevya...
SANAMU YA LWAMBO YAZINDULIWA JIJINI KINSHASA
Miaka 26 baada ya kifo chake mwanamuzi nguli wa Kongo Franco Luambo Makiadi, sanamu yake imezinduliwa usiku wa kuamkia leo jijini Kinshasa kwa...
Huyu dada Marilyn Monroe alikuwa na nguvu isiyo ya kawaida. John F. Kennedy akiwa Rais wa Marekani huku mdogo wake Robert F. Kennedy akiwa mwanasheria mkuu wa serikali walijikuta wote wakiangukia...
Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..
Hivi karibuni pamekuapo...
Mtangazaji mahiri Salim Kikeke ambaye mwezi April 2023 alitangaza rasmi kuacha kazi kwenye Shirika la Utangazaji la BBC, ameamua kurejea nyumbani Nchini Tanzania baada ya kuishi Uingereza kwa...
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba mmakonde na Sarah wamwagana ila mmakonde anaona aibu kukiri waziwazi kwa kuhofia kuchekwa na watu.
Kwa kifupi mmakonde bila Sarah si lolote wala si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.