Naappreciate sana juhudi za Diamond katika kuunyanyua muziki wa Tanzania kwa kuibua vipaji vipya kama Harmonize, Raymond na watakaofuata kama wapo.
Ni dhahiri kuwa kwa hili la kusimamia vijana...
Kijana huyu nilidhani atafika mbali lakini kwa sasa naamini kazi anazofanya ni zile za kutegemea wanasiasa walipe.
Changamoto ya kazi hizi ni kwamba unafanya kazi kubwa ujira kidogo na wakati...
MUUZA nyago asiyeishiwa vituko Gigy Money amefunguka kuwa jina lake limekaa kipesapesa ingawa yeye mwenyewe maisha yake kutwa kucha ni kuwatumia wanaume (udangaji) ndiko kunamweka zaidi mjini...
Wimbo wa Mugambo wanaruka na kukanyagana wa mwanamuziki machachari Juma Kassim Kiroboto Ali a.k.a Sir Nature ummemtoa kimasomaso baada ya kufanikiwa kitwaa tuzo ya wimbo bora wa afrika Mashariki...
Huyu alikuwa anatangaza na Millad Ayo kule Clouds radio kipindi cha amplifier kwani alihama? Nashangaa namuona huku Star search yupo na kina Salama Jabir.
Mada inajieleza,
Kuna watu waliwahi kukonga mioyo ya watu na baadae historia zao na zikapotea bila kujua ni wapi walipo mimi naanza na hawa jamaa.
1. PIERE LIQUID, mlevi maalufu aliejipatia...
Mwanamuziki, Lameck Ditto amewasilisha vielelezo tisa wakati akitoa ushahidi katika kesi ya madai dhidi kampuni ya Multichoice Tanzania Limited, akiituhumu kutumia wimbo wake bila ridhaa yake...
Bwana Yesu Asifiwe jamani nampendaga sana Mtumishi wa Mungu Christopher Mwakasege kwanza hana Scandals ,Pili anampenda Mungu kikweli kweli tatu hana mafundisho ya uongo nne hajawahi kuchuja tangu...
Mwenye kujua marital status yake anieleze kaolewa ama pia kama kuna yeyote ana namba yake nombeni wadau am serious about this .
Au akipitia huu uzi anitafute kwa hii no
0628926348
Huyu mtangazaji ana sauti nzuri sana, nadhani wale wasikilizaji wa xxl ya clouds fm watakuwa wanajua. Sasa nikasema ngoja nimtafute insta nimuone alivyo, nikasema mbona haendani na sauti nzuri...
Inadaiwa Msanii Harmonize na team yake ya Konde Gang walienda VVIP kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa Tanzania dhidi ya Morocco kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026, wakati wa mapumziko, jana Usiku...
Mwanasheria machachari na kipenzi cha wasanii wengi Albert Msando ambaye mara nyingi hujitokeza kuwatetea kwenye masuala ya kisheria, amefunguka kuhusu kuwa karibu na Gigy Money na Amber Lulu...
Sina hakika kama imeshaletwa huku au laa, ila mimi ndio nimeiona leo. Nikaona niilete hapa ili mwenye kuweza kusaidia matubabu ya mwigizaji Carina asaidie. Pengine hata tukimega pesa kidogo toka...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), William Lukuvi, akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Elias Wawalali na Rose Nyerere (katikati) baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndega wa...
Huyu Gigy Sijui alirogwa au kajiroga mwenyewe kila anapogusa ni nuksi tu, show ya watu huko imehairishwa tena chanzo kikiwa ni yeye mwenyewe, Sijui linajikutaga nani, Yan linaudhi, kila sehemu...
Katika kipindi cha miaka ya 80 na miaka ya 90, ngoma za dance hall, Rock na mitindo mbali mbali ndiyo ilikuwa inabamba sana, sio sasa kama ilivyo amapiano, Bongo flavor, hip hop na afro beats...
Naona Manara anataka kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe, kama alipigwa tukio na rushayna mpaka akazimia basi hapa kwa Zai ategemee maumivu mara mbili yake.
Zai anajulikana ni mwanamke mapepe...
(hapa inakaaga salamu)
Itoshe tu kusema ulistahiri TUZO hii. Tunaofuatilia kazi zako ni wengi kuliko idadi unayo kadiria.
Umepeperusha bendera ya Tanzania
====
Leo nilifika mbele ya Wizara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.