Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Ngoma zake zimenibamba hasa hii ya bam bam na mpe taarifa
1 Reactions
3 Replies
709 Views
Kutokana na baadhi ya mashabiki na Watanzania kwa ujumla kushangazwa na muonekano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnum, kwa mara ya kwanza amezungumzia kuhusu muonekano wa mwili wake akisema...
8 Reactions
151 Replies
20K Views
Nataka niwamegee siri kidogo kwa nini Diamond ataendelea kuwaburuza wasanii wenzake kwenye kuinua na kuvitoa vipaji vipya. Nikichukulia mfano wa msanii wake Zuchu. 1. Ameakikisha Zuchu ana...
27 Reactions
69 Replies
9K Views
Mrembo Loveness Tarimo ambaye ni Miss Fitness 2019 amezua gumzo kuhusiana na jinsia yake. Wengi hawaamini kama Love ni mwanamke kulingana na namna anavyojiweka ,sauti yake ,kifua chake ,mpaka...
12 Reactions
81 Replies
10K Views
Dvoice_Ginnii Congratufuckinlations kid Hakika hii ni nafasi ya kipekee ambayo maunderground artists wengi huitamani sio kwamba hawana vipaji, hapana Ila Kila mmja anapata kwa wakati wake...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Katika ukurasa wake wa ig, chawa mwandamizi na mpambe Aristote aliomba msaada Huku akiwa kafungwa pingu. Alisema anaomba msaada wa polisiTanzania kabla hajauwawa na watu waliomkamata... Je...
0 Reactions
7 Replies
846 Views
Kweli mahakama inaona mbali, kama wangekubali huyu dada awe msimamizi wa mirathi na amiliki IPP Media, angekuwa ameshaimaliza. Muda wote yuko mahotelini Dubai, kwa asiyemjua anaweza kudhani...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye ile ndoto ya muda mrefu ya msanii wa singeli kutokea Temeke ukipenda muite London boy D voice jinii inakaribia kutimia siku chache zijazo. Msanii D voice...
12 Reactions
61 Replies
5K Views
KAMA ANGEKUWA HAI, LEO ANGETIMIZA MIAKA 41. ALIZALIWA SIKU YA LEO. Nipe top5 ya ngoma unazozikubali kutoka kwake. Hakuwahi kuwa na ngoma mbovu ile nipe 5 tu za moto. Mimi hizi hapa...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Hongera sana msanii Juma Mkambala aka Jux kwa kufikisha subscribers million 1. Kutoka kwenye subscribers laki 4 hadi 1 million ndani ya miezi mitatu ni jambo la kupongezwa. Ni nzuri sana...
11 Reactions
28 Replies
2K Views
Msanii wa muziki Tanzania, Harmonize ameshinda tuzo tatu (3) Nchini Marekani usiku wa kuamkia juzi. Msanii huyo ameshinda tuzo hizo tatu za (AEUSA) katika vipengele vifuatavyo: Artist of the...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Album ya Feroouz SAFARI na album ya Daz Baba ELIMU DUNIA. IPI ILIKUWA HATARI ZAIDI??
0 Reactions
1 Replies
254 Views
Habari ya kusikitisha, ni Kwamba wachezeaji wawili nchini Rwanda wamefariki Usiku wa kuamkia leo kila mmoja akiwa nyumbani kwake. Hategekimana Bonaventure aka Gangi na Mume wa zamani za Irene...
12 Reactions
367 Replies
81K Views
Aliyekuwa Dancer wa Wasafi chini ya Diamond Platnumz, Bajuni H. Bajuni ametangaza gafla kuachana na kazi iliyompa umaarufu ya kucheza mziki katika Shows na Video za mziki. Ameandika kuwa leo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hawa wote wana body za mazoezi wote wanaenda gym Ebu tusubiri wadada waje watuambie yupi wanapenda kifua chake ili na mimi niende mazoezini nijue niendelee kupendwa na pisi Kali tuendelee...
8 Reactions
175 Replies
12K Views
Ndoa ya mwanuziki Jay dee na mtangazaji mashuhuri wa radio Gardner G. Habash inasemekana imevunjika huku Gardner akihama Kimara alikokua akiishi na mkewe na kuhamia kwa moja wa ndugu zake wa...
6 Reactions
423 Replies
84K Views
Na Mwandishi Tukio la kihistoria, Jag Bains, mfanyabiashara mwenye umri wa miaka 25 na mmiliki wa kampuni ya lori kutoka Washington, ameandika jina lake katika historia ya televisheni ya ukweli...
0 Reactions
7 Replies
685 Views
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amewataka Wasanii wanaovuta bangi na unga kujirekebisha na kuacha mara moja kwakuwa orodha ya wote...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Katika siku za hivi karibuni, nime kuwa niki kutana na Picha za huyu mwamba. 👉 akiwa ana Pigana na wanyama was ardhini au hata majini. Jamaa ana pigana kwa Uwezo mkubwa. wanao mjua watu ambie je...
22 Reactions
135 Replies
7K Views
Back
Top Bottom