Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mwan a Fa na Ay waliwahi kuwashtaki Tigo kutumia nyimbo zao kwenye miito ya kupiga simu, Tigo waliwalipa bilioni 2.15 lakini kiuhalisia huenda walibaki na bilioni 1.5 (kila moja milioni 750)...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Yaani umwombe Mungu na kweli akufanikishe kutenda uzinzi? Kajalaaa....
0 Reactions
2 Replies
486 Views
Cassie amefungua kesi ya dola milioni 30 dhidi ya Diddy akimtuhumu kwa ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia. Mwanadada huyo anasema muda mfupi baada ya kukutana na Diddy mwaka 2005, akiwa na umri wa...
10 Reactions
110 Replies
9K Views
KITU AMBACHO HAKITAHOJIWA KWA SASA.... Mamilioni Yanayotumika Kumpaisha Leo Ukianzia Shughuli Yenyewe Ukumbini Pesa Imezama mule, Halafu Kwenda Studio Na Pia Video Kali, Mavazi Ya Kufa Mtu...
23 Reactions
42 Replies
3K Views
Sote tulijua Majani ni OG pioneer, lakini nimeshangaa kuwa bado hata leo kwenye hiki kizazi ambacho hawana kipya wao wanacopy tu miziki ya Nigeria na south Africa, Majani ndiye ameamua kuwa...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Huyu jamaa ana mameneja watatu ila naona kwenye suala la personality wameshindwa kumshauri kabisa. Kwa muonekano wa mondi wa sasa ni either kajiingiza kwenye drugs au mambo ya kigasho..muda...
9 Reactions
81 Replies
8K Views
Naanza na East Africa,Kuna wanamuziki ambao tangu niwajue hawajawahi toa ngoma mbovu msijichoshe sana wapo wawili: Tanzania Albert Mangwea[A.k.a Mimi] (R.I.P) Huyu Jamaa hajawahi bahatisha,mbali...
0 Reactions
2 Replies
432 Views
Nyota wa Muziki wa Pop raia wa Colombia, Shakira amefikia makubaliano na Waendesha Mashtaka wa Uhispania kutatua kesi ya kukwepa Kodi kwa kulipa Euro Milioni 7.5 (Tsh. Bilioni 20.4) muda mfupi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hana vigezo vya kumfanya aonekane wa tofauti na wenzie. Anaimba kawaida Tena bora hata ya lavalava. Tulitegemea tutaletewa msanii anayeimba kileoleo style za kina Rema, Ruger etc. Mnatuletea...
13 Reactions
60 Replies
4K Views
Seven Mosha na P Funk wanaondoa uhalali wa kamati ya kusimamia tuzo za TMA Tanzania Music Awards. Sababu kubwa wana maslahi binafsi na kitu kinachoenda kukisimamia au tuseme conflict of interest...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Supastaa mpya mjini D Voice aka Jini ameianza safari yake ndani ya Wasafi kwa kasi ya kutishia sana. Ameweza kuingiza nyimbo zote kwenye trend za Tanzania uku nyimbo tano zikiwa kwenye top 10...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Fid Q namkubali sana kwa barz. Leo baada ya kupiga mitungi nikasema nisikilize ngoma za Fid Q na Joh makini. Lakini katika nyimbo zilizo nivutia katika mzuka ni hizi hapa. Fid Q wimbo walk it...
8 Reactions
83 Replies
4K Views
Niambie nyimbo yake kalii unayo ikubali kutoka kwa mkali Future
3 Reactions
13 Replies
555 Views
https://youtu.be/rK1Y8GhcZFI = https://youtu.be/B_cAMoJBT5Q
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Aman iwe juu na chini yenu wakuu Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Ingawa huwaga tunawapinga, kuwasimanga na kuwatus na kuwaita majina mabaya lakin nyie ndo wazee ubuyu humu ndani...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Hawa ma celeb wa Tanzania ni uchafu, huyu dada nilikuwa namuona ana akili lakini bure kabisa. Huyu mwigizaji akijibu maswali ya waendesha kipindi cha Ubaoni cha Channel ya Sinema Zetu anasema...
31 Reactions
330 Replies
22K Views
Aisee sisi Watanzania tuna mawazo ya ajabu sana. Naona watu wengi wanahusisha kifo Cha Nabeel na imani za kishirikina. Pointi yao ya msingi ni dhaifu sana ,eti kisa ile ajali ilikuwa mbaya sana...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Wakuu, Mimi naombeni mnitoe ushamba, kwanini huyu bibie amekua na wafuasi wengi Instagram kuliko watu wengine maarufu zaidi yake. Ana nini special kuliko wenzake.
0 Reactions
115 Replies
13K Views
Nyimbo anazotoa hazina mvuto tena na hazishiki number one kwenye platform yoyote mpaka boomplay ambayo inaonewa mpaka na maunderground kwa kushika number one trending. Watu wanamkimbia kwenye...
8 Reactions
63 Replies
4K Views
MSAAD KIDOGO. HIZI NYIMBO ZIKITOKA MWAKA GANI. DIAMOND FT GEEZ MABOVU NGWAIR...JISACHI. GODZILLA FT DIAMOND...MTOTO WA KIUME. TOPBAND FT BLUE...NILIKATAA GODZILLA FT ALIKIBA..MILELE
0 Reactions
1 Replies
343 Views
Back
Top Bottom