Habari zenu!
Hasa wapenda burudani wa mziki huu wa bongo fleva miondoko ya hip hop kwa Hapa Tz.
Unajuwa miaka ya zamani kidogo kuanzia 1997~2009 mziki wa Tanzania ulipiga hatua kubwa sana katika...
Waswahili wanasema ngoja inyeshe tuone panapovuja 🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani mmakonde kaka nalo moyoniiii weeee mwisho wa siku kaona hataaa ngoja alitoe tu .
Kuna kipindi Kajala alikuwa karibu mno na body...
Kikao cha kusikiliza rufaa ya Wasanii Mastaa nchini Whozu, Billnass na Mbosso kimefikia maamuzi ya kuwataka Wasanii hao kulipa faini ili waweze kuruhusiwa kufanya kazi za sanaa nchini kwa kufuata...
Produza Abbah ameeleza kuhusu taarifa za kifo cha mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya gari iliyotokea jana Novemba 11, 2023 kwa gari lililokuwa limeibeba crew ya Msanii Chino kugongana uso kwa uso...
Katika pitapita zangu nimekutana na hii picha ya harusi ya Freeman Mbowe mwaka 1991.
Utaona ni kwa namna gani Mbowe alikuwa katika hadhi gani kwa miaka hiyo. Hii picha inafikirisha sana.
Freeman...
Baadhi ya wasanii imeonekana kuwa wana maisha mazuri sana ila tatizo linaanza wakiugua miongoni mwao wameshindwa kumudu gharama za matibabu kupelekea kutembeza bakuli ili wapate misaada ya...
Msanii Mkongwe wa Muziki, Jose Chameleone amesema licha ya Muziki wa Uganda kuachwa nyuma na Kenya na Tanzania, bado taifa hilo linajivunia uwezo wa kuimba walionao Wasanii wake ambapo hakuna...
Siku ya leo nimeamka na mzuka wa rhumba sasa katika pitia pitia za wasanii wakongo nikapitia album hii mpya ya ferre gola iitwayo Dynastie ii vol. 1 aliyotoa mwaka huu mwezi oktoba.
Aisee ferre...
Mkali wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria, Harrysong ameweka rekodi mpya kwa kuoa wanawake 30 kwa siku moja. Rekodi hiyo ilikuwa imeshikiliwa na gwiji Fela Anikulapo Kuti ya kuoa wake 27 kwa siku...
Mrembo Faiza Ally Ameamua Kufunguka haya Hapa Chini:
"Napenda kuvaa half naked - Na najipenda kujiangalia nilivyo bomba Na kuangalia watu wanavyo niponda.... najue wengi mnatamani lkn Ndio hivyo...
Achana na mapungufu yake, haya tumeumbiwa wote chini ya jua.. Kwakuwa sisi wa mwili wa damu na nyama si wakamilifu..
Mungu huwainua wachache kati ya kwa kila taifa, ukoo hata familia.. Huwainua...
Dar es salaam unakuta kijana ana coaster 10 na bado ukaonekana wa kawaida kabisa, ni tofauti na huko vijijini ama mikoani tayari umefika kipimo cha kuitwa tajiri.
Shida inakuja kwa hawa vijana...
1. Anasema yeye ndo anaibeba Kinondoni lakini Kinondoni yenyewe imeanza kumjua baada ya kuanza kuuza sura instagram. ( He doesn't look familiar)
2. Anajiita mzaramo halafu anaitwa " Dotto" since...
Kuna huyu dogo toka Makambako, huw nasikia ni maarufu sana huko Iringa. Mimi siku zote ni shabiki wa muziki mzuri, kuna kipindi nilijaribu kumsikiliza ila sikuambulia chochote!
Ila hivi majuzi...
Ukikaa Kwa makini ukatenga muda wa kuisikiliza hii ngoma utaungana na Mimi kuwa Diamond wa nenda kamwambie, karudi..wimbo mkali sana kuanzia mashairi, melody, nk.kifupi hizi ndio nyimbo wenye...
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, amesema amesikia malalamiko ya mwanamuziki Diamond lakini hawezi kumjibu kwa sababu zipo taratibu za kufuata kama anaona...
Wakati Diamond Platnumz alikuwa na miaka 17, alifanya kazi ya kuuza nguo za mitumba na kuuza mafuta kujaribu kuweka akiba ya kumwezesha kurekodi studio, lakini haitoshi. Hatimaye mwimbaji huyo...
Wizkid au Star boy imethibitika anatoka
kimahaba na rafiki karibu wa familia ya Kim Kardashian aitwae Justin Skye
Wizkid amethibitisha hayo kupitia ukurasa wake wa instagram kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.