Muonekano wa sasa wa Aunty Ezekiel umetushtua watu wengi sana
Japo Aunty alikuwa na kishepu fulani hivi tangu hapo awali ila kwa sasa mmmmmmmmmmh surgery imehusika hapa tusidanganyanee 😂😂😂😂😂😂...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtaka Msanii Whozu kushusha mara moja video ya wimbo wake wa ‘Ameyatimba’ kwenye digital platform zote, pia limemtoza faini ya Tsh. milioni 3 na limemfungia...
Naandika hii thread kwa machungu sana, hili limeniwia vigumu sana kulisema hapa, lakini imenibidi!
Siandiki nionekane nilisema, wala sipendi siku thread hii ije kufukuliwa kwamba yametimia, wala...
Huyu mwanadada Husna Iddi (Sajent) ambaye ni muigizaji wa bongo muvi ambaye pia alishawahi kushiriki mashindano ya kimwana manywele na miss singida miaka hiyo ya 2000 anadhani watanzania...
Nimeutafuta huu wimbo kila sehemu sijaupata hata video yake haipo ni kwa sababu gani? Pia nimegundua Mr. Blue hana account katika hizi platform kama Spotify, Boomplay, Youtube nk kwanin hajapenda...
Baada ya Francis Nganou kumtandika Lineal Champion ambaye pia ni WBC Super heavyweight champion of the world Tyson Fury (Gypsy king) licha ya kufanyiwa dhuluma ya waziwazi na majaji naona Francis...
Bado sijaona wala kusikia Artist wa kike kumzidi Rihanna hakuna cha beyonce nicki minaj wala taylor swift. Wote hakuna anayeleta taste kama rihanna. Wakumzidi riri bado hajatokea.
Juma Lokole "wanawake wanachezea nafasi wanayoipata kwa Diamond..Ingekuwa mimi Ningejijenga Kwanza Mimi na Kusaidia Ndugu zangu" wa Mitandao ya Kijamii JUMALOKOLE Anasema Kuwa Diamond hachezei...
Aliyewahi kuwa mpenzi wa dulla makabila ,ZaiyLissa bado anaweweseka na penzi la aliyewahi kuwa mpenzi anayekulikana kama Mingoclassic.
Tangu awali wengi tulishajua Zai na Dulla hawatadumu yani...
Tuseme tu ukweli, mganga aliyempata Makonda ni kiboko, asimuache kabisa.
Maana kutoka kuchukiwa na wengi mpaka kuwa kipenzi cha wengi si jambo dogo ujue.
Ila yote tisa, kumi ni hili suala la...
Iliandikwa jumatano ya tarehe 1, mwaka 2013
............................
WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA
Watu wanashtuka mtu...
Kwa mujibu wa Forbes, Michael Jackson (MJ) ameingiza zaidi ya Tsh. Bilioni 285 akiwatangulia nyota wengine kama Prince, Whitney Houston na Bob Marley
MJ alifariki mwaka 2009 akiwa na miaka 50 kwa...
Ukitizama waimbaji wa injili wengi wa kike mfano kina Beatrice Mhone, Bahati Bukuku, Angel Bernard, kina Christina Shusho, kina Flora Mbasha na wengineo wamekuwa katika wimbi la kuolewa na...
Katika hali iliyowaacha wengi mdomo wazi ni suala la African giant Burna boy kugoma kufanya show Dubai yenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 5 kisa tu kanyimwa kibali cha kuvuta...
Jamani niseme ukweli kila nikichunguza penzi la Wema na Whozu naonaga kama limekaa upande mmoja hivi.
Wema anampenda sana Whozu ila kwa Whozu naonaga kama anamtumia tu Wema kufanikisha mambo yake...
Kama hii stori Ina ukweli basi mjini ni kiboko.
Imagine Diamond anatapeliwa Hadi kwenda kulilia Polisi, wewe mwenzangu utasalimika?
Ongezeni nyama basi maana naona kama sioni hivi, inaweza kuwa...
Lady Jaydee ndiye gwiji wa Bongofleva kwa upande wa kinadada. Ana miaka 21 katika hii gemu tangu alipoachia wimbo wake wa Machozi mwaka 2000.
Amewezaje kudumu katika gemu kwa miaka yote hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.