Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Baada ya pambano la jana kati ya Fadhili Majiha na Bongani Mahlangu kumalizika kwa utata baada ya pambano kuchezwa kwa raundi 10 tofauti na raundi 12 kama mabondia walivyosaini. Kikawaida...
1 Reactions
5 Replies
642 Views
Mwanamuziki mkongwe Mohamed Mwinjuma (MAZINGAZINGA) baba yake mzazi na Khamis Mwinjuma (MWANAFA) baada ya kukataliwa na mwanae na kukosa msaada kabisa ameamua kujikita zaidi kwenye muziki na...
10 Reactions
242 Replies
48K Views
Tangu mwaka 2006 aliposhiriki mashindano ya Miss Tanzania, Umri wa Wema Sepetu ni kama ulisimama, haukuwahi kusonga mbele. Kwanini? Yeye kila akiulizwa anasema ana miaka 26 na hakuwahi kuvuka hapo...
33 Reactions
107 Replies
12K Views
Tusipoteze Muda Twende Moja Kwenye Moja Kwenye Majina Yao 1. Abigail Chams - Kazaliwa May 7, 2003 Label : Rockstar Africa 2. Yammi - Kazaliwa May 12, 2002 Label : The African Princess 3. Bruce...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwanza natanguliza hoja kwamba sina chuki yoyote na huyo jamaa kwa sababu hata silijui lolote linalomhusu bali pia nampongeza kwa kuhamasisha morali ya wachezaji wa Taifa Stars kwa kuhudhuria...
6 Reactions
100 Replies
13K Views
Mwezi Septemba mwaka jana CEO wa lebo ya WCB na mwimbaji wa Bongofleva, Diamond Platnumz akiongea na DW Africa alithibitisha kununua ndege binafsi (private jet) kwa lengo la kile alichoita ni...
8 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari wana jf ,nani mkali kati Chino kidd vs Msami.
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Nauliza tu sio kwa ubaya kwanini Diamond Platnumz amemtenga mtoto wake aliyezaa nae Hamisa Mobeto?
3 Reactions
164 Replies
23K Views
Huyu dogo mpopo Ruger kutoka kwa wapopo huko Naija ni wamoto sana. Nimekuwa mfuatiliaji wa mangoma ya wapopo kwa muda sasa wacha niseme huyu yanki ana toa mikwaju ya moto sana. Toka kwa mkwaju...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Baada ya mashabiki kumsakama kwa muda mrefu kuhusu muonekano wake na sura kiujumla, mwanamuziki kutoka Tanzania House Of Talent (THT) Maua Sama aonesha niya yake ya dhati kuhusu kubadili muonekano...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Binafsi zaidi ya mara Tano ( 5 ) au Saba ( 7 ) nilimsikia na kumuona mara kwa mara alipokuwa akihojiwa akisema kuwa hatokuja Kuvaa Viatu kamwe na kwamba sehemu zote atakazokuwa anaenda au...
1 Reactions
51 Replies
9K Views
Sijui ni uchawa au kujitoa akili. Mpoto amepitia chuo cha sanaa Bagamoyo ila nadhani alifeli. Najua anatumia stail ya kughani majigambo katika fasihi Kero yangu ni kwamba kwenye mikutano ya...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Msanii wa nyimbo za injilj Ambwene Mwasongwe ameweza kupata mtoto wa kike baada ya kukosa mtoto katika ndoa yake tangu mwaka 2017. Hicho ndo alichokiandika leo kwenye mitandao yake ya kijamii...
12 Reactions
56 Replies
5K Views
Kuna kitu special kilichopo ndani ya huyu mdada. Despite na uigizaji na uandaji mbovu wa filamu bongo lakini unapokutana na huyu mtu hata kama umekosea chaneli lazima utafurahishwa na uigizaji wake.
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Kipindi hiko miaka ya miaka ya 2002-2003 huyu dada alitamba na kibao chake Cha songa mbele. Kipindi hiko chuchu sound kwa Sasa ni marehemu aliufanya mziki kuwa tofauti. Video yake kama basata...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Moja kati ya maboss wa Media, huwezi kosa taja jina la Majizo. Huyu ni Mkurugenzi na Mtendaji toka Radio E na TV E, ambaye kwasasa ni mume halali wa Elizabeth Michael (Lulu), japo alikuwa akitoka...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Ndondi ni moja ya mchezo bora sana ila hatari katika orodha ya michezo duniani, ni mchezo ambao mabondia hutoka na fedha nyingi sana iwe amepigwa au ameshinda inategemea mkataba wake upo vipi, ila...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kamwene, jamani tuseme ukweli hii couple ya mwanadada Irene Uwoya na Kayumba kiukweli hata hainogi yani bora hata kipindi kile yupo na janjaro kidogo ila kwa hapa amezidi kupotea kwa kweli. Hivi...
3 Reactions
96 Replies
24K Views
Dodi (mtoto wa aliyekua Mmiliki wa Fulham FC) ndie alimvalisha Pete ya uchumba princess Diana Ila bahati mbaya hawakufikia ndoa. Laiti Leo hii Princess angekuwa hai basi Mfalme (ajae) wa...
12 Reactions
164 Replies
18K Views
Back
Top Bottom