Imeshakuwa desturi sasa, Diamond akitoa wimbo wowote ule lazima yaibuke malalamiko kutoka kwa wasanii wenzake kuwa amekopi vitu kadhaa kutoka kwenye wimbo/nyimbo zao.
Na wasanii hawa wanakuwa na...
Kama ulishawahi kusikiliza ile album ya Kanye kwa jina Graduation bila shaka unaujua wimbo unaitwa 'Big Brother'
Ule ni wimbo spesho kabsa ambao mwana alimuimbia mshkaji wake wa faida (yaani km...
Habari wanajamvi,
Ni muda mrefu sasa sijamuona bwana mdogo Enock amepotea kwenye chombo chetu pendwa cha umma TBC.
Najua humu JF ni chimbo la habari naomba alipo kijana huyu machachari kwenye...
Ha ha ha ha ha nimesikia mtoto wa Pfunky Majani na Kajala Masanja, Paula amepata division zero katika matokeo yake ya kidato cha nne yaliyotangazwa jana.
Unaambiwa tangu matokeo yatangazwe Paula...
Katika kitu ambacho Irene Uwoya anakijutia na ataendelea kukijutia katika maisha yake ni kukubali kumvulia kufuli dogo janja, wengi sana tulimuonya tangu awali lakini alijifanya kuziba masikio na...
NI kivumbi! Kuna madai kwamba, staa wa Bongo asiyechuja, Wema Sepetu amemfikisha mama yake, Miriam Sepetu kwenye Kituo cha Polisi Kijitonyama Mabatini, Dar kwa madai ya kwenda nyumbani kwake na...
Mwanasheria wa Rapa na Mfanyabiashara huyo ameliambia Jarida la #RollingStone kuwa nyota huyo ameanza kufungasha vifaa vyote vilivyoandaliwa kwaajili ya kampeni kwasababu hana tena mpango wa...
Awali ya yote ngoja nicheke kihutu kwanza "Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii".
Kwa muda mrefu msanii Kheri Sameer (Mr Blue) amekuwa yupo kwenye bifu zito na Diamond Platnumz Simbaaaaaaaa mara kwa mara...
Kiukweli mafanikio ya msanii Diamond Platnumz hayaji kibahati bahati bali mafanikio yake yanachagizwa na mambo mengi sana achilia mbali suala la kujituma kwa nguvu zake, Diamond ana roho ya utu...
Hamissa Mobeto hana ujanja kwa Diamond Platnumz anachokifanya kwa sasa ni maigizo hii couple anayoitangaza kwa nguvu IG ni feki na hautumii nguvu nyingi kugundua kama ni feki.
Na kama...
Irene Uwoya atoa povu zito mara baada ya kuulizwa kwa nini huwa hapendi kuwashukuru wala kuwakumbuka wapenzi wake haswa marehemu Ndikumana kwa maana hata huyo mtoto wake Krrish asingempata bila ya...
Tangu awali nilikuwa ninaanzisha nyuzi nyingi sana kuhusu urafiki wa kinafiki uliokuwa kati ya Hamisa Mobeto na Mange Kimambi, japo wachache walinielewa ila wengi walikuwa wananipinga sana ,ila...
Katika vitu ambavyo Mange Kimambi anavijutia ni suala la kumdhalilisha Hamisa na mama yake.
Tangu awadhalilishe Hamisa na mamaye, wafuasi wa Mange taratibu wameanza kum unfollow Mange Kimambi...
Msanii Diamond Platnumz aliweka wazi kuwa alianza kushabikia mpira na kuishabikia timu ya Simba mara baada ya kupata hamasa kutoka kwa swahiba wake Haji Manara.
Kama hiyo haitoshi ,Diamond...
Wakati dada zetu na bibi zetu maarufu hapa bongo Tz wakigombania wakongo na kunyang'anyana kama sukari iliyofichwa,upande wa pili kaka zetu nao hawapo nyumaa kwenye madanga ya ulaya ulaya...
Niseme tu ukweli, huyu msichana uwezo wake wa kuimba ni wa kawaida sana japo kuna baadhi ya watu wachache wanampa sifa asizistahili.
Na ashukuru Mungu hii ngoma ya iokote imempa ulaji kwa kiasi...
Kiukweli huyu dogo ni fundi haswa hasa kwenye utunzi wa nyimbo zake na melod anazo tumia kiufupi bonge moja la msani, ila sasa nimekuwa nikijiuliza, kwanini vidio zake hupenda kuwa mwenyewe...
Msanii wa Jamaica ambaye jina lake halisi ni Sean Paul Ryan Francis Henriques (49) anatumia Sean Paul kuwa ndio jina lake la Kisanii lakini nyuma ya pazi ni kuwa chanzo cha kutumia jina hilo ni...
Bob Marley was once asked if there was a perfect woman. He replies:
Who cares about perfection?
Even the moon is not perfect, it is full of craters.
The sea is incredibly beautiful, but salty...
ROSE MUHANDO ACHUMBIWA NA KUTAMBULISHWA UKWENI KAHAMA.
Wiki hii imekuwa wiki ya baraka kwa Malkia wa nyimbo za Injili Tanzania, Rose Muhando baada ya kwenda kutambulishwa ukweni Kahama kwa ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.