Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Yule mwanadada mwanamitindo kwa jina la Jackline Cliff amemwandikia barua mtangazaji Millady Ayo kutokea gerezani katika visiwa vya Macao alipofungwa kwa kosa la kukamatwa na madawa ya kulevya...
0 Reactions
86 Replies
35K Views
Niseme tu wazi miongoni mwa wanamuziki wenye vipaji tofauti tofauti vya hali ya juu ila hawajielewi basi mmoja wapo ni huyu ndugu yetu Abasi Kinzasa (20 Percent). 20 Percent ni msanii wa hali ya...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa Jarida la #Billboard, Mastaa hao walipanga kuachia albamu yao Oktoba 13, 2023, albamu ambayo inaripotiwa kuwa na ngoma za Raa huyo za takriban miaka 5 lakini Wasambazaji wengi...
2 Reactions
3 Replies
996 Views
Mtandao mkubwa wa muziki nchini Nigeria Notjustok.com umezitaja ngoma bora 100 za muda wote hapa Bongo kuanzia 2012 - 2022 na kwa mara nyingine Diamond Platnumz kawaburuza wenzake. Kwenye article...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kipindi cha mwaka 2011 tasnia ya bongo movie hawa majamaa wawili Ray na Kanumba waliweza kuleta mapinduzi makubwa sana na kama Kanumba angekuwepo basi tungekuwa mbali sana. Waswahili wanasema...
4 Reactions
43 Replies
7K Views
Habari zenu, kwanza nianze kumpongeza MC Pilipili kwa kupambana, kwa ujumla ni MC mzuri sana tu, turudi kwenye mada. Mimi ni mdau mkubwa wa vichekesho vya ndani na nje ya nchi yetu. Kimsingi...
20 Reactions
161 Replies
17K Views
Mzungu anasema, "Put your money where your mouth is". Sasa jamaa anaongea sana zaidi ya anavyofanya boxing. Seems like kuburudisha watu na maneno yake ya ujuaji na uvaaji ndio anachokiweza zaidi...
1 Reactions
5 Replies
704 Views
Wakubwa salaam, Mimi si mpenzi wa mtandao wa insta ila mara chache huwa napita huko. Kinachonishangaza ni activesness ya akaunti ya Le Mutuz Tv. Nimekuwa nikijiuliza ilikuwa akaunti binafsi au...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Pichani ni mjukuu wa Bakhresa ajulikanaye kama Zayed Bakhressa (katikati) akiwa na Mo GSM mtoto wa GSM na Rakin. Watoto wa kishua. Zayed Bakhressa ana account twitter mastaa wote wa bongo...
60 Reactions
113 Replies
17K Views
GENTAMYCINE nikiwa kama Balozi wa Kujiteua Mwenyewe Kilazima wa Kipindi nikipendacho cha Mazungumzo ya Familia kinachorushwa na Super Brand Radio One kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Naona mara kwa mara watu wamekuwa wakiwashindanisha "Mtoto Iddi" -------Sir Nature na "Selemani" ---------Mboso kwamba nani zaidi. Achaneni kabisa na huyo mtoto Iddi ameshindikanika kabisa huyu...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwenye hili collabo la watu wazima Mandojo & Domokaya "Wanok nok" walilo mshirikisha komando Jide. Komando alikinukisha upande wa chorus vibaya sana. "Wanafki nafki watu wa kupakazia Yasowahusu...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
20 KALI ZA JUDITH MBIBO LAMECK WAMBURA LADY JAY DEE, KOMANDO, MAMA SOME FOOD, JIDE, ANACONDA THE BONGO FLAVOUR FIRST LADY 1. Amechanganya damu kutoka mikoa miwili; Shinyanga na Mara, wilayani...
54 Reactions
106 Replies
7K Views
Huyu msichana wa zamani ajuza wa sasa aliyeigiza soft porn enzi za Big Brother ana pozi lake la kupepesa macho mfululizo kama vile kaingiwa na mchanga machoni. Nahisi kuna aliemdanganya...
34 Reactions
190 Replies
24K Views
Kwa muda wote akiwa anafanya muziki wake basi ni lazima jina lake litatajwa sambamba na jina Pepe Kale(Empire Bakuba)....hata kama kwenye wimbo husika hutoisikia sauti ya Pepe Kale. Nilibaki...
7 Reactions
42 Replies
7K Views
DJ huyo amehoji sababu za Mastaa hao wa Hip Hop kutozungumza chochote kuhusu Mapigano yanayoendelea kati ya Majeshi ya Israel na Kundi la HAMAS ambayo yamesababisha vifo vya zaidi ya Watu 2,000 na...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Juzi akiwa anasherehekea birthday Wema akadai kuwa ana miaka 33. Lkn vyanzo vingine vya taarifa za kuaminika zinaonesha tofauti. Mfano Wikipedia inaonesha Wema amezaliwa 1988 na kumfanya Wema...
6 Reactions
130 Replies
10K Views
Ama kweli Mungu hamtupi mja wake. Baada ya msanii Davido kutokea Nigeria kupata Pigo la kufiwa na mwanawe miezi kadhaa iliyopita ,jana amebahatika kupata watoto mapacha. --- Nigerian music...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Tupac Shakur alikuwa mwimbaji, rapa, na mwigizaji maarufu wa Marekani. Alizaliwa tarehe 16 Juni 1971 na kufariki dunia tarehe 13 Septemba 1996. Alikuwa mmoja wa wasanii mashuhuri sana katika...
4 Reactions
3 Replies
559 Views
Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey, mara kwikwi sasa katuletea Chapati 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu. Kinachombeba Zuchu ni ile...
52 Reactions
217 Replies
21K Views
Back
Top Bottom