Wote tunajua kwenye mchezo wa boxing hajawai kutokea bondia mwenye uwezo wa kupigana ngumi hapa bongo kama Mwakinyo.
Dunia nzima inajua Hassan ndio alama ya boxing hapa Tanzania. Ndio biashara...
Kwa clip Moja nimeona yule msanii rayvanny akionesha ujenzi wa swimming pool kwa ajili ya tamasha kama walivo kawaida Yao.
Sasa kamchukua fundi maiko na ghalama za kuongeza sifuri imetumika...
Hawa mabwenyenye wa media Tanzania kwa muda mrefu sana walizoea kuishi kwa mazoea, waliishi kwa kujipendekeza kwa serikali ya ccm na ndivyo wanavyoishi mpaka Leo
Mara nyingi hawa mabwenyenye...
Msanii kutokea nchini Marekani Usher Raymond katika mtandao wa Instagram ameonesha wasiwasi wake juu ya mambo yanayoendelea huko Israel na Palestina ikiwemo vifo vya watu zaidi ya 1000, utekaji wa...
Kwenye LET IT BE, Kuna line SONGA anachana anasema ''Sele atabaki afande mfalme Hashimu Dogo''
Kweli Hashim Dogo unaweza kumuweka mzani mmoja na AFANDE SELE? Au SONGA Alimaanisha nini???
Habari wadau.
Nimekumbuka Dar ya miaka ya 90s.
Vijana waliokuwa wanatamba mjini ni wale wa kishua.
Watoto wa o bey, upanga, mikocheni ndio walikuwa habari ya mjini.
Viwanja kama bills...
Anaandika mwakipesile mbarikiwa
Christopher & diana mwakasege pamoja na martha mwaipaya wamemshitaki mbarikiwa youtube na account ya mbarikiwa hatarini kufutwa (huo ujumbe ulio katika picha hapo...
Jana Obama na Michelle wametimiza miaka 30 ya kuwa pamoja. Pamoja na kutimiza umri huo hamna hata siku moja ambayo Michelle alimuomba Obama hela akanunue gesi achilia mbali luku, vocha, hela ya...
Ameyasema hayo akiwa anaongea na Dotto Magari. " Unajua duniani hakuna Mungu. Yale matendo mazuri unayo fanya ndio Mungu n.a. matendo mabaya ndio shetani" alisikika akisema Rashidi Abdallah...
Diamond Platnumz ndio baba wa bongofleva.
Anaichezesha sanaa ya bongo anavyotaka yeye.
Wasafi Festival ni tamasha alilofanikiwa sana na linazidi kuwa na nguvu.
Tamasha la kiingilio kikubwa hapa...
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Nyota Wa Muziki wa Barani Afrika, Naseeb Abdul, maarufu Diamond Platnumz!
Mwanamuziki huyu anatimiza Miaka 34, akiwa na Mafanikio ya Nyimbo Nyingi zinazoingia katika...
Hakuna shaka kwamba msanii nguli wa nyimbo za injili, Rose Muhando, ndiye malkia na gwiji wa nyimbo za injili Afrika Mashariki na Kati. Msaanii huyu alianza kuvuma kwa muda mrefu sana na kiwango...
Habari wadau.
Nazani wengi tumeona trending za msanii wa kike Ruby.
Binafsi najua ruby amekosea ila kuna kitu nimekigundua na kumuelewa ruby.
Historia ya maisha ya ruby tu imempa hasira...
Kama wewe ni msanii ama muigizaji na unataka kuwa maarufu basi hakikisha unadate na mtu na kapo yenu iwe public. Yani ijulikane na jamii.
Nakwambia utakuw staa mkubwa mpaka utashangaa mwenyewe...
Nimekuwa nikifatilia baadhi ya show anazofanya msanii RayVany kwenye show zake hasa za Wasafi festival!
Kusema ukweli ni msanii ambaye amekuwa akiwekeza sana kwenye show hizi sana sana hata...
Mwanaume aliyetambuliwa kwa jina la Duane "Keffe D" Davis amekamatwa na Polisi, akihusishwa moja kwa moja na mauaji ya Rapa Tupac Shakur aliyepigwa risasi katika mitaa ya Las Vegas.
Licha ya...
Mbwiga wa Mbwiguke mdomo mwingi lakini uwezo wake wa kuandika upo chini sana. Yeye kama mtu maarufu, inabidi atafute mtu wa kumuandikia huko mitandaoni.
https://youtu.be/z_Ev4ytqGmk?si=WvAsJcAtt7CK4XOq
Msanii wa filamu @wemasepetu amefunguka kueleza jinsi siku yake muhimu yakuzaliwa ilivyogeuka mwika katika yake ambayo imemfanya aape tutosherekea...
Habari zenu wana JF. Baruti ni kijana anayekuja kwa kasi katika sanaa nzima ya muziki nchini. Hamasa aliyokuwa nayo katika kufikia malengo yake imefanya vijana wengine mitaani kupambana zaidi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.