Kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na mtandao maarufu duniani.
Msanii namba moja Afrika Diamond Platnumz ameshikilia namba mbili kwenye bara ili lenye nchi zaidi ya 50 na wasanii zaidi ya million...
Part one: Kwanini Juma Nature hujibu baadhi ya maswali tofauti na anavyo ulizwa?
Juma Nature ni akili ya kesho. Unahitaji kutumia akili nyingi sana kumuelewa Juma Nature. Ukijaribu kumuelewa...
Denis Kasia a.k.a Lokasa ya Mbongo, mpiga gitaa la maarufu nchini DRC asie na mpinzani, leo ni miezi mitano tangu amefariki na bado hajazikwa. Inasemekana kuna mgogoro azikwe wapi.
R.I.P mchawi...
Nimepiga hesabu za Cuba nikaongeza ujuzi wa mjini,
Wote mnamjua wema alivo karibu na mama yake ni nini wema asingekijua kuhusu maoni hasi ya mama yake?
Angelien ile video vyema utagundua...
jamani naombeni kufahamu taaluma ya Babuu wa Kitaa, Nimeshituka sana kuambiwa kuwa naye ni miongoni mwa TV presenters ya TV station fulani hivi hapa mjini na tena analipwa pesa ndefu sana kuliko...
Huyu binti amekuwa tunamuona wakizurura duniani na Rais mstaafu Baraka Obama.
Leo nimekutana na picha zake mtandaoni, ni amejizeekea kabisa.
Mwili umefumuka, hafanyi mazoezi kama mama yake...
Naweza nikasema orodha ya watangazaji wa redio hizi ambazo ziko jiji la Mwanza walinikosha hadi kutamani kusomea uandishi wa habari, enzi hizo kulikuwa hakuna mitandao nilitamani sana kuwafahamu...
Habari Wana JF.
Jana taifa la Nigeria na wapenzi wa muziki (Afrobeats) tuliingiwa na simanzi baada ya kupata taarifa Za kifo cha mwanamuziki kutoka Nigeria Mohbad (27).
Chanzo cha kifo bado...
Leo pitapita yangu nimekutana na sijui ni muweke steji hipi kama zile steji tunazopitia.
Nimepiga hesabu zangu kwa nini maharage yameshindwa kuchacha serikalini ni Kawa na jiuliza kwa kundi kubwa...
Albert Mangwair__Mida mibovu ft Feroouz,Nature,Rah P,Dark Master🔥🔥🔥🔥
Albert Mangwair ft TID__Beef na Mangwair..
Flow iliyotumika humu, Chorus ya Tid aisee.
Rest Easy Cowbama.
Hii hapa ni list ya wasanii wa bongo hiphop, kizazi cha zamani kilichoshine wakati wote.. waasisi wa Bongoflava.
Kipindi hicho Tanzania kukiwa na radio tatu tu na TV moja ya burdani, yes...
Taarifa za kifo cha muigizaji huyu Sir Michae Gamboni maarufu kama Professor Albus Dumbledore kilitangazwa na familia yake jana tar 28/9/2023.
Mwigizaji Sir Michael Gambon amefariki kwa amani...
Kwa yeyote aliyekuwa akifuatilia mchezo huu wa redio atufahamishe wale jamaa siku hizi wako wapi? Akina Zodwa, Ray, Sadik, Dulla na Tausi pia kama kuna mtu anaweza kutusaidia picha za waigizaji wote.
Naona tunajifunza kwa kasi kutoka #Kenya[emoji1254][emoji1241]
#BURUDANI Mkongwe wa mziki wa HipHop Bongo Mr II Sugu @therealjongwe ametamba kuwa msanii kwanza Bongo kuwa Milionea na sasa ni...
Producer Roy ambaye ni mdogo wake Bukuku pamoja na Enika alikuwa producer mkali sana.
Ukasikiliza sound za maproducer wengi kama Manecky, KGT, Bob Jr na wengine wengi ni sound ya mziki alikuwa...
Nimegundua miaka hii tunasikiliza mziki mbovu kuliko wazee wetu. Tunasikiliza mziki kutokana na umaarufu wa mwanamuziki na si talent yake. Na kama tujuavyo, umaarufu ni kujitangaza tu. Huyu msanii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.