Wasanii wakongwe wa muziki, nawazungumzia madonna louise veronica ciccone a.k.a MADONNA(USA) na judith wambura mbibo a.k.a LADY JAYDEE(TZ) wameonyesha ukongwe wao kwenye tasnia ya muziki kwa...
Jamaa ana sauti ya kuimba inshort ana kipaji cha muziki. Lakini ameruhusu kipaji kipotee na kuruhusu aliowatoa kumpita kama Ommy Dimpoz na wengne. Jamaa anakosa nin? Management? Washauri? Au ni...
Naona matamasha makubwa ya muziki
yanafanyika pale
najiuliza huu uwanja unaingiza watu wangapi maximum ?
na viwanja vingine je?
uwanja wa ustawi je?
watu wangapi?
kwa Daresalaam uwanja au...
Kanye and Kim Kartrashian gave an interview via satellite from their own asses to Hot 97 (via UsWeekly). He called Kim the most beautiful woman in human existence and he compared their love to...
Ni jambo la kawaida kwa wasanii wa bongoflava hasa wakubwa kama steve RnB kutembea na kila demu mzuri hapa bongo.lakini kwa steve ni tofauti kabisa kwani amefanikiwa kumvisha pete ya uchumba...
Wakati kukiwa na madai kuwa msanii Baby Madaha anatumia dawa za kienyeji kuwateka wanaume kimapenzi, mrembo huyo ameibuka na kusema kuwa siri ya kuwateka wanaume ni...
Namkubali sana Henry Mdimu, he is a great entertainer !
Enzi zile akiwa times FM katika kipindi chake kilichoitwa kituo cha kazi, hakika ilikuwa burudani, alifanya yake.
Ilikuwa ikifika saa 3 asb...
UKIFIKA katika mtaa anaoishi mwanamuziki Diamond maeneo ya Sinza Mori jijini Dar es Salaam utaanza kuhisi kuwa kuna staa anayeishi maeneo hayo, macho ya wengi huanza kumtazama mtu anayeelekea...
Leo niko hapa kuliongelea hili swala la Bhits na saga yao ya kuondokewa na wasanii mahiri kama mabeste, vanessa mdee na dogo gosby nilichokigundua hapa ni kuwa wasanii wa watanzania bado...
NAJIULIZA Tu Huyu Mtangazaji AliyeKuwa Machachari,huko Nyuma Wakti Huo Nilikuwa Namsikia Redioni Tu Jezi Namba 9 Mgongoni,mbona Sikuhizi Dhoofu Sana Hachangamki, Huko Nyuma Hukuwa Hivyo! Ni Nini...
Boxing Legend Mike Tyson has had his fair share of troubles. From a molestation case, to biting off Holyfields ear, and being on the wrong side of the news, it is safe to say he has had as much...
habari wana jf,
naomba niwape pole kwa majukumu ya kulijenga taifa!!!!!!
nina imani kwama mu wa afya!!
ama baada ya salamu,
Lngo kuu hasa la kuleta uzi huu mbele zenu ni kuangazia wasanii...
yeah! its classic music na darasa anaendele how classic he is kiukweli jamaa kabadilika katika hii ngoma tafadhali wadau tuonyeshe suport kwa darasa akiwakilisha kiwalani CLASSIC MUSIC!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.