Tangu Gerald Hando aondoke Clouds huyu jamaa Wasiwasi amechukua nafasi yake kwenye Power Breakfast. Anachoendeleza ni ukatuni na mizaha tu yaani hata haelewi nini cha kufanya. Linachekaacheka tu...
Je unaishi Dar-es-Salaam..? Unakipaji, Uwezo na Elimu ya kupiga picha, kushoot Video na kuedit...?
NOTE:-
1)Uwe na Uwezo wa kutumia Camera zote Old na za kisasa....
2)Uwe na sample za kazi kadhaa...
Kim said we shouln't get tired yet, because she's just getting started. The babe effortlessly slayed this sassy look. as they headed to Kanye West's Yeezus show. Oh yea, Kanye looks good too
habari wadau...!!
naombeni msaada wenu wa hali na mali.
naomba kujuzwa jinsi ya kuonana na wasanii hawa, jacob steven (JB) pamoja na vicent kigosi (Ray)
wadau nina shida nao ya msingi sana...
Popular Tanzanian singer Diamond admits having coitus with his blood Sister20/11/2013
0 Comments
(photo: hiphopworldmagazine.com)
Word coming from Tanzania has it that Diamond who is...
Taarifa za sababu kubwa zilizopelekea Wema Sepetu kumtimua aliyekuwa director wake maarufu kwa jina la Chid ni ufuska uliokubuhu wa director huyo ambaye alikuwa akitumia magari ya Wema...
Kama jamaa akikomaa na game,pengine anaweza kutangazwa Kwenye jarida maarufu la mastaa duniani FORBES MAGAZINE,jarida namba moja kwa kutangaza utajiri wa wasanii na watu maarufu duniani,kama...
Blog yako imekuwa ni source ya habari nyingi hasa hasa za enterinment na kujizolea umaarufu mkubwa ila cha kushangaza wanamuziki Psquare wapo nchini sijaona hata ukigusia ujio wao.Au kwa sababu...
STAA mwenye umbo la kipekee katika soko la filamu Bongo, Ruth Suka Mainda amefunguka kuwa ameamua kuukacha mkorogo aliokuwa akiutumia kwa muda mrefu.
Akipiga stori na paparazi wetu, Mainda...
Baada ya AY na Mwana FA kuzikimbia studio za Bhitz mwaka jana mwishoni kutokana na ugumu wa Kufanya kazi na Hermy B na management yote ya Bhitz, wasanii wanaofanya vizuri kwenye bongo flava...
1. Alizaliwa miaka kadhaa kabla ya uhuru...
2. Kaja dar mwaka 77...
3. Alizaliwa na utangazaji...
4. Alivutiwa na muziki baada ya babake kuupenda muziki...
5. Watangazaji wa sasa hawana...
HAYA SASA MUONEKANO MUPYA WA vicent kigosi hahaha kweli age is just a number!!!!!!!!!!!!
http://2.bp.blogspot.com/-ue75dKt0frs/UoZCPcvJ_JI/AAAAAAAAolU/DZ7irZR9VLM/s1600/1.jpg
Staa mkubwa wa filamu za Bongo, Jacob Stephen JB akiwa na Irene Uwoya. Picha hii haihusiani na fumanizi.
LILE sakata la madai kwamba, staa mkubwa wa filamu za Bongo, Jacob Stephen JB...
Hatimaye mwanadada Jacqueline Wolper ameamua kuweka wazi kilichotokea
mpaka kuamua kubadili Dini yake ya Uislamu na kurudi kwenye ukristo tena. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii...
List mpya kutoka Forbes inahusisha wasanii waliolipwa pesa nyingi duniani kwa kipindi cha June 2012 hadi June 2013 ambapo pesa hizo zinatokana na mauzo ya album,show(tour) na vitu vingine...
Aah aah dah nilicheka sana wakati nacheki trailer la mkasi ambapo salama alikuwa anamuhoji vannesa mdee,salama katika pilika pilika za kumuuliza swali mdee akaingiza hii, mimi nimesoma...
Taarifa za sababu kubwa zilizopelekea Wema Sepetu kumtimulia mbali aliyekuwa director wake aliyefahamika kwa jina moja la Chid kuwa ni ufuska uliokubuhu kwa director wake huyo huku akitumia magari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.