1. Makambas- mwam, kaka J
2. kanumba and all bongo movies
3. A. Mbowe- Mchumi mzuri wa Benki ya Dunia na ni binti aliyefocused
4. Lundenga
5. Cynthia M.
6. Public relations wote wanaouza sura kwa...
Hii nimeipenda, Msanii maarufu duniani,anayeendesha maisha yake kupitia muziki, JUSTIN BEIBER ameipangisha nyumba yake iliyopo los Angeles,marekani ambayo ina thamani ya dola 10.8 million(zaidi ya...
Nashindwa kuelewa hii show ya Wema sepetu! Kipndi kipokipo tuh, alafu hao watu wa TX, I mean wanaorusha matangazo wa hapo studio wanakata kata kwa kuingiza matangazo bila hata mpngilio!
Kipndi...
Story na Uwazi,
Mwandishi Elvan Stambuli.
' Mufti wa Tanzania shehe Shaabani Simba alialikwa katika kalamu ya Sikukuu ya Idd ya Rais Jakaya Kikwete Ikulu na kumtuma msaidizi wake Naibu Mufti wa...
Kama angekua hai basi jana angekua anatimza miaka 31,ila wauza unga wakakatisha uhai wake na tukaporwa kipaji chetu bora kabisa kutokea hapa tz.
Upi ni wimbo wako bora toka kwa cowizy au line...
Leo kwenye kipindi 'pendwa' cha mchana XXL(Clouds Fm) walikuwa wanazungumzia uwekaji wa malengo na ufanikishaji wake katika mwaka 2013 na umuhimu wake.....baada ya kuhoji watu mbalimbali ikiwemo...
Niskuchoshe usinchoshe mie ngoja nikupe data nzima jinsi huyu kijana anavyofanya vitu vyake ili asiishiwe umaarufu
1.Show zake ni unique kwa kutumia dancers mtu huboreki pia show pia jamaa awapo...
(chorus)
Nataka swagger za hakuna matata
Kama nataka flows pia matata
Nataka peace hakuna matata
Kama unataka beef pia hakuna matata
(verse1)
Bado nachana kama nina miaka ishirini
Kuna time mpaka...
Mwanamuziki nyota wa muziki wa kizazi kipya usiku wa kuamkia Jumatatu alionja joto ya kiwe baada ya kutekwa na kusurubiwa kisha kunyang'anywa kila kitu pamoja na gari yake.
Mwanamuziki...
by money stunna
Well we'd be cheesin' this hard too if we were worth over a billion dollars combined. FORBES just released the 5 wealthiest hip hop artists. And the usual suspects are...
Leo nimeamkia Youtube nikajikuta nimetua kwenye huu wimbo wa vichwa vitatu vya ukweli: Solo Thang, Jay Mo na Soggy Doggy (Simu Yangu)
Ingawa wimbo unakaribia kufikisha miaka 10 lakini bado naona...
Lady Jay D, Prof J kupafomu na P-SQUARE
Yaani zile JOTO HASIRA zikikutana na ALINGO lazima PERSONALLY utasema CHOP MY MONEY hadi YAHAYA apatikane maana tupo KAMILI GADO!!!
Wale wakali wa muziki...
wakati lulu akidaiwa kwenda selo na mimba alikuwa kesha itoa, dk wa marehemu kanumba anayefanya kazi ktk hospital ya chartable.mbezi lous mtaa kwa msuguri ndiye aliyefanya kazi hiyo.ni wiki tatu...
Gumzo at 12:57 AM
SHILOLE AAMBULIA
MATUSI MARA MAADA YA
KUANDIKA KIINGEREZA
CHA UGOKO
MTANDAONI...
WAMWAMBIA KUWA
KIINGEREZA NI WITO..!!
Shilole aliamua kutandika yai
kwenye Instagram...
Paul Matthysse P-Funk akionesha jeraha alilolipata kichwanibaada ya kuanguka chooni.
LEGEND wa kuzalisha mapigo ya muziki Bongo, Paul Matthysse P-Funk, amepata ajali ya kushangaza chooni...
Na Shakoor Jongo
MAAJABU! Jambo zito limefichuka kuwa mastaa walio katika uhusiano wa kimapenzi, Nasibu Abdul Diamond Platnumz na Penniel Mwingilwa Penny ni ndugu, AMANI limepekua na kupata...
Stori: Imelda Mtema
MTANGAZAJI wa Kituo cha Televisheni cha DTV, Peniela Mwingilwa Penny, ambaye ni mpenzi wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Diamond amesema yupo tayari kuchangia...