I must confess that nilikua sijui kama kuna rapper anaitwa Lil Durk, But I'm a big fan of Jermaine Cole (J Cole) so involvement ya J Cole kwenye huu wimbo ndio umefanya niupende sana na beti yake...
Baada ya muigizaji Brad Pitt kuachana na mkewe Angelina Jolie, sasa amejinyakulia mtoto mbichi wa miaka 33, karibu nusu ya umri wa Pitt.
Unafikiri kwa nini Pitt hakutafta kikongwe mwenzie wa...
Tuseme tu ukweli, couple ya Haji Manara na ZaiyLissa ni couple inayokuwa kwa kasi sana na wakiendelea hivi hivi huenda ndio ikawa couple yenye mvuto zaidi hapa nchini.
Zai na Haji wanapendezana...
Hawa watu mbali na mziki pia ni marafiki wa kitambo sana, sema wabongo tumekalili kua ili watu wawe mabest lazma wafanye ngoma nyingi za pamoja Kama ilivo kwa mwana fa na ay
STORY INAANZIA...
DJ maarufu nchini, Romeo George ‘Romy Jones’ ameingia katika bifu zito na bosi wake katika tasnia ya filamu mwanamama Leah Mwendamseke ’Lamata’ kwa kile kinachodhaniwa kuwa vita ya kimaslahi...
Natamani kujuzwa juu ya tuzo hizi zinavyotolewa kuanzia za ndani mpaka za kimataifa, kuna wasanii huwa wanafunga safari kwenda kuzifuata kwa gharama kubwa sana na wanaporejea wanatuonyesha zile...
Mapenzi ya kweli hayafichiki hata kidogo na pia ni ukweli usiopingika ambao hata yeye alikiri kilichomuondosha Yanga ni ujio wa Diamond Platnumz hivyo akaona wivu Diamond alivyokuwa akihusudiwa na...
Mzuka wanajamvi.
Lile tukio la msanii maarufu nchini na bara la Africa Diamond la kuibiwa kofia halikuandaliwa staged.
Kwa utafiti wangu ni kweli Diamond ile kofia aliporwa.
Na hiki kitendo...
Kajala na Jonas wanajisumbua tu kujificha na penzi lao la wizi wizi .
Hilo penzi lao watu tunalijua kitambo wenyewe eti wanadhani wanafanya siri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu mbaya zaidi Kajala alianza ku date...
Amina Khalef, mke aliyeachana na mwanamuziki maarufu wa Bongo, Ali Kiba amemchukulia hatua za kisheria mwimbaji Diamond Platnumz katika siku chache zilizopita.
Hii ni kutokana na matamshi ya hivi...
Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika .
Inaonekana Zainabu fundi sana naona ndugu yetu Haji Manara kakolea na penzi analopewa na Zai mpaka kaamua kuvunja kiapo chake cha...
Kuna wimbo Lady Jaydee aliimba na Chidy Benz unaitwa Uko juu, kwenye audio ya huo wimbo verse ya Chidy ipo ila video yake Lady Jaydee alifuta verse ya Chidy .
Inavyosemekana kwa habari za chini...
Nani kama mama kupitia kipindi cha shajara mama mzazi wa msanii wa muziki wa Hip hop ChidiBenz anaamini kubaniwa kimuziki ndio kuna mfanya Chidi kuonekana ana changomoto imani yake ni kuwa...
Kuna wimbo mpya wa Dizasta Vina unaitwa 'Almasi' Wimbo umeshiba, kuanzia mdundo, vina, mtiririko wa mashairi n.k.
Mwimbaji ni kama anamuasa huyu Almasi juu ya maisha yake anayoishi ya...
Rapa Mkongwe na Mbunge wa zamani wa Mikumi, amesema hayo na kuongeza kuwa safari yake ya kuugua tatizo la Figo ilifanya afikie hatua ya kutobolewa Koo ili kuondoa uchafu uliokuwa ukisababisha...
Diamond anajua kujitengenezea Matukio ili kuzidi ku trend. Hata tukio la kuporwa kofia juzi ni la kutengeneza. Ukiangalia uchukuaji wa video utagundua ni movie tu, yaani pale alikosekana tu yule...
Jamani dada unajua kuimba Tenzi za rohoni mpaka unajua tena, yaani unaziimba Kwa utulivu wa kipekee sana, huna kiranga cha kubadilisha tune wala Nini, unatoa vitu original kabisaa, yaani kila...