This kid is indeed a genius, hii ngoma ni among my personal favorite kwenye album yake ya zamani ya Section 80.
Napenda zaidi hii verse anapokwambia:
Who said a black man in the Illuminati?
Last...
Ni dhahiri kuwa jina la Diamond
Platnumz linazidi kukua, kutoka
Tanzania hadi Afrika mashariki na sasa
Afrika magharibi baada ya kufanya
collabo na Davido ambayo bado
haijatoka, hii yote...
duh.. Ngoma kali mnoo..
Beat, lyrics, style ya kutapika rhymes,michano,
kijana amerudi vyema..
Haya blue na wengine tufungukieni siri ya hilo NGOMA KALI.
Nilijua wimbo huu utawamaliza...
Mwigizaji, muongozaji wa filamu na mmiliki wa kampuni wa filamu ya 5effects William Mtitu amepata bahati ya kuongeza idadi ya wanafamilia wake baada ya mke wake Jovitha Mtitu kujifungua salama...
Kwa muonekano wa macho yako yanatisha na kuogopesha watazamaji zamani nilidhani ni majungu ya watu kumbe ni kweli.
Ulifaa kubaki kwenye redio na sio tv, inshort hufai kuwa kwenye tv.
Mwambie...
Kifo cha Nyaisanga kinatukumbusha jinsi idadi ya watangazi mahiri inavyozidi kwisha na kubaki na kundi la vimeo. Watangazaji vimeo ni pamoja na,. .. Said Kilumanga, Kipanya Orest Kawau ( magic...
Baada ya kuwa na bifu na mmoja kati ya watu wenye ushawishi mkubwa nchini marekani Oprah winfrey,50 cent akaamua kumpa mbwa wake jina la oprah,kama hiyo aitoshi akampa paka wake jina la gayle...
Mi nasema kuna waumini wamedandia hizi fani za muziki
nahisi next tym clouds mpange jinsi gani ya kualika sio kila mtu anaalikwa kuimba mtaalika wahuni
majuzi nikitoka kazini alishereheshwa jina...
Hemed Suleiman aka phd amefunguka kua eti yeye haringi bali ni swaga 2 na pia it seems watu wanaomdis wanamuonea wivu coz wana diploma wakati yeye anahold phd.
Pia kumbe jamaa alikua anataka...
One of the favourite faces in Nollywood, Osita Iheme, popularly known as Pawpaw, in a recent interview cleared the air on his relationship with Goodluck Jonathan, Nigerias entertainment industry...
Salaam,
leo nilikua naangalia youtube compilation ya ma celebs wanapo wa surprise mashabiki wao either kutokea nyumbani kwao au kuibuka ghafla kwenye talk shows. Nimejikuta napigwa na butwaa...
RAY C AMPA KIPIGO NORAPosted by GLOBAL on October 28, 2013 at 8:00am1 Comment 0 Likes
Na Musa Mateja
KATIKA hali ya kushangaza, siku chache baada ya kuripotiwa kupona na kuacha matumizi ya madawa...
Ni tanzania to lagos,skelewu vs ngololo.
Diamond anatalajia kwenda Lagos week hii kuungana na Mwanmziki nguri Davido kishoot video mpya ya remix ya number one waliyoifanya Davido alipokuwa...
Duh kama izi tetesi ni za kweli basi kazi tunayo akina kantupeni,tetesi zilizopo chini ya kapeti ni kuwa ile promotion inayotarajiwa kufanyika kesho na kesho kutwa na kampuni ya vodacom pale...