Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

kudadeki watu noma angalia now
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Taarifa za Ndani toka kwa wadau waliopo karibu na Roy zinadai pengine show ya wasanii bora Africa na ulaya P Squire itapigilia msumari wa mwisho katika jeneza la utawala wa show za Clouds media...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Ghollywod actor Van Vicker is one of those fortunate to have married his first love....and today 19years after they met,they are celebrating 10years of marriage..10years with three beautiful...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Balozi abrahama sepetu amefariki dunia muda mchache uliopita
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Mungu baba muumba mbingu na nchi na viumbe vyote,naomba Mungu ushushe mvua kubwa inayoambatana na upepo mkali maeneo ya viwanja vya Leaders ili utuondolee Laana itakayofanyika mahali pale,Mungu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kim Kardashian got the birthday surprise of a lifetime tonight. She is engaged to longtime love Kanye West, the rapper popping the question in front of their friends and family at AT&T Park in...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo nikiwa nipo busy kushughulikia afya ya mama watoto kwenye hospital ya TMJ ndipo nikamwona baba yake na Wema akishushwa kwenye wheelchair! Kushuka huko nikagundua tayari kuta tatizo kwenye afya...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Wana JF hawa vijana wa BSS, wanaimba live vizuri sana, na sauti zao zinatoka vizuri, kuliko wale Mastaa wa Fiesta, wanaombia kwa kutumia playback.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo wanaendelea kuperform wale ambao hawakufanikiwa jana. Mh! Ila jua kali,ndio maana wanafanya free. Wanaanza saa tisa jioni.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana jamii mi nimesikia tetesi hizi, je zina ukweli wowote? Na kama zina ukweli, usiri wa nini? Source: friend sms
0 Reactions
17 Replies
6K Views
clouds wamekinukisha na kinanuka HASWAAAAA.. MIE NAITIZAMA LAIVU KUPITIA TV.
1 Reactions
143 Replies
14K Views
Ikiwa imebaki siku chache kufanyika tamasha kongwe la Fiesta,kumetokea kuzorota na kukosa msisimko kabisa kwa tamasha ili tofauti na miaka ya nyuma..ni kana kwamba Ruge mwaka huu ategemee maumivu...
7 Reactions
74 Replies
10K Views
chezea pinda wewe!! kwanza microphone aliyotumia ni ya njano!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wwngi hum wimbo wa number one ya Diamond walikuwa na pengne bado wanauchukilia poa... lakin kwa msanii Wa kimataifa Davido hakutaka kujiuliza mara mbili mbil kuomba wimbo huo waufanyie remix...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hii video mpya ya MY NUMBER ONE ya diamond ,imenifany nimkubali sana,nyimbo iko poa sana ila kikubwa kilichofanya niipende ni wale video queens wake jinsi wanavyocheza kwa ubunifu wa hali ya...
2 Reactions
50 Replies
7K Views
Habari wazee. Najua humu kunaweza kua na wataalamu wanaohusika na kushoot bongo movie au ata waigizaji wenyewe. Nilikua na swali kidogo kuhusu hii sector. Hivi kwa kawaida movie moja (Bongo...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
habari wana jf, kwa kuanza tu niseme kwamba tasnia ya sanaa ya maigizo hapa bongo, almaarufu kama bongo movie, imeshika kasi kwa umaarufu kwa kiwango fulani japo ina mapungufu ya ubora wake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi ni kweli kabisa BASATA wameguswa na milegezo ya Ney wa Mitego mpaka kumwandikia barua ya onyo,au kuna kitu kingine behind the scene??na Kama wameamua kufatilia maadili nadhani walitakiwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Eatv ni bora kwa hapa bongo.kuanzia vipind,graphics na vingne. Ila kuna watangazaji wanapunguza ule ubora. 1.dulah wa pb kubana pua 2.fatma wa hotmix huyu ndo anaharibu lugha! English hayupo na...
0 Reactions
38 Replies
9K Views
Asilimia kubwa ya wasanii wa tmk wanachanganya maneno yanayo husu misosi au vinywaji katika nyimbo zao.eg.kachumbali,vinywaji kwenye furiji,mishikaki n.k. hadi sasa hivi sijajua kama ndo...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Back
Top Bottom